mahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yofav

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya Wallpapers, Na installation kupamba ndani kwako, pitia uzi huu

    HABARI WAKUU, Kwanza nianze na gharama ya kila kitu kwa ufupi kisha mwisho ni malize na sample ya kazi zangu, •Roller moja ya wallpaper ni Tsh.20,000/= ina urefu mita 10, Upana Cm 50 so kwa expirience yangu roller moja huwa unamaliza mita 1.5 ya upande mmoja wa kuta. •Gundi ni Tsh.10,000/= hii...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

    Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.
  3. Jelamashele

    JamiiForums Tanzania Vitu vya promotion sio ziada. Ni namna ya muuzaji kuokoa hasara. Na mtumiaji kupata nafuu kwa mahitaji ya muda Fulani

    Naona kuna dhana kuwa promotion ni fadhila au ziada. Sio kweli. Promotion ni mbinu za kuokoa hasara na pia kulazimisha kuweka hela kibindoni katik muda Fulani. Huku ukimlazismisha mteja kujipanga na kuruhusu hela yake iwe Kati mauzo ya mtoa huduma bila kurudishwa. Ni mkataba wa huduma au bidhaa...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Poland inaorodhesha mahitaji ya fidia ya WWII kutoka Ujerumani

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetoa orodha ya fidia ambazo taifa hilo linatafuta kutoka kwa Ujerumani kwa hasara inayoonekana na isiyoonekana iliyopata wakati wa Vita vya Kidunia vya pili. Yaliyomo katika agizo la ulipaji fidia la Poland lililotumwa Berlin mapema mwezi huu yaliwekwa wazi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msaada wa mahitaji kwa watoto njiti Kigoma

    RAIS SAMIA ATOA MSAADA WA MAHITAJI KWA WATOTO NJITI KIGOMA. OR.TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa Msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni, Kigoma. Mahitaji hayo yamekabidhiwa na...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wenye mahitaji maalum waongezewe dakika mitihani ya darasa la 7, kesho Oktoba 5, 2022

    Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Athumani Amasi, amewataka wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba inayoanza kesho Oktoba 5, kulinda haki ya watahiniwa wenye mahitaji maalum kwa kuwapatia mitihani yenye maandishi ya nukta nundu kwa wenye uono hafifu. Na kwamba watahiniwa...
  7. de carter jr

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitahi ya nyumba na Hostel Karibu na Chuo Cha Diplomasi, TIA na IFM

    Kwa Wanachuo waliochaguliwa na wanaosoma TIA,Diplomasia,IFM na Mwalimu Nyerere vyumba vyakupangisha na hostels zinapatikana 📍 Kwa Aziz Alli -Single Rooms Kwanzia 50,000 - 80,000 -Master Room (Chumba na Choo Ndani) Kwanzia 100,000- 150,000 -Chumba Choo Na Jiko (Master Room na Jiko ) Kwanzia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Website and Database errors fix services

    Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi. Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo; Database 1. Database cleanup 2. Database optimisation 3. Database...
  9. Ibrahim Nzunda

    JamiiForums Tanzania Mahitaji kusajili kampuni Brela- For Tanzanians

    Mahitaji kwa ajili ya kampuni 1. Namba za Nida (kila mtu yake) 2. TIN numbers (Kila mtu yake,TIN yoyote aliyonayo kwa jina lake) 3. Phone, email, (kila mtu yake) 4. P. O. Box zenu. 5. Mahali mnapokaa kila mtu 6. Memorandum & Articles of Associtaion iliyopigwa mhuri wa mwanasheria 7. Pesa ya...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TAWA yaelezea ilivyoboresha Miundombinu kukidhi mahitaji ya Utalii

    Katika kuhakikisha mapato yatokanayo na utalii yanaongezeka, uongozi wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA) umeboresha miundombinu katika maeneo ya utalii. Kaimu Kamishna wa (TAWA), Mabula Misungwi Nyanda amesema kwa kutumia fedha za bajeti ya maendeleo ya mwaka...
  11. AH architectural

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya ramani, kusimamia na kujenga nyumba

