mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa nne wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 11, 2025

    Utetezi wa nne wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 11, 2025 === Kilichojiri siku ya 3 kiko hapa: GE2025 - Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025 Majaji wanaingia na watu wote wamesimama...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mahakama za mwanzo ziruhusiwe kupokea ushahidi wa kimtandao

    Habarini, Kwa sasa mahakama za mwanzo haziruhusiwi kupokea ushahidi wa kimtandao kama vile nalala za email,whatsapp,fax,nk hadi kuanzia mahakam za wilaya. Sidhani kama hii ni haki kwa sasa hasa ikizingatiwa kwa sasa mawakili wanaruhusiwa kufana kazi mahakama za mwanzo. Kuna jambo pia la...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Mpina kuzuiwa kugombea Urais Kupitia ACT inaendelea leo Septemba 8, 2025 Saa 8 Mchana Mahakama Kuu Dodoma

    Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
  5. JamiiForums Tanzania Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  6. JamiiForums Tanzania Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  8. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Kitu mnachoweza kumaliza kwa siku 2 mnasema mpaka miezi 4. Kauli ya mbiu ya haki sawa kwa wote kwa wakati ifuteni

    Wakuu, Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi "Haki sawa kwa wote mapema...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Dunia inamuomboleza Jaji Frank Caprio kutokana na hekima na busara zake za kipekee, Tanzania tunaomboleza kifo cha Mahakama

    Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea. Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu: Yanayotokea Mahakamani Yanatishia amani ya nchi yetu.Viongozi wa muhimili wa Mahakama mko wapi?

    Kuna wimbo wa wanasiasa hupenda sana kuuimba, ''kudumisha amani, kulinda amani n.k.'' wakielewa kabisa hakuna silaha yoyote inayoweza kuilinda AMANI... Viongozi wanajua Amani ni matokeo ya HAKI inayopatikana kupitia sheria tulizojiwekea kama jamii. Ni hatari sana kupuuza kanuni hii muhimu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Majaji na Mahakimu Tanzania Wametupwa Hadhi, Wamegeuzwa Vibarua wa Watawala

    Neno Jaji, lina heshima kubwa sana Duniani. Na watu wakisikia mtu ni jaji, wanatarajia utakatifu ndani ya huyu mtu. Huyu siyo mtu wa kusukumwa sukumwa tu au kuamrishwa na watawala. Kuna nchi, jaji mkuu na jopo lake wanao uwezo hata wa kumsimamisha kazi Rais, na kisha kusubiria hatua nyingine...
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya ilionesha wazi kuwa Tanzania Mahakama zetu zinafanya kazi kimalekezo

    Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya. Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo. Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wanasheria wasomi wa nchi ile wataangalia nyuma na kuona aibu kwa mahakama iliyoamua kuwa vibaraka kwa mhimili wa serikali

    Kinachotokea katika nchi ya Gondwana ni aibu, ni aibu kubwa kwa mahakama kuwa kama danguro . Majaji wazima ukiwaona katika majoho yao utadhani ni watu makini. Kumbe hamna kitu, ni madalali wa kuuza haki. Tumezoea wale wanawake wasio na aibu ya kuuza miili yao, lakini mahakimu na majaji hawa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Malisa: Mahakama kutoa uamuzi mapingamizi ya CCM Agosti 22

    DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho. Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Mnyika huwa anamshambulia Jaji Mwanga na Mahakama kila shauri linapoahirishwa?

    Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu. Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform Hapo kuna wateja...
  16. JamiiForums Tanzania Mlianza kufunga comment kwenye page ya rais; sasa kila idara, mnakuja kwenye mahakama

    Usije shangaa account ya mahakama ikafanya hivo mpaka tovuti yake ikawa hakuna mambo ya kesi ni kusifu sifu tu.
  17. JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM. CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mahakama ipige Marufuku Watu kuingia na Simu au Kifaa chochote cha kurekodi ,kupiga picha au kuchukua Matukio katika kesi Ya Lissu

    Ndugu zangu Watanzania, Naishauri Mahakama ipige kabisa Marufuku kali sana kwa mtu au watu kuingia na simu au kifaa chochote kile cha mawasiliano na kuanza kurekodi au kupiga picha au kuchukua matukio yoyote ile yanayoendelea katika kesi ya Lissu. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia...
  19. JamiiForums Tanzania Nashauri: CHADEMA, wafuasi wa Lissu, Ndugu, Rafiki na jamaa Wasiende Mahakama kuanzia siku ya Leo

    Hamjambo! Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu. Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili; 1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Lissu ana haja ipi ya kushirikiana na mahakama?

    Labda tuelimishane hapa. Ya nini kushirikiana na mahakama Hadi hapa tulipo? Looh! .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…