mahusiano

  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Piga chini mahusiano yanayokutesa na usonge mbele

    Mapenzi yanatakiwa yakupe furaha ya kimwili, akili na kiuchumi. Sasa utakuta mtu ameingia kwenye mahusiano, ghafla uchumi unayumba; fedha hazipatikani tena, madeni yamekuwa mengi, kila kona ukipita unadaiwa. Mara kurukwa na akili na kujikuta unaongea mwenyewe mwenyewe barabarani, ukiwa kwenye...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

    Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika. Halafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

    Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa. Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ?? Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
  4. Topman

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

    Habari zenu wana JF. Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana. Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano, hii inamaanisha nini?

    Unampigia simu, hapokei. Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu Hii inamaanisha nini wakuu?
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Meza ya wanaume: Ni baada ya muda gani kwenye mahusiano mapya unaingia peku?

    Na kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana nguvu ndogo sana ya maamuzi. Game za kwanza najua wengi huwa tunaipiga kwa ndom, ila kuna kipindi...
  7. Siana Sia

    JamiiForums Tanzania To make a short story long: Hatari ya kuficha mahusiano

    Ni story fupi sana ila nimeirefusha makusudi. Inaweza kuwa ya ukweli au ya kutunga, we isome. Mwaka jana mwezi September nikiwa kwenye shuguri zangu za kikazi Arusha, nilikutana na Side (au Said). Mara ya kwanza tulikutana ATM. Ilikua jmosi mchana, nilipata changamoto ya kadi yangu kumezwa...
  8. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  9. Street brain

    JamiiForums Tanzania Hata kama hujazoea hiki kitu katika mahusiano, chukua hatua bado mapema sana

    Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye mahusiano na mtu, unakuwa hujisikii huru sana kuwa naye, lakini baada ya muda una mzoea mtu huyo na kuanza kuona kila kitu kipo sawa kwako. Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye biashara, unakuwa pia hauko huru sana na biashara hiyo, lakini inafika muda...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano hayachagui umri

    Ukiona mtu anapinga mahusiano, jiulize mara mbili mbili ana tatizo gani? Kwa sababu haya mambo yanaongozwa na hisia; hata wewe unapopata hisia na mtu fulani lazima umfungukie, huo ndio uhalisia wa binadamu halisi. Mambo ya kuzidiana umri tunaweka pembeni.
  11. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya

    Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake. Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX. Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu" Kwahiyo sasa....usitegemee eti mwanaume...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye Lugha kuna mother tongue, kwenye mapenzi kuna First love, tunaita Main Base ya Mahusiano

    KWENYE LUGHA KUNA MOTHER TONGUE, KWENYE MAPENZI KUNA FIRST LOVE, TUNAITA MAIN BASE YA MAHUSIANO. Na, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu duniani kina msingi wake. Ipo misingi imara na Ipo misingi dhaifu. Lakini msingi ni msingi tuu. Unapoenda kuomba kazi watahitaji CV yako ili wapate kuuona...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tamasha hili linajenga mahusiano kati ya Tanzania ipi na Zanzibar ipi?

  14. kelvinvevo

    JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano wanaume wanapoteza zaidi kuliko wanawake

    Nimegundua mahusiano yako very risky kidogo kwa mwanaume asipokua makini. Kwa sababu unaweza ukapata mwanamke ukampenda na kujitoa kwa kile chochote ulichokuwa nacho kwa ajili yake lakini ikitokea misunderstanding yoyote mpaka kuachana wanaume wanaambulia matusi, maneno machafu na kejeli...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

    , Siku hizi imekuwa ni kawaida sana wazazi kujua kijana wao ana boyfriend ama girlfriend na wazazi hawana shida. Hapo wazazi wanajua kabisa kwamba vijana wanasex ila wanaona ni sawa tu, na hii imepelekea wazazi wawe wanawapa vijana sex edication kuwaasa watumie mipira (condom), ila muda huo huo...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana usikubali kuoa au kuwa katika mahusiano na binti anayeigiza kukupenda.

    Habari Kwa nchi za Afrika Tanzania ikiwemo kuna trend kubwa ya wanaume kufa mapema kuliko wake zao. Wakati naishi Uswahilini nyumba nyingi nilizopanga au nyumba za majirani nyingi hazina wanaume (baba mwenye nyumba). Hii yote sababu kuu ni wanaume kujiingiza katika mapenzi au ndoa na wanawake...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Chief Mwasapile ; viongozi wa Tanzania kuutangazia umma kwamba watanzania ni wezi nikuvuruga mahusiano ya watu wetu ndani na nje ya nchi

    Moja ya mwasisi wa Tanu na mwana CCM huko mkoani Mbeya amelaani kitendo cha viongozi wa CCM kutumia kodi za wananchi kuzunguka nchini na nje wakisema wanakodisha bandari kwa sababu watanzania ni wezi. Amewakumbusha viongozi wetu kwamba wakati wa mwalimu Nyerere tulikuwa hatukaguliwi huko nje ya...
  18. Brilliant Bryan

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na mahusiano ya muda mrefu

    Jinsi ya Kuwa na Mahusiano ya Muda Mrefu na Mbinu za Kufuata Mahusiano ya muda mrefu ni kitu ambacho kila mtu anatamani kuwa nacho. Ni muhimu kutambua kuwa mahusiano ya muda mrefu yanajumuisha kazi na juhudi za pande zote mbili. Hapa chini, tutajadili mbinu kadhaa ambazo zinaweza kusaidia...
  19. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

    Nimekua nikipata changamoto kwenye mahusiano na mzazi, kuna kuwa hamna maelewano kati yetu, tunagombana sana, hatuwezi kukaa sehemu moja tukazungumza usitokee ugomvi kati yetu. Kinachonishangaza zaidi, nikijaribu kuangalia sababu sielewi, hii hali imekua ikiendelea kwa muda mrefu sasa na inanipa...
  20. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Couple goals - tag couple(s) ambao unawa-admire sana JamiiForums na duniani kote

    Haya haya sasa wale couple admirers mkuje sasa mtuambie nani ni mkali akina couple gani mnayo wa admire hapa jamii forum na dunia nzima MIMI wa kwangu ni hawa hapa MIMI wa kwangu ni hawa hapa na hawa NYUZI ZANGU ZINGINE 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa...
Back
Top Bottom