mahusiano

  1. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahusiano ya Uganda na M23 na athari zake kwa usalama wa DRC

    Mahojiano hayo hapo chini yanatoa mwanga kuhusu hujuma za Uganda dhidi ya DRC. Bukyanagandi , MALCOM LUMUMBA, MK254, Geza Ulole
  2. JamiiForums Tanzania Mahusiano yanatutesa sana wanaume: Najitahidi nitulie nafsi inakataa

    Mahusiano yana mengi kwenye nafsi za wanaume wengi. Najitahidi nitulie nafsi inakataa, inamtaka huyu mrembo. Ndugu zanguni, najua si Mimi tu ninaesumbuliwa na mahusiano ya mwanamke mmoja wa miaka 28. Huyu mrembo hajaolewa bado. Anapenda pesa Sana, kila siku lazima nimpatie 30k uwezo wangu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mahusiano kati ya Tanzania na China yanaimarishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya Ziara ya Kitaifa nchini China kuanzia tarehe 2-4 Novemba 2022. Hii ni kufuatia Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping. Taarifa hiyo imetolewa leo na Wizara ya Mambo ya Nje China. Tanzania na China...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kusimulia maisha ya mahusiano ya zamani kwa mwenzi wako?

    Imekuwa kawaida kwa couple mpya kusimuliana mahusiano yao ya zamani ikawa kama ni njia ya kujitetea na kujiweka sehemu salama zaidi kwa kuwaonesha waliokuwa nao ndio wabaya . je hili litasaidia chochote kwa couple hiyo mpya?
  5. JamiiForums Tanzania Katika Mahusiano niliona tofauti kati Yetu na Wao. Sisi sijui tunakwamia wapi?

    Msichana wa kizungu : the man loves me a lot he buys me flowers and give me his Time. He cares "Jamaa ananipenda sana, ananinunulia maua na kunipa muda wake. Anajali. Mzaramo/Mswahili: "Jamaa nimemweka hapa 🖐️hakohoi hapigi chafya nikimwambia tu ninashida na pesa anatuma. Hapa nataka...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mahusiano muda mwingine Diamond yupo sahihi

    Ukiwa na hela, hapa naongelea utajiri na hukuwa na mwanamke kabla ni bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya Diamond na ukaendelea kuishi peke yako sababu utapendewa pesa na wanawake. Mwanamke akipata uhakika wa pesa kutoka kwako, atatafuta mwanaume moyo wake unayempenda, hapo ndiyo usaliti...
  7. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na watu tunaokuwa nao kwenye mahusiano

    Hii inawahusu hasa wanaume/mabaharia wanaopenda kuchukua totoz maeneo mbali mbali. Kuna siku tulikuwa kwenye kikao cha kiume na mabaharia wenzangu, tukawa tunabadilishana mawazo na katika mazungumzo ikaonekana vijana wengi wanateketea kuingia kwenye mahusiano ya jinsia moja, mbaya zaidi mtu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Vitisho haviimarishi mahusiano

    Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao. Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja. Huyo huyo mwanaume hafanyi...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wakiwa na hasira ni raha!

    Guys I hope you're doing just fine, and so do I. Basi bana kama ilivyo ada leo nina jambo la ku share na ninyi especially wanaume wenzangu. Wanawake bwana wakiwa hana hasira ni raha mpaka nashindwa kuelekeza. Niende sasa kwenye kisa kilichonikuta kitambo kidogo wakati niko chuo. Kulikuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Confessions: Umewahi kupata hisia za kimapenzi ama kuwa katika mahusiano na ndugu yako?

    Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo. Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
  11. JamiiForums Tanzania Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

    Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
  12. JamiiForums Tanzania Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

    Habarini wanajamvi, natumai ni wazima wa afya. Kama mada inavyosema. Kwa upande wako unamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani? Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo dah, ananikata stimu kabsa yaani. Niliwahi kutoka na mwanamke miaka mitatu kumbe...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara na mahusiano kati ya Kenya na Tanzania zimeimarika mara mbili zaidi kutoka 2020

    Napitia Takwimu kutoka kenya juu ya kuimarika kwa Biashara kati ya Tanzania na Kenya mara mbili zaidi kutoka Mwaka 2020. Takwimu kutoka nchini Kenya zinaonyesha Biashara kati ya Tanzania na Kenya zimeimarika zaidi. Thamani ya bidhaa zilizosafirishwa kutoka kenya kuja Tanzania zimepanda kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao wengi hujizima data kukwepa uhalisia: katika mahusiano yenye zaidi ya miaka mitatu jijue kwamba kuna muda umeshachapiwa,

    Una uhakika gani kwamba hajawai kupasha kiporo na ex wake, hawara anatongozwa ?? Kuna kipindi mnagombana, unajua ni namna gani anavyo deal na hio hali kutuliza hasira ama kukukomoa ?? ana deni la kikoba kuna mtu kwenye contacts zake alishamuahidi laki akimpa mzigo, anarukaje kwamfano ? kaenda...
  15. JamiiForums Tanzania Sera ninayoiendeleza inataka moyo katika mahusiano, inabidi uwe mwanaume kweli kweli

    Wadau, kutokana na kujiamini kwangu katika suala la mapenzi nimekuwa muumizi mzuri sana wa sera ya "No hongos". Yaani sihongi. Ndiyo sihongi pesa kwa mpenzi hata siku moja. Najiamini kuwa nami pia natoa raha why nihonge kupata K? Labda ijulikane tu mtu anauza so hayupo after raha. Sasa yaani...
  16. JamiiForums Tanzania Mahusiano yasiyokuwa na tija, yanapukutisha uchumi

    Mahusiano mengi yamekuwa ndio chanzo, cha kuwafanya wanaume wengi kuendelea kuwa masikini. Wanaume wanakuwa wanaingia gharama kubwa, ili kuweza kumridhisha mwanamke, iwe kumjengea nyumba, kumnunulia usafiri mkali, au kuhonga chochote kile, ili mradi aweze kukubalika kwa mwanamke. Mara...
  17. JamiiForums Tanzania Methali na mahusiano yako

    Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo" "Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao". Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano usiwe serious sana utateseka

    Ukiwa serious sana kwenye mahusiano au ndoa utakeyeumia ni wewe. Nimejifunza kutokuwa serious kwenye ndoa au kwenye mahusiano yeyote yaani utapendwa tu automatically. Wanawake wanapenda Sana wanaume ambao they don't care about anything Ila wanaojitambua. Don't fall in love but kuwa na upendo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina hazina kubwa sana ya vijana mahamu, Mtanzania Ndg. Benedict Faustine Kikove Mshauri wa Maswala ya Siasa na Mahusiano kwa Umma Ubalozi wa Japan

    Kidumu Chama Cha Mapinduzi Mimi; BENEDICT FAUSTINE KIKOVE Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mahusiano na wasichana ni 'comedy'

    Morning JF family, Aisee mahusiano ya hivi visichana ni vichekesho na pasua kichwa kwa sisi watu wazima, yaani Kuna kabinti fulani kanauza pharmacy maeneo ya mjini kati, sasa bwana nilimzimia alivyo black na flat screen fulani halafu mrefu. Mzee nikawa namtoa lunch anakula kitimoto, japo mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…