mahakama kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Tundu Lissu kutaka kujadili maamuzi ya mahakama kuu akiwa mahakama ya mwanzo leo

    Mimi sijasomea sheria japo nimeshangaa kuona wakili msomi akihangaika kutaka kutafsiri maamuzi ya mahakama kuu akiwa kwenye mahakama ya mwanzo. Kama alishindwa kuhoji maana ya maamuzi ya mahakama kuu kuhusu hukumu yaje ya kutaka mashahidi wasionekane akiwa kule na akaangukia pua iweje aje...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Serikali: Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu

    "Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu, kwa maana ya kufaili taarifa, kwa mujibu wa kifungu cha 262(6), na taarifa hiyo imepokelewa na kusajiliwa kwa namba Criminal Session 19605/2025 ambayo ni shauri la Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.." amesema Wakili wa Serikali.
  3. JamiiForums Tanzania Kesi iliyofunguliwa na Kanisa la Ufufuo na Uzima inaendelea kuunguruma Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma leo Agosti 12, 2025

    Kesi iliyofunguliwa na kanisa la ufufuo na uzima inatarajiwa kuendelea siku ya leo Agosti 12 katika Mahakama Kuu kanda ya Dodoma ambapo Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa hilo Askofu Machumu Maximillian Kadutu (Mwanamapinduzi) ameongoza jopo la Maaskofu pamoja na Wachungaji kuelekea katika kesi hiyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mama tusaidie kuifuta kesi Mahakama Kuu Mbeya ili October, 28, 2025 kwa raha zetu Tunatik!kwa

    Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani yaelekeza kesi ya Mwana FA, AY na TIGO kurudi Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company. Hii ni...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hukumu hizi zinazomhusu Lisu, Mahakama Kuu haiaminiki tena, ni Kangaroo Court of the century

    A KANGAROO court is an informal term for a legal proceeding that disregards recognized standards of law or justice, often characterized by unfairness and a predetermined outcome. It implies a biased or illegitimate tribunal where the rights of the accused are not respected, and the proceedings...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Ni ajabu Mshtakiwa ndiye anayedai apelekwe Mahakama Kuu ashitakiwe, kama ana hatia anyongwe!

    Tundu Lissu "Ni ajabu Mheshimiwa Hakimu hapa ni Mshtakiwa anaedai apelekwe mahakama kuu akashtakiwe, Kama Mahakama itaona ana hatia anyongwe. Twendeni tukapambane, si mnataka? Si mmefungua kesi ya uhaini? Pelekeni taarifa mahakama kuu." Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini)...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Malawi Yafuta Kosa la Kashfa ya Jinai, Yatangaza Halina Msingi Kikatiba

    Tarehe 16 Julai 2025, Mahakama Kuu ya Malawi ilitoa uamuzi wa kutangaza kuwa Kifungu cha 200 cha Kanuni ya Adhabu, kinachohalalisha kashfa kuwa kosa la jinai, ni kinyume na Katiba. Mleta maombi, Joshua Chisa Mbele, alipinga kifungu hicho akisema kinakiuka haki yake ya uhuru wa kujieleza...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za Nazi Zagunduliwa Kwenye Mahakama Kuu Argentina

    Miaka zaidi ya themanini tangu utawala wa Adolf Hitler ulipoanzisha vita vya dunia na mauaji, kivuli cha historia ya Nazi kimeibuka tena, safari hii kutoka kwenye sehemu isiyotarajiwa, basement ya Mahakama Kuu nchini Argentina Historia ya Nazi ilianza mapema miaka ya 1930, pale chama hicho...
  11. JamiiForums Tanzania Polepole amefanya uhalifu wa kiutumishi na kimaadili kwahiyo hatakiwi kujibiwa kwenye vyombo vya habari huyu ni mhalifu, afunguliwa kesi mahakama kuu

    Husika na mada tajwa hapo juu: Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi. Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Shauri la Lissu kupinga mashahidi wa Jamhuri kufichwa kutolewa Agosti 12,2025

    Wakuu! Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo tena anapanda kizimbani, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya shauri lake la maombi ya jinai alilolifungua mahakamani hapo. ‎Lissu anakabiliwa na kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo katika...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watuhumiwa Sita wa Mauaji ya Sheikh Jabir Haidar Jabir wapelekwa rumande

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imewapeleka rumande watuhumiwa sita wanaokabiliwa na tuhuma nzito za mauaji ya Sheikh Jabir Haidar Jabir, tukio lililotikisa jamii ya Zanzibar mwishoni mwa mwezi Mei, 2025. Watuhumiwa hao ni Salum Manja Ame (23), Idrisa Kijazi Kasim (41), Ali Mohamed Ali (30), Ali...
  16. JamiiForums Tanzania Wanasheria Mnisaidie, Kwanini hii Kesi ya Uhaini Haikufunguliwa Mahakama Kuu, ikaja Kufunguliwa Mahakama Ya Kisutu

    Mahakama ya Kisutu ambayo haina uwezo wa kuisikiliza. Mbona ni kama kupoteza muda na raslimali. Na Tunaambiwa UHaini ni kosa kubwa sana. Sasa Kwa nini Mahakama ya Hakimu Mkazi. Rekebisheni hapo, haya makosa makubwa yafunguliwe mahakama kuu moja kwa moja.
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Shangwe Katika Mahakama ya Uganda Baada ya Kesi ya Kizza Besigye na Hajji Obeid Lutale Kupelekwa Mahakama Kuu

    Wafuasi wa Dkt. Kizza Besigye na Hajji Obeid Lutale walilipuka kwa shangwe nje ya Mahakama ya Nakawa baada ya Hakimu Mkazi Mkuu Christine Nantege kutoa uamuzi kuwa mahakama hiyo haina tena mamlaka ya kusikiliza kesi yao, kufuatia kesi hiyo kuhamishiwa rasmi katika Mahakama Kuu. Uamuzi huo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Faragha ya Edgar Lungu yasitishwa na Mahakama Kuu Afrika Kusini, baada ya Serikali ya Zambia kupeleka zuio mahakamani

    Mgogoro kuhusu mahali atakapozikwa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, umechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini kusitisha mazishi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika jana, Jumatano Familia ya Lungu, ambayo imepinga ushiriki wa Rais wa sasa wa Zambia, Hakainde Hichilema, katika...
  19. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yakataa kumshikilia Rais Ruto na maafisa wengine wa serikali kwa kudharau mahakama kuhusiana na uteuzi wa wajumbe wa IEBC

    Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo. Katika uamuzi uliotolewa...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahakama kuu yaombwa kumwondolea Sifa za Kugombea Ubunge Moses Ali

    Kampala, Uganda Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses Ali, asigombee nafasi ya Ubunge (Adjumani West County), likitaja madai ya kutokuwa na uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…