Unaweza kuchukua mzigo wa 50,000 ukatengeneza faida mara mbili, kwahiyo unaweza kutengeneza 100,000 hadi 120,000 na ukija kutoa faida unajikuta na 60,000 faida kwa siku kama mzigo ukiisha lakini"
siwezi kukubali (kuajiriwa0 maana nikipiga hesabu kwa mwezi ninauhakika wa kuingiza 400,000 kwa...