magufuli

  1. JamiiForums Tanzania CCM wanafikiri kura walizopata 2020 ni mali ya kudumu

    Nimemsikia Membe akizungumza kwa kujiamini kama ilivyokua kawaida yake. Mimi namshangaa ni msomi wa aina gani asiyeweza kutathmini mambo kisayansi hata kidogo. Yeye ni mwanasiasa asiyekua na mvuto wowote zaidi ya kujiamini bure. Tatizo lingine kubwa la Membe kwenye siasa sio mtu mwadilifu. Ni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli wanachukia maridhiano ya Rais Samia na Wapinzani, hawataki amani?

    nimekuwa nikifuatilia mtandaoni na mtaani, Rais Samia akikutana na wapinzani kujadili mambo ya siasa au mambo mengine, wafuasi wa Magufuli wamekuwa wakichukia na kutukana sana Ilianzia Samia alipokutana na Tundu Lissu alipoenda Ubelgiji, wafuasi wa Magufuli walilaumu sana na kudai Samia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa. Pia, Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongozwa na Magufuli anakusanya kodi kutekeleza Maono ya Magufuli, wanaobwabwaja wana akili ndogo sana

    Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza...
  5. JamiiForums Tanzania CCM si wafalme, CCM ya akina NAPE ilichukiwa sana na wananchi watu walichaniwa nguo hadharani huyu Nape ni failed leader hana jipya

    CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli hayupo lakini vyama vya Upinzani vinazidi kusahaulika, sasa hawana wa kumsingizia!

    Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn...
  8. JamiiForums Tanzania Janjajanja ya wakatisha tickets za kuingia Magufuli Bus Terminal

    Mara kadhaa nimekuwa nikiingia kituo kikuu cha mabasi ya mikoani D'Salaam (Magufuli Bus Terminal). Kinachofanyika kwa baadhi ya wanaochukua ushuru wa kuingia mule ndani kimeniacha na maswali. Unapofika getini na kulipa pesa ili kuingia ndani, baadhi ya wakusanya ushuru wakishirikiana na...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

    Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli kimesababishwa na Covid, nilistuka na sikuamini masikio yangu!Kwa maoni yangu hii inam-compromise...
  10. JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe, mafisadi na wabadhilifu wa mali za Umma

    Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma. Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tuzo aliyopewa Rais Samia na shukrani zake kwa mtangulizi Hayati John Magufuli

    Unaweza ukamkejeli kadri unavyojisikia kwamba alikuwa mtesaji, alikuwa mkabila alikuwa mkatili. Unaweza ukamsimanga kadri ya uwezo wa akili yako utakavyokuwezesha, hataweza kukujibu amelala usingizi wa milele na hataweza kuamka. Amepumzika nyumbani kwake Chato, na siku alipokuwa njiani kuelekea...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli. "Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

    Habari, Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao. Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu? Mwalimu Nyerere na Magufuli ni...
  15. JamiiForums Tanzania Bila Magufuli tungesalimika magonjwa na chanjo zinazoendelea duniani?

    Bila ungangari wa kile chuma, tusingesalimika na maigizo yanayoendelea duniani ya magonjwa na machanjo ya ajabu ajabu. Mara corona, mara sijui monkeypox, mara nini! Kwa misingi ile ya ungangari aliyoiweka, hata aliyemfuatia anaogopa kufanya jambo la kipuuzi kwa kuhofia kusutwa na wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

    Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ambae alifika nchini Marekani kuupamba Utalii, kuonana na Kamala Harris na kuhudhuria...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere. Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine. CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli. Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad. Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa! Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
  19. JamiiForums Tanzania Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

    Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
  20. JamiiForums Tanzania Je, ipo siku yatajirudia ya Magufuli kwamba Ndege zimeleta faida! Rais Samia atatulazimisha kusema Royal tour imeingiza mabilion? Swali tu

    Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika? Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion ? Na mapato ya Utalii yamefika mabilioni? Mama usiingie mtego huu hata kidogo Najua zitapikwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…