mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

    Hatimaye mwanadada mrembo na mfanya biashara maarufu tokea pande za +254 amefunguka na kudai ameshasaini kila kitu kilichomtaka yeye kufanya hvyo , na Kwa sasa anachoangalia yeye ni biashara zake na sio kitu kingine...... Ben Pol na Anerlisa walifunga ndoa mwishoni mwa mwezi mei mwaka 2020...
  2. JamiiForums Tanzania Natarajia kufungua kufungua kesi mahakamani nimshtaki mkuu wa mkoa kwa uonevu dhidi yangu

    Husika na kichwa cha habari wana jf Mimi ni kijana mwenzenu ninae tafuta hela kwa hali na mali, mwaka 2013 nilifanikiwa kununua eneo lenye ukubwa hekari 25 wilaya ya Mvomoro kata ya Kimambira kijiji menge mwaka 2016 eneo hili nikawa nalima matikiti na nyanya nikawa najipatia mapato...
  3. U

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kuwapeleka Mahakamani wabunge 19 waliofutwa uanachama CHADEMA

    Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) limesema litakwenda mahakamani kufungua kesi iwapo wanawake 19 waliofukuzwa katika chama hicho wataendelea kutambulika kama wabunge wa Chadema. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Jumamosi Aprili 24, 2021 mweka hazina wa Bawacha, Catherine...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  5. JamiiForums Tanzania Jaji Kiongozi: Wanaopeleka kesi Mahakamani bila kuwa na ushahidi wachukuliwe hatua

    Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dkt. Eliezer Fereshi ameagiza ngazi mbalimbali za mamlaka zinazohusika kufanya usuluhishi kuchukua hatua kwa watu au taasisi zinazopeleka kesi Mahakamani bila ya kuwa na ushahidi na kupelekea kuwepo kwa mahabusu wengi gerezani na kesi kuchukua muda mrefu...
  6. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibua bungeni sakata la tembo kuvamia kuua wananchi, ataka wafugaji walioshinda kesi Mahakamani watendewe haki warudishiwe ng’ombe

    MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini. Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waende Mahakamani kudai viti vyao 19 vya Ubunge wa akina mama!

    Nashauri tu kwa sababu Watanzania hatutabarikiwa na Mungu kama chombo chetu kitukufu cha Bunge kinanajisiwa mchana kweupe. Ninayasema haya baada ya jana kuwasikiliza wanasheria nguli akina Chris Maina, Jaji Warioba, Prof Shivji nk nk katika uzinduzi wa kitabu cha Jaji mkuu mstaafu Barnabas...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Mdude Nyagali kuanza kujitetea kwa hoja nzito Mahakamani apigwa na kuteswa zaidi Gerezani kwa madai ya kuisumbua Serikali

    Madai haya mapya yametolewa mahakamani jijini Mbeya , ambako Mdude Nyagali anaendelea kujitetea dhidi ya tuhuma za uongo alizobambikiwa kinyama za madawa ya kulevya . Mdude amedai mbele ya Mahakama huku machozi yakimtoka kwamba , baada ya kuanza kujitetea tarehe 25 march 2021 , na kesi yake...
  9. JamiiForums Tanzania Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

    Anaandika Millard Ayo "Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol amefungua shauri la talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa ambae ni Raia wa Kenya ambapo kwa mujibu wa taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kilichoongea na millardayo.com shauri hilo limefunguliwa na Benard Paul Mnyang’anga katika...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nawashauri CHADEMA iende mahakamani kupinga uteuzi wa wale wabunge 19

    Nawashauri uongozi wa CHADEMA kuwa sasa ni muda muafaka kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa wale Wabunge 19 walioingia Bungeni bila kufuata sheria, kanuni na taratibu. Ninaamini Sheria itachukua mkondo wake.
  11. JamiiForums Tanzania Benzema kufikishwa Mahakamani na kufungwa miaka mitano jela akikutwa na hatia

    Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema atafikishwa mahakamani mwezi Oktoba kujibu tuhuma ya kuhusishwa na hujuma ya kanda ya Video ya ngono dhidi ya aliyekuwa mchezaji mwenzake wa timu ya taifa ya soka ya Ufaransa Matthieu Valbuena. Taarifa hiyo imetangazwa leo na ofisi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa The Cask Bar Mwanza afikishwa mahakamani

