magumu

Magumu is ward in South Kinangop Division, Kinangop Constituency in Nyandarua County, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Maisha magumu

    Niny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
  2. Watoto wa kambo na mayatima huwa wanapitia maisha magumu sana

    Siyo wote ila kuna baadhi ya wazazi\walezi wanaishi vizuri na watoto ambao siyo wao kiasi kwamba usipoambiwa siyo wazazi wao huwezi kamwe kujua. Nimewahi kushuhudia kisa cha mtoto wa yatima katika familia fulani, yeye alifiwa na wazazi wake wote wawili hivyo ikabidi achukuliwe na ndugu wa...
  3. J

    Nimeshtushwa Lissu kutaka Wamasai waishi mazingira magumu!

    Tundu Lissu kupitia akaunti yake ya mtandao wa X amewachochea Wamasai wa Ngorongoro wasihame kwa hiari kwenda Msomera, Handeni. Nimeshtushwa mno! Nimejiuliza, Lissu ni katili hivi kumbe? Kumbe Lissu ni adui wa ndugu zetu Watanzania wa jamii ya Wamasai? Kwa sababu wahenga wanasema adui yako...
  4. Ni maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya kwenye maisha yako?

    Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi? Tiririka Mkuu..... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
  5. Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

    Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana. Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30. Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari. Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau...
  6. M

    Ninakabiliwa na changamoto nyingi sana, sijui nifanye nini ili kuboresha hali yangu

    Nimepitia mengi katika maisha. Pamoja na juhudi kubwa za kusoma na kuwa na akili nyingi, bado naishi maisha magumu na yenye kudharaulika. Nina familia na watoto, lakini nahisi kama mke wangu haniheshimu tena baada ya yeye kujipatia mafanikio. Nahisi muda wowote anaweza kufanya uamuzi mgumu...
  7. Maisha magumu Tanzania. Nimefilisika. Mnashauri nifanye nini?

    Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo. Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu. Lakini tokea alipoingia madarakani Mwendazake mpaka leo nasota waya. Naona maisha yanazidi kuwa magumu siku baada...
  8. Maisha sio magumu tumechezewa akili tu

    Habari za jioni wakubwa zangu? Mimi nimiongoni mwa watu wanao amini kwamba dunia haikutokea yenyewe" Nina kataa. .Isipo kuwa Nina amini Kuna Kiumbe/viumbe/mungu/miungu wenye hakili kuliko sisi walio iumba dunia yetu nzuli Kwani ingetosha dunia kutokea ikiwa na jua tu lakini kwanini ikatokea...
  9. M

    Shida ni akili ndogo za madereva au ni maisha magumu yanachangia hizi ajari

    Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
  10. W

    Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
  11. T

    PreGE2025 Maamuzi magumu yapo mbele ya wana Kidon wa Tanzania

    Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika. Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa. Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ana nguvu...
  12. Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

    Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
  13. maisha yanazidi kuwa magumu kwangu

    nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia...
  14. Ukiachana na ranks, kwa score bado mazingira ya habari ni magumu

    Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders. Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
  15. Waziri Mavunde Atoa Masharti Magumu ya Msaada wa Kiufundi kwa Wawekezaji

    - Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited - Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba - Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa kiufundi(technical support) Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company...
  16. Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

    Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake. Kati ya watu niliwaonea huruma majuzi ni ndugu yangu huyu hatareee sanaaa. Tuendelee kumwombea Allah ampe nguvu na timu yake asikate tamaaa.
  17. Guede anafunga magoli magumu sana

    Huyu jamaa inawezekana akaja kuwa mbadala wa mayele, tumpe muda, magoli anayofunga si ya kwaida kabisa.
  18. B

    Siku tukijua wanaotusababishia maisha kuwa magumu

    Asalaam Aleykum wana JF. Moja kwa moja niingie kwenye mada. Kila siku mambo yanazidi kuwa magumu kwa walio wengi kutokana na gharama za maisha kupanda kila uchao ilhali kipato kikiwa palepale au kikipungua. Hii inawahusu hata wafanyakazi wa umma na sekta binafsi ambao kiukweli hawajaongezewa...
  19. Ninasikitishwa na kitendo cha mwanariadha mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon. Ni ukosefu wa uzalendo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km. Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa. Hii sio mara ya kwanza kwa kijana wetu kufanya hiki kitendo cha hovyo. Mbio sio kuanza ni kumaliza...
  20. CAG: Askari Magereza Walipwe Posho ya Mazingira Magumu

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Serikali ifanye mapitio ya kina ya mgawanyo wa bajeti kwa ajili ya posho za mazingira magumu kwa Maofisa wa Magereza na kuboesha bajeti kuhakikisha ustawi wa Maofisa wa Magereza. Kupitia Ripoti Kuu ya Mwaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…