Anayepaswa kupeleka shahidi Mahakamani ni nani?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Anaepaswa kumtaarifu mtu kuwa anatakiwa kwenda kutoa hasa kwa upande wa mashitaka hususan Jamuhuri??

Je ni Dpp?
Je ni DCI ?
Au ni Polisi??
 
Na vipi huyu Swila, atakua alitumwa na DPP kwenda kuongea na OCS wa TAZARA kwamba afike mahakamani kama shahidi? Walikaa siku ya Jpili ili kuandaa ushahidi kwenye DR (pamoja na kwamba vituo vya polisi vinafanya kazi 24/7, lakini hii inaacha maswali....)
Ndiyo madhara ya kesi za michongo na washahidi wa michongo
 
Back
Top Bottom