mahakamani

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa ofisa wa Magereza na wenzake wafikishwa Mahakamani kwa makosa ya kughushi msamaha wa Rais

    Aliyekuwa ofisa wa Magereza, Josephat Mkama na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa manne likiwamo la kughushi msamaha wa Rais kwa wafungwa. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Sibuti Nyabuya na Joseph Mpangala. Kesi hiyo...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Botswana afikishwa Mahakamani kwa mashtaka ya Makosa Jinani baada ya kurejea nchini humo

    Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha. Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na vyama vingine vipo mitaani na mitandaoni kutafuta kura cha uchaguzi wa mitaa, CHADEMA wapo Mahakamani kupinga uchaguzi

    Wanahangaika mahakamani kupambania uchaguzi wa serikali za mitaa usimamishwe wenzao wako busy kusaka kura mtaa kwa mtaa huku wakijua mahakimu na majaji wote wanateuliwa kutoka CCM, watasubiri sana. Wapo mitandaoni kutukana viongozi wenzao wapo mitandaoni kusaka kura USSR
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

    Salaam, shalom!! Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri, Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Mhe.Rais akiamua na yeye kwenda Mahakamani kudai haki yake ya kubaguliwa na Mbowe na Lissu kwenye majukwaa ya siasa c itakuwa balaa

    Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais. Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi, kama ningekuwa mm hakyamungu ningewaongoza kama Niccolo Machiaevell vile. Rais ni kiongozi wa nchi lkn...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mahabusu hawasafirishwi kwa staha wanapopelekwa mahakamani?

    Sioni sababu ya kuwasafirisha mahabusu kwa namna inayofanyika hivi sasa. Mahabusu wanasafirishwa na magari ya polisi huku wakiwa wamechuchumaa. Kwann lisitafutwe gari ama minibus zuri lenye AC wakaketi wote na kupewa magazeti wayasome wakati wakielekea mahakamani? Hatuoni kuwa kama taifa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mamlaka za kimataifa haziwezi kuishinikiza serikali ya Tanzania kuwaachilia mateka au kuwapeleka mahakamani

    Nauliza kuna uwezekano huo? Wanasheria akina madeleka, Mwabukusi, is that possible? mbona wana uwezo wa kukamata ndege? au kwa vie these are civil engagements?
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 'Afande Fatma' afika Mahakamani, Hakimu aahirisha Kesi ya 'Binti wa Yombo' hadi Oktoba 7, 2024

    Fatma Kigondo anayedaiwa kuwatuma watuhumiwa wa kosa la kubaka kwa kundi ametii wito wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma iliyomtaka kufika mahakamani hapo leo Septemba 5, 2024. Mahakama hiyo Agosti 23 ilitoa wito wa kufika mahakamani (samansi) kwa Fatma baada ya ile ya awali iliyomtaka...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuna upinzani dhaifu. Nilitarajia Nape Nnauye na aliyekuwa DC Longido wangefikishwa Mahakamani

    Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri. Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na...
  10. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Mwamba Pavel Durov, Wanazi Wa Telegram Tuko Nyuma Yako, Ila Ukienda Na Hii English Mahakamani, Lazima Wafaransa Wakufunge.

    https://www.jamiiforums.com/threads/ceo-wa-mtandao-wa-telegram-pavel-durov-akamatwa-katika-uwanja-wa-ndege-nchini-ufaransa.2249872/
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Polisi watafanya nini baada ya kuamriwa na Mahakama kuhakikisha watekaji wanafikishwa Mahakamani?

    Bungeni umesikia kauli ya spika kuhusu hafahamu lolote wala hakuna utekaji kuwa hupo tanzania. hii kauli yake nayo inakuwa sawa na raisi kusema ni drama. huku jeshi la polisi matukio mengi ya utekaji wamekuwa wakikanusha au kupuuzia linapotokea. Sasa matumbo joto huko wizara ya mambo ya ndani...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe atinga mahakamani shauri la watatu waliotekwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe, leo Agosti 28, 2024 amefika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam ili kusikiliza shauri linalowakabili viongozi wawili wa Baraza la Umoja wa Vijana Chadema (Bavicha) Wilaya ya Temeke na dereva wa pikipiki wanaodaiwa kushilikiwa...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mpina dhidi ya Bashe na Spika Tulia imeanza kusikilizwa Mahakamani leo Agost 28, 2024

    Kesi iliyofunguliwa na Mbunge Luhaga Mpina dhidi ya Waziri Bashe, Spika , Mwanasheria Mkuu wa Seriikali na wengine imeanza ksikilizwa leo Agosti, 28, 2024 katika Mahakama Kuu Dar Es Salaam. Pia soma: Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni...
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania KERO Sheria inayompa mamlaka makubwa DPP, kuwa apeleke au asipeleke kesi mahakamani, ni mbaya na inafaa ifutwe

    Miongoni mwa sheria mbovu sana zilizopo nchini ni inayompa mamlaka DPP ya kuweza kupeleka au kutopeleka kesi yoyote ya jinai, inayomkabili mwananchi yeyote na asitoe sababu za kutoipeleka kesi yoyote Ile mahakamani! Hii ni sheria mbovu sana, ambayo ilitungwa Kwa nia ya kuwafanya baadhi ya...
  15. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Madeleka: 'Afande' atakamatwa kama hatofika Mahakamani Septemba 5, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imepanga Septemba 5, 2024 kutoa hati ya ukamatwaji kwa mtu anayetambulika kama Afande, Fatmah Kigondo anayedaiwa kuratibu tukio la ubakwaji na ulawiti wa Binti wa Yombo Dar es Salaam endapo kama hatofika mahakamani. Hatua hiyo inakuja baada ya Mlalamikaji ambaye...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya CCM kujifungulia kesi, kujitetea mahakamani na kujihukumu

    Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio! Hakika Serikali...
  17. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

    Update (Agosti 21, 2024) Mtaalamu wa Mawasiliano, Daktari Watoa Ushahidi Kesi ya Ubakaji wa Binti wa Yombo Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji kwa binti ambaye ni mkazi wa Yombo Dar es salaam, imeendelea kusikilizwa leo Agosti 21,2024, ikiwa ni...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TFF yaiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuiondoa kesi ya Liston Katabazi Mahakamani

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuiondoa Mahakamani kesi ya Madai Namba 14708 ya 2024 iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi ambaye anaidai fidia ya Shilingi 700,000,000 kutokana na TFF kuchapisha taarifa ya kufungiwa maisha...
  19. Heparin

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Aliyesababisha Binti wa Yombo Kubakwa na Kulawitiwa naye Afikishwe Mahakamani

    https://youtu.be/m9WGFYVzCvU Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi. Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

    Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
Back
Top Bottom