mahakamani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wakimaliza kumuhoji John Heche, msishangae kesi ikafutwa ili vigogo wa vyombo vya usalama wasohojiwe na Lissu mahakamani

    Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka. Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

    Shahidi John Heche tayari amewasili mahakamani, ni siku nyingine tena tunaendelea kupambana na kesi ya uhaini ya Mh. Tundu Lissu aliyopewa na Jamhuri Kaa tayari kwa updates ======= Leo September 15, 2026 Last time tuliishia Sehemu ya 417 Sehemu ya 418 Majaji wameingia muda huu hapa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Heche za Benki ya CRDB zaonyeshwa hadharani Mahakamani na Wakili wa Serikali bila idhini ya mwenye Akaunti

    Na Martin Maranja Masese Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja. Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Malenga Julius Mlemavu kutoka Tunduma amempa pesa Tundu Lissu Mahakamani

    Malenga Julias, mwanachama kutoka Tunduma, amefika Dar es Salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu. Julias, ambaye ni mlemavu wa miguu, alipata wasaa wa kusalimiana na Mhe. Lissu Mahakamani na kumkabidhi kiasi cha Shilingi 10,000. Hapa alirejea tena...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

    Saa 3 kamili asubuhi , Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Wegesa Heche amefika mahakamani kuulizwa maswali ya Dodoso na Mawakili wa Jamhuri Kaa tayari kwa updates Mwenyekiti wetu Tundu Lissu ameingia mahakamani muda huu ======== Leo September 14, 2026 Last time tuliishia Sehemu ya 408 so...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

    Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama. Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tutarajie nini endapo CDF, IGP na DCI watafika Mahakamani?

    Kwanza, nianze kwa kusema kwamba nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kesi hiyo tangu siku ya kwanza Tundu Lissu alipofikishwa katika Mahakama ya Kisutu hadi sasa, ambapo kesi hiyo inaendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu, huku mshtakiwa akiwa amekaa rumande kwa zaidi ya siku 400. Katika kipindi...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana. Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea? Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa Lisu kutoka chadema HQ hawakua wamejiandaa ipasavyo au ni kiwewe cha kizimbani tu?

    Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua, je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga? Baada ya hukumu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanandoa waenda mahakamani kudai talaka wakiwa wamevalia mavazi sare

    Wanandoa wa Nigeria wafika mahakamani kwa ajili ya kudai talaka wakiwa wamevalia mavazi sare. 😂 Inadaiwa kuwa jaji alihoji kama kweli walikuwa wameamua kuvunja ndoa yao baada ya kuwaona wamevalia mavazi yanayofanana. Walifika mahakamani kwa ajili ya talaka, lakini walionekana kana kwamba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lissu inabidi aukatie rufaa uamuzi mdogo ili mashahidi muhimu anaowataka waje mahakamani

    Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu. Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani. Kwa ninavyoona, Waziri...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kitu, ukizoea kujiropokea na kutukana ovyo omba usifikishwe mahakamani. Aibu utaiona wewe.

    Hebu na wewe sikiliza mahojiano haya kisha jipime mwenyewe. https://youtu.be/ft0IaABC254?si=KGte3w-tQz32SYib
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu adai kuzuiwa kuingia Mahakamani na Tisheti lililoandikwa aliyenusurika Risasi 16

    Lissu adai kuzuiwa kuvaa T-shirt iliyoandikwa “LISSU — SIXTEEN BULLETS SURVIVOR.” akiingia mahakani
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Leo Mahakamani kesi ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, shauri litaendelea kusikilizwa kwa upande wa utetezi

    Tayari mshtakiwa Tundu Lissu ameshawasili mahakamani na anauliza leo vipi leo wako wapi ? Anajibiwa wanakuja Kaa tayari kwa updates Shahidi Aman Golugwa nae ameshafika ======== Leo September 4, 2026 Sehemu ya 348. Majaji wanaingia na Mwenyekiti anaingia pia. Anasimama Ajuaye...
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Leo Mahakamani 03 September, Shahidi wa tatu Aman Sam Golugwa anaendelea kutoa ushahidi wake

    Tayari Mshtakiwa wa kesi ya Uhaini Mh Tundu Lissu amefikishwa mahakamani. Kaa tayari kufuatilia kile kinachoendelea mahakama kuu ya Tanzania, Mahakama ndogo jijini Dar es Salaam ======= Soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu: Msije gerezani usiku kunitembelea njooni mahakamani

    Akiwa mahakamani jana Lissu amesema kuna watu walienda kumtembelea usiku, hakuwataja wala hakusema walikuwa na nia gani, lakini kawashauri kama wanampenda wawe wanafika mahakamani kumsalimia.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Haya ndio Maswali Muhimu ya Lissu kwa Mashaidi kuhusu kauli za Raisi Zitakazomlazimisha Samia aitwe mahakamani

    Lisu kwa Golugwa. ' 1. Je baada ya maoni ya Jumuia za kimataifa juu za ubovu wa uchaguzi serikali ilifanyeje Golugwa: Mama alihutubia akasema wasitupangie. Tundu lisu; Je hizo lipoti zilimaanisha nini? Golugwa ; mifumo yetu ya uchaguzi lazima ibadilike ili itende haki labla ha chaguzi nyingine...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanaharakati Mange Kimambi aiburuza mahakamani kampuni ya META

    Pia Soma: Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mahakamani leo 2 September, Shahidi wa pili upande wa utetezi JJ Mnyika atamalizia kutoa ushahidi wake.

    Shahidi wa pili wa upande wa utetezi, Mhe. John Mnyika, leo atamalizia kutoa ushahidi wake kwa kujibu maswali ya dodoso kutoka upande wa Jamhuri
Back
Top Bottom