mahakamani

  1. Mwabukusi akemea vurugu za polisi mahakamani, asema ni shambulio dhidi ya haki

    Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
  2. GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA abebwa mzobe mzobe wakimzuia kuingia mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao leo, Jumatatu Septemba 15.2025 wamejitokeza kwa wingi Mahakamani hapo kuja...
  3. Ulinzi mkali Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani

    Ulinzi umeimarishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani hapo mchana wa leo Septemba 10.2025. Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu itaendelea tena Mahakamani hapo kesho chini ya jopo la Majaji watatu...
  4. Tundu Lissu akiwasili mahakamani kwa ulinzi mkali

    Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tunakusogezea kuona jinsi msafara uliomleta Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alivyoingia Mahakamani hapo mapema leo, Jumatano Septemba 10.2025 Lissu ambaye amefikishwa Mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi mkali...
  5. GE2025 Wanachama CHADEMA wazuiwa kuingia mahakamani kesi ya Lissu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo. Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
  6. GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
  7. T

    Banksy: Leo amechora kwenye jengo la mahakamani

    Huyu jamaa ni kama mzuka Mkiamka mnakuta picha imechorwa inatafsiri mwenendo wa nchi Jana usiku allikuwa mahakamani kama kazi, walinzi wanaamka wanakuta mchoro... Naona huu ujumbe leo unatuhusu, japo picha imechorwa London, UK
  8. Nyaraka za Commital Proceedings alizopewa toka mahakama ya Kisutu zipo tofauti na Nyaraka alizopewa mahakamani

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imetajwa leo, Jumatatu Septemba 08.2025 kwa mara ya kwanza kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Ndunguru Kabla ya...
  9. W

    GE2025 Prof. Jay, Mnyika, Lema na mabalozi na wanachama wamefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Mabalozi na wawakilishi wa balozi mbalimbali wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A Lissuambapo leo itaanza kusikilozwa. Katibu Mkuu John Mnyika akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini...
  10. R

    Professor Jay afika Mahakamani kusikiliza kesi ya Tundu Lissu

    Joseph Haule almaarufu Prof. Jay, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwasili leo Septemba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
  11. Tulionyimwa mafao NSSF, tufungue kesi mahakamani

    Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine. Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia. Sekta binafsi...
  12. Ofisi ya Msajili wa Vyama yamkingia kifua Samia. Yadai suala lake kama Mgombea wa CCM lipo Mahakamani, haiwezi kuingilia

  13. GE2025 Mwabukusi: Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP. Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
  14. Mahakamani kuu itisheni kesi ya Lissu,LASIVYO nanyi usiku huu wa saa KUMI waachemi wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa walau kwa lisaa limoja.

    Mahakama kuu itisheni kesi ya Lissu la sivyo nanyi waacheni wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa ya walau kwa lisaa limoja Ili. Mwone uchungu
  15. Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu: Yanayotokea Mahakamani Yanatishia amani ya nchi yetu.Viongozi wa muhimili wa Mahakama mko wapi?

    Kuna wimbo wa wanasiasa hupenda sana kuuimba, ''kudumisha amani, kulinda amani n.k.'' wakielewa kabisa hakuna silaha yoyote inayoweza kuilinda AMANI... Viongozi wanajua Amani ni matokeo ya HAKI inayopatikana kupitia sheria tulizojiwekea kama jamii. Ni hatari sana kupuuza kanuni hii muhimu...
  16. Tundu Lissu: Kwenye siasa za ukombozi, kukamatwa na kushitakiwa mahakamani ni kuvikwa Taji la dhahabu

    The man knows what he is doing. They are dancing within his riddims.
  17. Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
  18. B

    Hatimaye ana kwa ana na wapiga doria mitandaoni. Yapigwaje hiyo? Au ni hawa ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini?

    Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza? Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla? Au tuseme...
  19. Sakata la Mtoto aliyelawitiwa Nyakato - Mwanza, RC Mtanda asema kesi imefikishwa Mahakamani na Mtuhumiwa kapelekwa Gerezani

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba Claudia) tarehe 14 Agosti 2025. Mtanda akiwa ofisini kwake ametoa mwenendo wa kesi hiyo ambapo kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…