mahakamani

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Katambi alisema wakutane mahakamani, wameenda, leo anasema ni wapinga maendeleo

    Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa. Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile anatekeleza sheria za nchi, akasema "Tukutane Mahakamani". Asitumie mikutano ya kisiasa kuwatisha...
  2. N

    JamiiForums Tanzania LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbroad Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa Mambo ya Naani ya Nchi, Patrobas Katambi na wenzake sita. TLS na wenzake wamefungua kesi hiyo Mahakama...
  3. JamiiForums Tanzania Jamii ya marasta wa Kenya waenda Mahakamani kudai bangi ihalalishwe

    Link hii hapa ifuatie mwenyewe:- https://www.instagram.com/reel/Da0i0W-oQ2V/?igsh=Z25sMmNyNnY5cDFo
  4. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukamata mtu na kumpeleka mahakamani alafu unasema upelelezi ujakamilika tatizo ni nini

    Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka. Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunahoji: Yule ‘Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu’ alifikishwa mahakamani?

    Wakuu, Nani mwenye update ya hili igizo? Kesi ya yule mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Kenya aliyekamatwa na mabomu 4 ilifika mahakamani? Mtuhumuwa aliachiwa au bado yuko ndani? Kama walivyotoa taarifa za kukamatwa kwake, ndivyo wanatakiwa kutuarifu juu ya mwenendo wa kesi hii ya mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Eric Shigongo Asema Atayafikisha Mahakamani Malalamiko ya Watumiaji Kuhusu Bando za Intaneti

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametangaza dhamira ya kulifikisha mahakamani suala la malalamiko yanayoendelea kutolewa na watumiaji wa huduma za intaneti kuhusu bando kuisha au kukatwa kabla ya muda wanaotarajia. Hatua hiyo imekuja baada ya kusambaa kwa video ya Niffer akielezea changamoto...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA Mkienda mahakamani, hukumu itatoka mwaka 2030.Tutumie mabavu kufanya Siasa

    CCM wakiangalia mbele ni giza sababu haakuna walichofanya. Hivyo wanahofu ya kuondolewa madarakani. Mikutano ya CHADEMA inawatisha kwani walitegemea CHADEMA imekufa. Hata 29.10.2025 walipiga risasi wananchi sababu walihisi waliokuwa wanaandamana ni CHADEMA. Nashauri CHADEMA tutumie mabavu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
  10. JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mahakamani leo: Hii nimeikuta mahali. Mwenye fununu atujuze

    Polisi wametanda hapa Mahakamani utafikiri kuna jambo la uasi linataka kutokea. Kesi ya Lissu haipo leo ila kwa hali hii mashaka ni makubwa sana kwamba wanaweza kumleta Lissu hapa na kumuachia leo na wakampeleka mpaka kwake Tegeta kimya kimya. "ACHA TUUPE MUDA MUDA"
  12. JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi Wanaoshikiliwa Kinyume cha Sheria maeneo mbalimbali Nchini waachiwe au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imeripoti kuwa imekua ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Imeripoti kwamba mkoani Shinyanga, zaidi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

    04 June 2026 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Tanzania MAKONTENA MAWILI WA MADAWA YA KULEVYA Mahakama yaelezwa kontena dawa za kulevya lilivyoingizwa Tanzania 57 minutes ago — Riziki Shaweji ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni NRM Agro mkaazi Masaki jijini Dar es Salaam kigogo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mama mkwe apora Mali za marehemu, mgane alia kwa uchungu mahakamani!

    Kijana , umri miaka 30 , alifiwa na mke wake ambaye walikuwa na mtoto mmoja tu wa kike umri wa miaka 2. Mwana-uume huyo alikuwa akiishi nyumba moja na mama mkwe wake pamoja wamashemeji zake kwakuwa walikuwa hawana pa kukaa na nyumba ilikuwa na hati jina ni la huyo mwanaume. Mke alifariki...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nimesoma mahali kuwa Lisu aliletwa kinyemela mahakamani. Kulikoni?

    This is the trending news. Imekuwaje? Nasikia eti kulikuwa na proposal ya kumuachia?
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, . Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
  17. JamiiForums Tanzania Aliyegomea uteuzi wa Rais aburuzwa Mahakamani kwa Utakatishaji Fedha na wenzake. Je, ni kweli alitakatisha fedha au kuna kisasi?

    Aliteuliwa na Rais Samia mwaka 2023 kuwa mkuu wa wilaya Mbogwe yeye na mwenzake Maganga wakakataa uteuzi. Jana wamefikishwa mahakamani kwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Je, ni kweli walitakatisha fedha au ni kisasi? Pia soma Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth...
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka yupo Mahakamani kwa ajili ya kesi ya wafanyabiashara 'wapangaji' katika jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo

    Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
  19. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Nitamfikisha Baba Levo Mahakamani kwa kuniambia nilijiteka, aniombe radhi

    https://www.youtube.com/live/F26wOjys36A?si=1PcO6uI7Cfci1rwJ Abdul Nondo amezungumza hayo leo Mei 23, 2026 Jijini Dar es Salaam. kwenye Hoteli ya Land Mark Hotel , Riverside Ubungo. KUFUNGUA MASHTAKA DHIDI YA CLAYTON REVOCATUS CHIPANDO (BABA LEVO) KWA KUNICHAFUA, KUNIDHALILISHA, KUNIVUNJIA...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke amfikisha mwanaume mahakamani akitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye angalau kwa mara moja tena.

    Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…