    NATOA HUDUMA ZIFUATAZO KATIKA UJENZI : KUCHORA RAMANI ZA MAJENGO KUSIMAMIA UJENZI KUFANYA MAKADIRIO YA UJENZI HII NI MOJA YA KAZI ZANGU NILIZOFANYA KUANZIA KUCHORA MPAKA KUSIMAMIA UJENZI ( 0758 614 119 ) NDUGU WATEJA HII MICHORO INAONESHA RAMANI INAVYOPASWA KUWA NAOMBA TUTAZAME...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Unapojenga nyumba ya kuishi fikiria sana mahitaji yako halisi, vyumba vitatu vinatutesa wengi

    kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za mazao na nimejikuta nipo zambia , hulka yangu napenda kudadisi na kujifunza vitu vipya...
  13. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri yaziomba taasisi nyingine kujitoa kuchangia damu ili kusaidia wagonjwa wenye mahitaji

    Na. Mwandishi Wetu, Dar Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri kimeomboleza kifo cha Mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein (AS) aliyeuawa kikatili huko mji wa Kerbala nchini Iraq na Jeshi la Yazid. Ambapo umeunga mkono uchangiaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama , Kampeni ya Kuhamasisha...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Watoto wenye mahitaji maalum na elimu

    Ikisiri Nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na kunipa nafasi ya kuandika makala hii kuhusu elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum kwa makundi yao. Katika makala hii nimeeleza changamoto zinazowakumba watoto wenye mahitaji maalum katika sekta ya elimu pamoja na...
  15. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Je, idadi ya viongozi kwenye majimbo inaendana na mahitaji ya wananchi na kazi iliyopo?

    Wanabodi, Wote tume shuhudia mabadiliko yaliyofanywa na serikali kwenye nyadhifa za wakuu wa mikoa hivi karibuni. Naamini kwa kiasi kikubwa kwamba maamuzi ya serikali mara nyingi huwa yame chambuliwa kwa kina na huwa sahihi. Jambo ambalo bado sijapata ufafanuzi na kuelewa ni njia zinazotumika...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Kemikali mbalimbali nchini Tanzania

    Habari Kwa mahitaji ya chemicals mbalimbali, kama vile, ▶️CAUSTIC SODA ▶️HYDROGEN PEROXIDE ▶️SULPHURIC ▶️ACTIVATED KABONI ya (india,Philipines na usa) ▶️SODIUM CYNIDE ▶️SULPHONIC ▶️CAUSTIC SODA ▶️NITRIC ACID ▶️FORMALINE ▶️SODA ASH ▶️CMC (sodium methyl cellulose) ▶️SODA ASH ▪️TITANIUM DIOXIDE...
  17. yousaw

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya kujengewa Tiles, Tarazo, Mable, Tanga stone, Mosaic na Palving Stone njoo hapa

    Habari wakuu, kwa mwenye mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, mosaic, mable, tangastone na palving stones kwa mitindo wa kisasa na gharama rafiki na hata kwa malipo ya awamu kama huna cash, wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo; - 0782369491 na -0654121218 na wasap kwa picha zaidi. au barua...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Miundombinu inayojali mazingira na kuzingatia mahitaji ya wanyama pori ndio njia mwafaka ya kutunza asili

    Na Ronald Mutie. Wakati wa mchakato wa usanifu, wataalam wa reli hii ya kisasa SGR kati ya Mombasa na Nairobi nchini Kenya walichukua hatua kadhaa zilizolengwa kushughulikia masuala ya mazingira, kama vile kulinda mimea na wanyama mbalimbali wa porini. Tangu kufunguliwa kwake Mei mwaka 2017...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Napokea mshahari ngazi ya TGS D naishi kijijini naona fedha hiyo hainikidhi kabisa mahitaji yangu.

    Sasa najiuliza nyinyi wa mjini mnaopokea mshahara ngazi hii mnawezaje na maisha yalivyo sasahivi?
  20. Mtenzeli

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Habari wadau, Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani. Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii. Location ni kigamboni NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
Back
Top Bottom