TAKE IT SERIOUSLY
Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake!
Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
DAR. Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imepata pigo kubwa la kisheria baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi yake dhidi ya serikali, ambapo ilipinga makubaliano ya mwaka 2021 kuhusu fedha za Tegeta Escrow na kudai fidia ya Sh100 bilioni.
Kampuni hiyo ya uzalishaji umeme...
Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani.
https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282
Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais .
Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi.
Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM.
Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
Akisisitiza kuwa hakuna kutetereka wala kuogopa, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche akiambatana na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe. Tundu Lissu, amefurahia sana wingi wa wananchi waliojitokeza leo Mei 19...
Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu.
Amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa chama hicho jimbo la Maswa...
Sio wote walio magereza wana hatia.
Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986.
Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika
Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail
Hearing...
Hakuna farasi, mbwa, polisi na mambo kama hayo?
: Ok kumbe leo kuna kesi ya wazanzibar kupinga mgaanyo wa mali za chadema
https://www.youtube.com/watch?v=Do9923cZGMg
Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni?
Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima.
Move imekuja kuharibika kupitia...
Baada ya tukio lililotokea Aprili 29, 2025 ikielezwa kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kiasi cha kusababisha Jeshi la Polisi kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia, ufafanuzi umetolewa kuhusu tukio hilo
Kama hukusoma kuhusu...
Wadau hamjamboni nyote?
Picha Wakili Peter Madeleka (kushoto) akiteta jambo na mteja wake, John Robert Rupia, katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi, kabla ya kuanza kusikiliza kesi ya mgogoro wa ghorofa liliopo Kariakoo makutano ya Masimbazi na Uhuru ambapo leo kesi hiyo ni kwa...
Wakili Peter Kibatala ambaye ni mmoja wa Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa wito kwa Wananchi watakaohudhuria wakati wa kesi inayomkabili mteja wao katika Mahakama ya Kisutu kuwa na utulivu ili wasije kufanya tukio ambalo linaweza kutumika kuwa kisingizio cha...
Sijawasikia wanasema wataenda mahakamani kesho.
Na John Heche amekwenda mbali kabisa na mahakama inavyowezekana,kwa sababu amekwenda Mara.
Na Tundu Lissu anasema anataka kupelekwa mahakamani leo.
Lakini yapo mafanikio yoyote Chadema imepata kutokana na haya maandamano au Chadema inabidi...
Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga.
Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo,
Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
Waliokuwa wafanyabiashara ambao walipanga kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania (Division ya Ardhi) Dar es Salaam wakidai fidia kwa waliokuwa wamiliki wa jengo hilo, ambapo madai ya fidia hiyo...