mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
  2. JamiiForums Tanzania Tunisia: Rais Kais Saied avunja Baraza Kuu la Mahakama, Majaji wasema ni kinyume na Sheria

    Hali ya Kisiasa Nchini Tunisia imezidi kudorora baada ya Rais Kais Saied kusema anavunja Baraza Kuu la Mahakama, kitendo ambacho kimetajwa kuwa kinyume na Sheria, huku Majaji wakisema hawatokaa kimya. Rais Saied amewashutumu Majaji kwa upendeleo na ufisadi. Mwezi Julai 2021, alijiimarishia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibari ukivunjika,na ukatokea mgogoro, mgogoro huo utasuluhishwa na mahakama ipi au mkataba uko kimya juu ya hili?

    Ni wazi wananchi wa pande zote za Muungano huu hawaridhiki na huu Muungano na ni wanasiasa ndio wanaoung'ang'ania kwa masilahi yao, hivyo ni swala la muda Muungano huu kuja kuvunjika au kuzua mgogoro mkubwa. Swali langu ni je, Muungano ukivunjika na ukatokea mgogoro labda katika kugawana...
  4. JamiiForums Tanzania Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

    Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi. Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Temeke wanasumbua kulipa pesa za Mirathi bila hoja za msingi

    A
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama imeamua kutuona watanzania hatuna ufahamu?

    Nakumbuka barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai iliandikwa kwenda kwa Katibu wa CCM na Nakala kwa Katibu wa Bunge. Leo Mahakama inatupilia mbali kesi ya kupinga kujiuzulu na kutuambia ilikuwa halali kwa sababu barua iliandikwa kwenda kwa katibu wa bunge na nakala kwa katibu wa CCM. Kuna nini...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

    Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai. Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaweza kukulazimisha kujibu swali lolote bila kujali kiapo ulichokula cha kulinda siri

    Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Kiongozi Siyani: Mahakama ni lazima itende haki vinginevyo wananchi watajichukulia sheria mkononi

    Jaji Kiongozi Mh Mustapha Siyani amewataka watumishi wa mahakama watende Haki kwani bila kufanya hivyo wananchi watajichukulia sheria mkononi akitolea mfano wa ongezeko la mauaji linalotokea nchini kwa sasa. Jaji Siyani alikuwa anaongea na watumishi wa mahakama wilayani Kondoa, Dodoma. Chanzo...
  11. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba yanukia: Mahakama kuanzisha Supreme Court, jengo limeshajengwa Dodoma

    Katika hotuba yake, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ameelezea kwamba ujenzi wa jengo la supreme court unaendelea. Bila shaka muda wowote katiba itafanyiwa marekebisho ili kuijumuisha mahakama hii, ambayo itakuwa mahakama ya juu kabisa, kwa Sasa mahakama ya juu ni mahakama ya rufani(court of appeal)...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ikumbushe Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Kiswahili

    Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe. Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania. Pia soma Profesa Ibrahim Juma: Muhtasari...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Mahakama ya Juu yamkataa Trump, yakubali rekodi za White House kutolewa

    Mahakama ya Juu Nchini humo imekataa ombi la aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Donald Trump la kuzuia kutolewa rekodi za White House kwa jopo linalochunguza vurugu zilizofanywa na wafuasi wake eneo la Bunge. Amri ya Mahakama inamaanisha zaidi ya Hati 700 zinaweza kutoa mwanga juu ya matukio...
  14. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
  15. JamiiForums Tanzania Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

    Haya Comrade Waziri Nape Mwenyezi Mungu akupe nini na Wewe pitia hapo hapo kuhusu lile Sakata la Kuvamia Clouds Media Group kisha tutawahimiza na Wengine akina Manji nao waje na Mashtaka yao ili mradi huyu Mtu aozee kabisa Jela. Habari ya Mahakama kuamua Makonda akamatwe upesi ipo katika Gazeti...
  16. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye kesi fulani ipo mbele yake

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama" Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa...
  17. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi Januari 18, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kufahamu ilipoishia, soma hapa: Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022 Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila...
  18. JamiiForums Tanzania Australia: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya Djokovic kupinga Visa yake kufutwa

    Mahakama ya Shirikisho la Australia siku ya Jumapili Januari 16 ilikataa rufaa iliyoletwa na Bingwa wa Tennis duniani Novak Djokovic dhidi ya kufutwa kwa visa yake na kufukuzwa nchini. Mahakama inaamuru kwamba rufaa itupiliwe mbali kwa gharama ya mlalamikaji," umebaini uamuzi huo ulioidhinishwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kama kwa Katiba iliyopo Rais ana kila kitu, hiyo Tume Huru ya Uchaguzi utaipataje? Bunge na Mahakama ziko huru?

    Ni mtu aliyevimbiwa tu anayeweza kuanza kudai Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Katiba Mpya. Katiba tuliyonayo hata irekebishwe vipi haitaweza kutoa mwanya wa kupata Tume Huru ya Uchaguzi kutokana na msingi wake. Liangalie bunge kisha iangalie mahakama ndio utaelewa. Tusisahau ilianza Katiba ya...
  20. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…