Maharagwe mazuri Sana "Karianzee"

Aggrey sallah

Member
Sep 15, 2022
25
35
Habari za uzima Ndugu zangu , Nina Maharagwe mazuri Sana yanayolimwa Sana Kilimanjaro , yanaitwa "Karianzee" ni Quality Sana kuyashinda hata Maharagwe ya Njano ila kutokana na kutojulikana watu wengi wamekuwa hawayanunui.

Sina Imani kuwa ni wote hawayajui ila Kuna watu watakuwa wanayajua na kuyatafuta haswa , yanapatikana kwangu kwa Bei nzuri kabisa ya 2500/Kg na hii ni favourable kwa wafanyabiashara wa vyakula maana wananunua Njano kwa 3000- 3300/kg kwahyo mkinunua kwa Bei ya 2500/= ni Bei ambayo ni rafiki na inawabeba zaidi kuwatengenezea Faida.

Notebene; Maharagwe haya hayana tofauti kabisa na Njano ni rangi tuu ndo itakudanganya zaidi haya ndo huyazidi Ubora hata hayo ya Njano. Karibuni wadau , nichekini kwa namba +255756501929/255623501929
IMG_20230725_154106_385.jpg
 
Mkuu hayo siyo Mayai ya Kware wadogo?
Hapana Mkuu hayo yanaitwa "Karianzee" au kwa Lugha ya kigeni yanaitwa "PINTO BEANS", ni highly nutritious. Zinakuwa Packed na protein, fiber and many other essential nutrients, lakn pia pinto beans zinasaidia Sana ku-promote bowel regularity, control your blood sugars and reduce your risk for cancer and other chronic diseases. Karibu Sana Mkuu
 
Habari za uzima Ndugu zangu , Nina Maharagwe mazuri Sana yanayolimwa Sana Kilimanjaro , yanaitwa "Karianzee" ni Quality Sana kuyashinda hata Maharagwe ya Njano ila kutokana na kutojulikana watu wengi wamekuwa hawayanunui.

Sina Imani kuwa ni wote hawayajui ila Kuna watu watakuwa wanayajua na kuyatafuta haswa , yanapatikana kwangu kwa Bei nzuri kabisa ya 2500/Kg na hii ni favourable kwa wafanyabiashara wa vyakula maana wananunua Njano kwa 3000- 3300/kg kwahyo mkinunua kwa Bei ya 2500/= ni Bei ambayo ni rafiki na inawabeba zaidi kuwatengenezea Faida.

Notebene; Maharagwe haya hayana tofauti kabisa na Njano ni rangi tuu ndo itakudanganya zaidi haya ndo huyazidi Ubora hata hayo ya Njano. Karibuni wadau , nichekini kwa namba +255756501929/255623501929View attachment 2698774
Ni GMO au ukivuna unaweza kutenga mbegu au vp?
 
Nitayapataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni GMO au ukivuna unaweza kutenga mbegu au vp?
Ndio Mkuu, ni Moja ya mbegu Bora Sana ya Maharagwe kwa uzao wake, ni tofauti na Maharagwe mengine kwani haya huzaa Sana kwa kutambaa . Unapolima hekari Moja ya Maharagwe Njano, na hekari Moja ya haya Maharagwe Kuna tofauti kubwa Sana Katika uvunaji. Utapata kiasi kikubwa Sana Cha Pinto beans kuliko Njano, Njano ukilima vyema utapata Gunia 9 - 12 , lakini pinto Mpaka Gunia 18-21 kwasababu ya nature yake ya kuzaa. Indeed ni mbegu Bora Sana.

Unapoyapanda huchukua miezi miwili na nusu Hadi mitatu kukauka na kuvuna , kutokana na wingi unaweza kufanya kibiashara na kuhifadhi mbegu. Karibu Sana Mkuu
 
Maharagwe bora ni ya Mbeya tu hawa jamaa Wanyaki mkoa wao unatoa products bora za maharagwe na mchele hilo halina ubishi
Mzee wa kupambania uko sahihi lakn katika ubora wa lishe bila shaka hutanipinga nikisema haya pinto beans , Maharagwe mekundu na Maharagwe meusi ndo Maharagwe Bora kwa lishe, kwanini? Twende Pamoja , Maharage ya Pinto ni chakula bora ambacho hutoa utajiri wa faida za kiafya. Hapa kuna baadhi ya hoja ambazo zitakusaidia kujua haya maharagwe ya pinto yana faida katika afya yako Ndugu yangu Mzee wa kupambania
  • Maharage ya "Pinto" ni chanzo kizuri cha butyrate, asidi ya mafuta ya mnyororo mfupi ambayo husaidia kulisha bakteria yenye faida katika mfumo wa usagaji chakula. Hii inaweza kusaidia kuboresha afya ya utumbo na kupunguza hatari ya matatizo ya utumbo.
  • Pia zina nyuzinyuzi nyingi, ambazo husaidia kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo na matatizo mengine ya kiafya.
  • Maharage ya Pinto ni chanzo kizuri cha protini, ambayo ni muhimu kwa ajili ya kujenga na kurekebisha tishu katika mwili.
  • Pia ni matajiri katika antioxidants, ambayo huchukua jukumu muhimu katika kusaidia afya ya mfupa na kupunguza hatari ya magonjwa sugu kama saratani na kisukari.
  • Maharage ya Pinto ni chakula cha chini cha mafuta, kalori ya chini ambayo inaweza kusaidia kupunguza uzito na kuboresha afya kwa ujumla.
  • NOTABENE: usiache haya Maharagwe yakaisha huyapata , Nicheki yatakufikia , na usilipe kabla mzigo haujakufikiaa kwa wakazi wa Dar es Salaam.
 
Ndio Mkuu, ni Moja ya mbegu Bora Sana ya Maharagwe kwa uzao wake, ni tofauti na Maharagwe mengine kwani haya huzaa Sana kwa kutambaa . Unapolima hekari Moja ya Maharagwe Njano, na hekari Moja ya haya Maharagwe Kuna tofauti kubwa Sana Katika uvunaji. Utapata kiasi kikubwa Sana Cha Pinto beans kuliko Njano, Njano ukilima vyema utapata Gunia 9 - 12 , lakini pinto Mpaka Gunia 18-21 kwasababu ya nature yake ya kuzaa. Indeed ni mbegu Bora Sana.

Unapoyapanda huchukua miezi miwili na nusu Hadi mitatu kukauka na kuvuna , kutokana na wingi unaweza kufanya kibiashara na kuhifadhi mbegu. Karibu Sana Mkuu
Habari njema sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom