magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Magufuli alivyosababisha ndoa ya rafiki yangu kuyumba

    Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini. Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu akamsikiliza Miaka nane ya ndoa wana watoto watano maisha magumu ,jamaa anataka kukimbia familia
  2. JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic, afunguka mazito kuhusu uchaguzi wa 2020

    11 January 2022 EXCLUSIVE THE BIG AJENDA USIKU WA LEO NA ALIYEKUWA MGOMBEA WA JIMBO LA KAWE, FURAHA DOMINICK. Baada ya ukimya wa kipindi kirefu ajitokeza kwa mahojiano ya kina. Furaha Dominic, mkemia na mbobevu wa elimu ya mazingira kwa fani alizosomea azungumzia pande mbili za uncle...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Chini ya Hayati Magufuli, wengi waliufyata. Tusiwalaumu

    Hata wa upinzani nao walikuwa hali moja sawa na waliokuwa Serikalini, wengine walikimbia nchi. Ni lini CCM watakiri kuwa Marehemu Magufuli aligeuka na kuwa Dicteta kiasi ya wengine wakiwa nje ya nchi kumwita ni Dikteta uchwara? Kwa upande wangu nyakati za kabla yake wengi tuliomba tupate...
  5. JamiiForums Tanzania Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  6. JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia kuwarejesha waliotenguliwa wa Hayati Magufuli tuzitafsiri vipi?

    Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme. Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli alikuwa anaipeleka nchi shimoni tujuzwe. Watendaji wengi aliowafurumusha wamerejeshwa huku wake wakifurumushwa

    Watendaji wengi ambao hayati Magufuli alikuwa akiamka ama usiku wa manane akiwafurumusha hatimaye wengi wanarejeshwa kwa kasi tena wakipanda vyeo maradufu. Kwa uchache 1. Lawrence Mafuru alifurumushwa kutoka msajili hazina kwa kupinga kuwa hakuna mkurugenzi anayelipwa milioni 15. Leo...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mungu nimejikuta namkumbuka Magufuli ghafla tu

    Wakati wa Magufuli 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency TANESCO na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante, haki ya Mungu waliikataa Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema...
  9. JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Magufuli kwa kinana, Nape, January na Wengine mama angefanyaje?

    Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani, akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo. Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk. ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga utawala wake kwa mfano?
  10. JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilidhihirisha mifumo ya nchi ilivyovuja 2021

    APRILI 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu. Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais Machi 4, 1841, kisha Aprili 4, 1841, akaitikia wito wa Mungu, kwamba kila nafsi itaonja mauti...
  11. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Magufuli na Ndugai: Mungu anaisafisha Tanzania

    Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa...
  12. JamiiForums Tanzania Viashiria: Huenda Rais Samia atakuwa dikteta kuliko Hayati Magufuli

    Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile. Samia hataki kabisa kuona yeyote yule akionyesha dalili za kutaka uongozi huko mbele katika anga lake. Samia ni muumini wa kupambwa kuliko...
  13. JamiiForums Tanzania Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

    Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo...
  15. JamiiForums Tanzania William Lukuvi ndiye aliyekuwa kipenzi cha Hayati Magufuli

    Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM. Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.' Wakati fulani inasemekana baadhi ya mawaziri wenzake walipokuwa na mgogoro wa wazi na JPM walikuwa wanamfuata William...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

    Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi. Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
  17. JamiiForums Tanzania Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

    Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia. Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
  18. JamiiForums Tanzania DC Arusha ambaye aliwahi kutoa 'Singo' ya kumsifia Magufuli kuwa ni jembe adai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi

    Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi. Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiwaza nini?

    Kwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba. Siku moja nikiwa na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunamuangalia Magufuli kwenye runinga akiwa nafikiri Dodoma, alikuwa kwenye ibada...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

    Kwa miaka 5 na miezi kadhaa, yaani kuanzia 2015 hadi March 2021 Magufuli amekopa kiasi cha Trillioni 36, kwa wastani wa Trillioni 7 kwa mwaka. Magufuli amefariki March 2021 Deni la Taifa liko Trillioni 72. Kwa muda wa miezi 9, yaani kuanzia March 2021 hadi December 2021 deni la Taifa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…