mahakamani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  2. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwa hakimi baada ya kutua mahakamani na kuonekana mali zake zote alimuandikisha mama ake miaka kadhaa

    Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali. NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie...... ume
  3. JamiiForums Tanzania Nigeria: Tinubu kuapishwa licha ya uwepo wa kesi za kupinga ushindi wake Mahakamani

    Waziri wa Habari, Lai Mohammed anasema Rais mteule Bola Tinubu ataapishwa tarehe 29 Mei licha ya kesi Mahakamani kupinga ushindi wake Wagombea Wanne wa Urais waliwasilisha mapingamizi ya kisheria tarehe 21 Machi dhidi ya ushindi wa Tinubu, kwa madai kuwa kulikuwa na wizi wa kura na udanganyifu...
  4. JamiiForums Tanzania Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

    Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanasheria asema Trump hatafika Mahakamani akiwa amefungwa pingu

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (76) atasafiri kutoka Florida kwa ndege yake binafsi kuelekea New York kisha kujisalimisha kwa mamlaka za Usalama ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani Jumanne Aprili 4, 2023. Licha ya kuwa mashtaka yake hayajawekwa wazi lakini inadaitwa atashtakiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanandoa watimua mbio Mahakamani baada ya kuachiwa huru kwa kesi ya Bangi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi na kuwachia huru watu watatu wakiwemo wanandoa waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi gramu 66.70, baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano mfululizo bila kuendelea na usikilizwa wa upande wa...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajawahi kuupinga mahakamani Uchaguzi wa wabunge 2020, hivyo ni halali kupokea ruzuku

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

    Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili. Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku...
  10. JamiiForums Tanzania Deus Seif na Abubakari Alawi waliokuwa viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania waigaragaza Serikali Mahakamani

    Watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania ambao Juni 28 2022, walitiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi na uchepushaji wa fedha za walimu kiasi cha shilingi 13,900,000 na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kosa hilo walifungwa miezi 6 gereza la Ukonga lakini walikaa...
  11. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ndoa ya Dkt. Mwaka na mkewe kufikishwa Mahakamani

    Sakata la ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka maarufu Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja, limechukua sura mpya baada ya shauri hilo kutua kwa wanasheria ambao wamepanga kulipeleka mahakamani. Shauri hilo tayari limepita kwenye Baraza la Usuluhishi chini ya Ustawi wa Jamii na wakati wowote...
  12. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mgombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani

    Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC. Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo yalichakachuliwa. Inadaiwa waliopiga kura ni 28% ya Wanigeria waliojiandikisha huku wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Kanikosea, kisha kanifikisha mahakamani..

    Wakuu... Hv mtu akikushtaki Halafu hafiki mahakami siku za hukumu, kisheria naweza kuchukua hatua gani? Kwasababu ni kupotezeana muda tu.
  14. JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa, Rais wa kwanza na pekee kuitwa Mahakamani

    Aliitwa/alienda mwenyewe nafikiri ilikuwa ni kesi ya Balozi aliyeitwa Mahalu aliyeshutumiwa kwa uuzaji wa nyumba ya Ubolozi huko Italia, baada ya Mkapa hakuna na wala hakujawahi kuwa na Rais wa Tanzania aliyeitwa Mahakamani. Mzee Mkapa Mahakamani
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwandishi wa Habari Luqman Maloto kuwashitaki DCI na DPP yasikilizwa, upande wa DCI haujatokea Mahakamani

    Sakata la Mwanahabari Luqman Maloto ambaye amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam limeendelea leo Februari 9, 2023 ambapo imefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa. Wakili Hekima Mwasipu anaelezea kilichotokea ikiwemo Mkurugenzi wa Makosa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mawakili wakiburuza chama chao (TLS) mahakamani "Wanatulazimisha"

    Mawakili wapinga azimio la TLS kulazimisha Mawakili wa Tanganyika Law Society kupitia azimio la mkutano wao wa mwaka AGM annual General Meeting kuwa wanachama wa EALS ambapo itakuwa lazima walipie $20 kuwa wanachama kwa lazima wa chama cha Mawakili Afrika ya Mashariki - East Africa Law Society...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu 6 walioonekana katika video ya watoto wakiigiza ngono wafikishwa Mahakamani

    Walimu sita wa Kenya wamefikishwa mahakamani, baada ya kukamatwa kwa video ambayo walionekana kuwaruhusu watoto wa shule ya msingi kuiga vitendo vya ngono, katika shule moja magharibi mwa nchi. Video hiyo ilisambazwa sana nchini Kenya na kusababisha hisia kubwa ya umma. Walimu hao walikamatwa...
  18. JamiiForums Tanzania Vitendo vya Onesmo Buswelu vyaifanya Mahakama Kuu itoe fidia ya milioni 100

    Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu alimkamata mtu, akamuweka ndani kwa siku kadhaa. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa amri kwamba serikali ilipe fidia ya milioni 90 na Mkuu wa Wilaya alipe fidia ya milioni kumi. Maamuzi mabaya yanaligharimu taifa, piga hesabu TRA wanahangaika kukusanya...
  19. JamiiForums Tanzania Kigoma: Kisa mgogoro wa ardhi, Kanisa Katoliki laishitaki CCM Mahakamani

    Mgogoro wa ardhi ambao umekuwa ukiendelea kwa muda umesababisha Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma kuamua peleka Mahakamani mashitaka dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Shitaka hilo lililofunguliwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma, Kanisa limewashtaki Bodi ya Wadhamini wa CCM, Waziri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…