mahindi

  1. A

    KERO Kutolipwa na serikali kwa wakulima wa mahindi Kanda ya Songea

    Wakulima waliouza mahindi Hifadhi ya Taifa ya Chakula kanda ya Songea hatujalipwa fedha zetu tangu September 2025 Hadi Sasa kimyaa. Wakulima wameshindwa kurudi shambani wengine mahindi yanaharibika shambani kwa kukosa pembejeo hasa mbolea. Tunaomba Waziri wa kilimo aingilie kati, hasa sisi...
  2. Kimbesa11

    Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  3. D

    Biashara ya kusaga mahindi na kuuza unga

    Habari wadau. Nahitaji kuwa na mashine ya kusaga sembe mkoani Ruvuma kisha niwe nasafirisha na kuuza maeneo ya Tunduru, Masasi hadi Mtwara. Naomba mwenye uzoefu anipatie. Ruvuma nimeishi ila Tunduru kuelekea Mtwara si mwenyeji
  4. Think2

    Unakimbilia Dar kuchoma mahindi nyuma unaacha madini, shame on you

    Bei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo: ◼️Soko la Dunia TSH 344,033/= ◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/= ◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/= Just 1 gram tu . Unakimbilia dar kuuza mahindi ya kuchoma unaacha mali zimbu kbs wewe
  5. Albano Daud

    Je, wajua nusu Hekta unaweza kuvuna gunia hamsini za mahindi?

    Nimehuzunika mno kuona watu wanafanya kilimo bila kuwa na mafanikio kwa mda mrefu. Japokuwa watu wamejikita sana kwenye kilimo kwa mda mrefu lakini wameambulia kuchoka haswaa. Lengo la uzi huu ni kuwashauri na kuwatia moyo wakulima kuwa wanao uwezo wa kulima nusu hekta na kuvuna gunia hamsini...
  6. figganigga

    Wamedai ni Mahindi, Ila Lory limejaa KURA FEKI (2015 Elections)

    Wamedai ni Mahindi, Ila Lory limejaa KURA FEKI
  7. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Tanzania namba 2 kwa uzalishaji wa mazao Afrika 2025, yazilisha Tani milioni 10 za mahindi

    Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, akiwa Vwawa, Songwe, Sept 3, 2025 ameisifa Tanzania kuwa kinara wa Uzalishaji mahindi. Ndani ya nchi watanzania wanazalisha zaidi mahindi ikifuatiwa na mpunga. Wataalamu wa kilimo wanasema 60% ya mazao ya Afrika ni ngano, mahindi na mpunga, hata hivyo wanashauri...
  8. W

    POTOSHI Je kuna mahindi maalumu yanayofaa kuliwa na binadamu na mengine kwa ajili ya wanyama?

    Nimekutana na hii Taarifa wakuu imenishtua kidogo, kwahiyo sisi huwa tunakula mahindi ya wanyama?
  9. Griss

    Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

    Huyu mzee si akalime Kama zamani? Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake. Huyu mzee😀😀
  10. ANOLD MEDIA

    Naingiza laki nne kwa mwezi kwa biashara ya kuchoma mahindi

    Unaweza kuchukua mzigo wa 50,000 ukatengeneza faida mara mbili, kwahiyo unaweza kutengeneza 100,000 hadi 120,000 na ukija kutoa faida unajikuta na 60,000 faida kwa siku kama mzigo ukiisha lakini" siwezi kukubali (kuajiriwa0 maana nikipiga hesabu kwa mwezi ninauhakika wa kuingiza 400,000 kwa...
  11. Just Pray

    Atundikwa juu ya mti bila nguo na kupigwa fimbo 70 kisha kubanwa sehemu za siri kwa koleo la kuhasi mifugo akituhumiwa kuiba mahindi

    Kijana William Mbise (28), mkazi wa Wilaya ya Arumeru, Kata ya King'ori, Kijiji cha Kirenga, amepoteza maisha kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuchapwa fimbo 70 kama adhabu ya kimila iliyotekelezwa na vijana wa rika lake wa kabila la Kimeru, kutokana na kutuhumiwa kuiba mahindi yaliyokuwa shambani...
  12. A

    KERO Lini Wizara ya Kilimo itanunua Mahindi Mwaka wa 2025/26? NFRA hawajibu maswali yetu

    Nianze kwa kupongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kweli mnastahili pongezi kubwa. Mimi nina ombi moja, ninaomba nisaidieni kuuliza swali kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja na Wizara yake kuwa ni lini Serikali itakuwa na mpango wa kununua Mahindi kwa huu Mwaka wa 25/26...
  13. N

    Bei ya mahindi Songea

    Naomba kujuwa bei ya mahindi songea.
  14. Mzee wa Hekaheka

    Nimeanika mahindi nje nimekuta hali hii, Naombeni ushauri wenu

  15. CHASHA FARMING

    Si kwamba Wakenya hawana aridhi ya kulima mahindi ya kula, hapana ni kwa sababu wana akili sana kwenye kilimo Biashara.

    Sisi tunalima mazao ya urith wetu, Mazao ya kuanza kuapangiwa mara usiuze mara uza, mara usiuze yote, mara Mkuu wa wilaya apiga marfuku kuuza Mahindi nje, mara Mkuu wa mkoa apiga marfuku kuuza mahindi mabichi. Wakenya huwa si kwamba hawana aridhi ya kulima mahindi ya kula wanayo sana ila tu...
  16. Bushmamy

    Kilimanjaro; Wafanyabiashara toka Kenya wamaliza mahindi mabichi yakiwa shambani

    Huko wilayani Rombo katika tarafa za Tarakea, Useri pamoja na maeneo mengine ndani ya wilaya hiyo, Malori Kwa Malori ya mizigo yamekuwa yakivuka Boda na kuja Rombo kuvuna mahindi machanga, na kupeleka kwao Kenya kama malighafi za viwandani. Wakulima wengi wa mahindi hapa Rombo Kwa kiasi...
  17. C

    Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza. La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni...
  18. Brayan_Jk

    Mahindi yanahitajika

    Habari , Kwa yeyote anaeweza ku supply au unamfahamu mtu mwenye uwezo wa ku supply mahindi kwa quantity kwanzia 10tons mpaka 2,000tons kwa mwezi,naomba anicheki inbox tu link up,tufanye biashara Vigezo Kwa mahindi mapya Unyevunyevu/Moisture-15.5% Ukungu/ Mould-2% Uchafu/Impurities-1%...
  19. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuanza Kununua mahindi ya Ngara

    SERIKALI KUANZA KUNUNUA MAHINDI YA NGARA 📝14/04/2025 NGARA ✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓ Serikali imeahidi kuanza kununua mahindi ya Wakulima wa Wilaya ya Ngara kuanzia mwezi wa tano mwaka huu wa 2025. Hatua hii itaimarisha bei ya soko la mahindi ambayo imekuwa ikibadirika...
  20. Peter Mwaihola

    Bei ya Mahindi haishikiki sokoni

    Wakati wananchi wa Tanzania wakilalamika kupanda kwa bei za nafaka sokoni hasa bei ya mahindi hali hiyo imekuwa gumzo zaidi nchini Malawi. Kwa mujibu wa bei elekezi iliyotolewa na wizara ya kilimo ya nchini Malawi kilo moja ya mahindi inauzwa kwa kwacha 1050 ambayo ni sawa na Tsh 1600 bei...
Back
Top Bottom