mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Mgombea binafsi Namibia awasilisha kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi

    Aliyekuwa mgombea binafsi wa urais wa Namibia Panduleni Itula, amewasilisha pingamizi la kisheria ya kupinga kushindwa kwake katika uchaguzi uliomalizika mwezi uliopita. Itula ameitaka mahakama ya juu ya Namibia kuagiza kurejewa uchaguzi haraka iwezekenavyo, kwa madai kwamba haukuwa huru...
  2. JamiiForums Tanzania Hatma ya Erick Kabendera bado ipo kwa DPP, Kesi yaahirishwa hadi Januari 2, 2020

    Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera bado haujakamilika. Kabendera anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kutakatisha Sh173milioni katika Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hayo yameelezwa leo Jumatano Desemba 18...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Chadema ni kama vile wanabet Mbowe yuko mahakamani na Tundu Lisu yupo uhamishoni wamebaki Sugu na Lema

    Kupanga ni kuchagua na mara zote umakini unahitajika sana. Chadema inakwenda kwenye uchaguzi mkuu utakaompata Mwenyekiti na makamu wake pamoja na kamati nzima ya utendaji. Miongoni mwa wagombea wa nafasi hizo ni mh Mbowe na wakili msomi Tundu Lisu bila kumsahau mh Mwambe. Angalizo muhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Matiko akiri kumiliki silaha

    Matiko akiri kumiliki silaha Najiuliza swali fikirishi kwamba ni nini cha ajabu huyu mtu kumiliki silaha, kwa hadhi yake kama mbunge? ===== Matiko akiri kumiliki silaha Alidai mahakamani wakati akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kuhojiwa na Jamhuri dhidi ya...
  5. JamiiForums Tanzania OCD Wilaya ya BUSEGA amekula Rushwa na kukataa kupeleka kesi ya mwanafunzi wa kidato cha pili Mkula Sekondari Mahakamani Mheshimiwa Sirro muwajibishe

    OCD wa wilaya ya Busega kwa muda sasa ameikalia kesi ya ubakaji ya mwanafunzi wa Mkula Sekondari iliyoko BUSEGA MKOANI SIMIYU inadaiwa kwamba Mwanafunzi huyo ameachishwa shule mpaka ss lakini cha kushangaza kesi ya mwanafunzi haijafika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa hii inatokana na kwamba...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Lissu afike Mahakamani Desemba 19

    Mh Hakimu anasema hataki siasa: "Hatutaki mambo ya siasa hapa namtaka Lissu aje hapa mahakamani kesi yake iendelee". Ndugai: Sijui Lissu alipo, namvua ubunge Rais: Ametelekeza jimbo Hakimu: Sitaki siasa, aje kesi iendelee ==== Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imemwagiza...
  7. JamiiForums Tanzania Rukwa: Hakimu aviburuza Mahakamani Vyombo vya Mahakama vilivyomfuta kazi

    Aliyekuwa Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, Jonathan Ernest Mgongoro ameziburuza mahakamani, Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) na Kamati ya Maadili ya Maafisa wa Mahakama (JOEC), kwa kumfuta kazi. Mgongoro, alifutwa kazi na Tume ya Utumishi wa Mahakama, Julai 17...
  8. JamiiForums Tanzania Wabunge wanne wa CHADEMA waliokamatwa kwa kukiuka masharti ya dhamana wapewa onyo na kuendelea na dhamana yao

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaonya wabunge wanne wa Chadema waliokiuka masharti ya dhamana kwa kutofika mahakamani bila taarifa yoyote. Onyo hilo limetolewa leo Jumatano Novemba 20, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, Thomas Simba baada ya kusikiliza utetezi wao, kubainisha kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha sita mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, leo Jumatano Novemba 20, imewakamata na kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara sita wakiwamo raia wa kigeni kutoka nchini China kujibu mashtaka ya Rushwa na uhujumu uchumi. Kaimu Mkurugenzi wa Uchunguzi)...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeota serikali imemfikisha Idris Sultan mahakamani na kumsomea mashitaka

    Nimeota kuwa upande wa serikali umefanikiwa kumfikisha Idris Sultan mahakamani na kumsomea mashitaka matatu. 1. Kukalia kiti cha Rais! 2. Kumvalisha Rais nguo za ki-BITOZI au ki-CHEKIBOB! 3. Kumkata kichwa Rais Mashtaka yaliposomwa, Hakimu alitaka kuchanganyikiwa, akapekuapekua nyaraka huku...
  11. JamiiForums Tanzania Shabani Hamisi, Mume wa Zamaradi Mketema aliyemtishia mwenzake kwa bastola afikishwa Mahakamani

    Shabani Hamisi ambaye ni mume wa mtangazaji na mmiliki wa Zamarad TV, Zamaradi Mketema amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni akikabiliwa na mashtaka ya kumtishia Venance John kwa bastola. ===== Aliyemtishia mwenzake na bastola aachiwa JUMATATU , 4TH NOV , 2019 NA MWANDISHI...
  12. JamiiForums Tanzania Mgombea wa Chadema Keko Mwanga A kufikishwa Mahakamani mchana huu kwa kukataa unyonge na kupigania haki yake

    Atafikishwa Mahakamani baada ya kuhakikisha mtendaji wa kata ya Keko anatenda kama sheria za uchaguzi zinavyotaka kwa kumpatia mgombea halali fomu zake , hii ilitokea baada ya Mtendaji huyo kuchelewa kujificha hadi kukutwa ofisini na Mgombea wa CHADEMA ambapo akataka kukataa kumhudumia mgombea...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu wa vituo vya Polisi waitwa Mahakamani kueleza sababu za kukaa na mshtakiwa mahabusu kwa siku 14

    Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewataka wakuu wa kituo cha polisi Kijitonyama na Oysterbay kufika mahakamani hapo leo Ijumaa Oktoba 25, 2019 kueleza sababu za kukaa na mtuhumiwa kwa siku 14 badala ya kumpeleka gereza la Segerea. Mtuhumiwa huyo, Elizabeth Balali alifikishwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari za Kiuchunguzi, Erick Kabendera ataka kuongea na DPP ili kumaliza kesi yake

    Jebra Kambole, wakili wa mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera ameijulisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mteja wake anataka kujadiliana na mkurugenzi wa mashtaka (DPP) namna ya kumaliza kesi inayomkabili. Ameeleza hayo leo Ijumaa Oktoba 11, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi...
  15. JamiiForums Tanzania Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

    Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

    Kwanza kabisa niwape pole familia ya Kabendera, wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya Kabendera kwa upande wake,kwa kuwa wataonekana hawana ubinaadamu. Lakini kama nchi, Kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana Rais atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna...
  17. W

    JamiiForums Tanzania MSWADA: Sababu 50 za kuunga mkono, dhidi ya sababu 15 za kuupinga Mswada wa sheria ya vyama vya Siasa Tanzania, wa Oktoba 2018.

    A. SABABU 50 ZA KUUNGA MKONO. 1. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa itakuwa na jukumu la kusajili vyama vya siasa. 2. Kutoa elimu ya uraia ni jukumu la pili la Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, 3. Ofisi ya Msajili kuwa ndiye msimamizi wa mienendo ya vyama vya siasa vyote nchini Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    Swali: Kwa mfano, amesema elimu itakuwa ni ya bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Lakini pia amesema anauchukia sana umasikini na amechukua makundi ambayo yamebeba idadi kubwa ya Watanzania: Mama n’tilie, dereva bodaboda na vijana wasiao na ajira. Tuliona juzi akishiriki katika usafiri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…