mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati muafaka kila mhimili yaani Bunge, Mahakama na Urais kuwa na makao yake ktk miji tofauti ?

    Makala maalum toka maktaba ya JF: https://www.jamiiforums.com/threads/hamuoni-inavyopendeza-rais-samia-akiwa-magogoni-na-dkt-mpango-akibaki-dodoma.1873766/#post-39142626 KURUDISHA UHURU WA MIHILIMI MITATU YA DOLA TANZANIA, KATIBA ITAMKE KILA MHIMILI UWE NA MAKAO YAKE KTK MIJI TOFAUTI Dodoma...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

    Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili. Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua. Matokeao yake unaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Gambia: Mahakama yatupilia mbali ombi la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu

    Mahakama ya Juu Nchini humo imetupilia mbali ombi la Chama Kikuu cha Upinzani la kubatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Desemba 4, ambapo Rais Adama Barrow alitangazwa mshindi Kiongozi wa Chama cha United Democratic Party (UDP), Ousainou Darboe aliyepata 28% ya Kura alisema Kampeni za...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Freeman Mbowe na hukumu ya mahakama tatu

    Mengi yameongelewa kwenye kesi hii ya Mbowe na tuhuma za ugaidi (wao wanasema makosa ya ugaidi). Kesi hii imevuta mahakama tatu, na mbili kati ya hizo zimeshatoa hukumu ni moja tu ndio bado haijatoa hukumu kama ifuatavyo. 1. Mahakama ya uhujumu uchumi Mahakama hii inaongozwa na inasikilizwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Uingereza yahukumu Assange anaweza kurejeshwa nchini Marekani

    Hivi karibuni Marekani imeongoza “mkutano wa kimataifa wa demokrasia”, na kwenye mkutano huo nchi za Magharibi zimedai kutetea mambo ya demokrasia na haki za binadamu duniani. Kinachoshangaza ni kwamba wakati wa mkutano huo, Mahakama Kuu ya Uingereza imetoa uamuzi kwamba mwanzilishi wa kampuni...
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawafahamu tofauti ya wajibu wa Mahakama na DPP

    Tumeshuhudia watu wengi wasio na ufahamu wakisema eti kesi ya Mbowe tuiachie Mahakama iamue na kusiwekwe shinikizo la serikali kuiondoa kwa vile ni ya kubumba. Tumeona pia Bunge la EU lililaumiwa eti liache kumshinikiza Rais Samia kuondoa kesi hii kwa vile tayari iko mahakamani. Tukumbuke...
  8. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

    Leo tarehe 1/12/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe na wenzake inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya Jumanne, tarehe 30 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021...
  9. JamiiForums Tanzania Trump aiomba Mahakama kuzuia taarifa zake zisiingie mikononi mwa bunge

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, ameiomba Mahakama ya rufaa kuwazuwia wabunge wanaofanya uchunguzi wa ushiriki wake kwenye ghasia za Januari 6 dhidi ya jengo la bunge, Capitol, kupata taarifa kuhusu mazungumzo na matendo yake wakati huo. Kupitia mawakili wake, Trump anaitaka Makumbusho...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Watanzania hatuhoji uhalali au uwezo wa Mahakama, bali uwezo wa Majaji - Msimamizi uko wapi- Kwanini mnaichosha Mahakama ya Rufaa?

    Vyovyote iwavyo: 1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu. 2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni. 3. Mwalimu wa majaji hawa ni nani haswa ili tujue uwezo wake au labda na yeye ana elimu ya kuunga...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017 Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Chavula: Watake wasitake wakili wa Jamhuri ni Wakili wa Mahakama

    By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu??? Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ikiingiliwa uhuru wake unapotea automatically. Tundu Lissu kusema Mbowe siyo gaidi haikuwa jukumu lake

    Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba. Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli. Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

    Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama na wanasiasa wa Tanzania wana la kujifunza kwa Wazambia kuhusiana na kesi za matokeo ya uchaguzi

    Mwaka huu nimetokea kuvutiwa na siasa za Zambia na kuamua kufuatilia mambo kadhaa kupitia mitandao ya kijamii. Kuna jambo limetokea siku za hivi karibuni ambalo limenishangaza sana na ni somo kubwa sana kwa siasa za Tanzania na mhimili wa mahakama. Wote tunakumbuka uchaguzi wa wenzetu...
  16. JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Sabaya aieleza mahakama alivyotoa Sh90 milioni

    Mfanyabiashara Francis Mrosso (44) anayedaiwa kuombwa rushwa ya Sh 90 milioni na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, akidai kuwa alitishiwa asipotoa fedha hizo atafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi...
  17. JamiiForums Tanzania Mpangaji ataifisha nyumba kwa amri ya mahakama/ kesi ya madai

    Wakuu habari, Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio, Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani, Polisi purukushani na Raia, Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu

    Mahakama ya juu zaidi nchini DRC imeamua Jumatatu (Novemba 15) kwamba haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa waziri mkuu Seneta Augustin Matata Ponyo. Seneta mteule wa bunge la sasa, Augustin Matata Ponyo anashutumiwa kwa ubadhirifu wa mamia ya mamilioni ya dola zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Hewa Chafu India: Mahakama yaagiza Ofisi Jijini New Delhi kufungwa na watu wafanyie kazi nyumbani

    Mahakama ya Juu ya India imeelekeza Mamlaka kufunga Ofisi katika Mji Mkuu wa New Delhi, na Miji ya karibu. Hatua hiyo itaruhusu Mamilioni ya watu kufanya kazi nyumbani wakati Maafisa wakitafuta mbinu za kupunguza hewa chafu. Jiji hilo limekuwa likipambana na ukungu wenye sumu tangu mapema Mwezi...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: Mahakama yatupa mbali pingamizi katika kesi ya Mbowe

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Akisoma uamuzi huo leo Jumatatu Novemba 15, 2021 Jaji Joachim Tiganga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…