    Mmiliki wa The Cask Bar Mwanza afikishwa mahakamani, atimua mbio Watu watatu wakiwemo raia wa kigeni wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuingia nchini na kufanya kazi bila vibali. Raia hao waliingia nchini na kuanza kufanya kazi bila ya kuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali aanza kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili

    Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya Madawa ya Kulevya Mdude Nyagali kesho tarehe 25/3/2021 atafika Mahakamani , ambako ataanza kujitetea dhidi ya tuhuma zinazomkabili za madawa ya kulevya Wote mlioko Mbeya mnaombwa kujitokeza kwa wingi mahakamani ili kujionea mtiti wa kamanda Mdude pale atakapoanza...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni yanunua mawe yaliopakwa rangi ikidhani shaba, kesi yaunguruma mahakamani

    Habari, Kesi mahakamani ni jambo la kawaida katika ulimwengu ya biashara lakini kesi iliyofunguliwa na moja ya kampuni kubwa ya utengenezaji bidhaa imevutia nadhari isiyo ya kawaida. Kampuni kubwa ya Uswizi ya Mercuria Energy Group, imeshitaki kampuni ya uuzaji wa shaba ya Uturuki baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania HongKong: Wanaharakati 47 kufikishwa Mahakamani kwa kujaribu kuipindua Serikali

    Polisi wamewakamata wanaharakati 47 kwa "kupanga kuipindua serikali " katika Kanda Maalum ya Utawala ya Hong Kong. Imetangazwa kuwa watu hao 47 watafikishwa mahakamani siku ya leo. Imeelezwa kuwa wanaharakati hao, wenye umri kati ya miaka 23 na 64, walikamatwa mnamo Januari na kuachiliwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Masheikh kurundikwa Magereza bila kufunguliwa kesi Mahakamani nchini Tanzania, nini hatma yake?

    Sio tu masheikh wa uamsho ambao walikamatwa na SMZ na kuletwa Tanganyika kuendelea na mashitaka yao ya ugaidi lakini Serikali ya awamu ya tano ilivyoingia madarakani kesi zote zikasimamishwa na hakuna tena kupelekwa mahakamani isipokua ni mateso ya hali ya juu ambayo huwezi kuamini ukiambiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tabora: Wafanyakazi wa TANESCO wafikishwa Mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Aliyekuwa Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora, Mohamed Abdallah D’Souza na aliyekuwa Mhandisi Mwandamizi wa Tanesco, Melkiad Msigwa wamepandishwa kizimbani kwa makosa saba, likiwemo la ujuhumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh 60,066,382.40. Wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kumshtaki mahakamani Meya wa Manispaa ya Moshi

    Huyu Meya alifikiri ni sifa kuwaamrisha watu waliohudhuria mkutano wa baraza la madiwani wa manispaa hiyo kwa mawazo yake ya kijinga kuwa ilikua makosa kuvaa Barakoa wazive na kama hawavui wachukuliwe hatua. Madai yake ilikua eti manispaa haina ugonjwa wa Corona. Kwani Barakoa inakinga Corona...
  19. JamiiForums Tanzania Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, John Tendwa: Katiba Mpya itaondoa migogoro ya Uchaguzi. Kwanini Rais hapingwi Mahakamani?

    Salaam Wakuu, Msajili Mstaafu wa Vyama va Siasa Jaji Mstaafu John Tendwa, amesema Katiba Mpya itaondoa Migogoro wakati Uchaguzi. ameyasema hayo leo 13 Feb 2021 Jijini dar Wakati wa kujadili Utatuzi wa Migogoro ya Uchaguzi Tanzania, katika Kongomano lililoandaliwa na Tanganyika law society (TLS)...
  20. JamiiForums Tanzania Hatua gani nichukue endapo Hakimu au Jaji hatendi haki kwa kuchelewesha shauri Mahakamani?

    Salam wadau, Nataka kufahamu hatua za kuchukua ukiona hakimu hatendi haki au anachelewesha hukumu kwa makusudi (kutoa ruling ya shauri mahakamani). Kuna hatua zozote za kufata au kureport au ndo hakimu (judge) analindwa na katiba hata kama anafanya kazi kinyume na maadili ya kazi yake either...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…