Salaam Wakuu,
Kwa roho iliyooneshwa 29 Oct 2025 na Samia Suluhu Hassan, Mwenyeji wa huko Zanzibar ambaye anapenda kutembelea maeneo ya Tunguu.. Hakika damu ya Watanzania ipo mikononi mwake.
Bado naamini Pamoja na Misimamo ya Magufuli, kingine kilichomponza ni Utanganyika wake.
Zanzibar...
Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata.
Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM.
Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali...
Miaka kadhaa iliyopita Kikwete akiwa mstaafu aliwahi kualikwa kwenye kigoda cha Mwalimu na wakati huo Magufuli akiwa Rais. Kikwete aliongea mambo ya kujimwambafai na ubabe kauli ambazo zilionyesha moja kwa moja kumnanga aliyekuwa Rais Magufuli kutokana na ubabe aliokuwa nao. Kikwete kamwe...
Ni wazi ameweka ukweli kwa umma wa Watanzania kuwa uongozi uliopo sasa hivi haupo kulinda rasilimali za umma.
Wizi upigaji na mtandao wa wanaCCM wezi wa mali za umma ndio waliopo madarakani.
Hayati Julius Nyerere alitaka Sokoine awe mrithi wake lakini akafa kwa ajli yenye utata.
Hayati...
Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na...
Pamoja na kusifiwa sana, rais Mama kazidi. Jana, kwa kutumia viti kumi vya rais vya ubwete, alimteua mtu wake aka black box ya mama Angela Kizigha kuwa mbunge. SIyo huyu ambaye marehemu Magufuli aliamuru akamatwe kwa kuhujumu uchumi?
Ama kweli, Jiwe angerejea, angenasa nyani makofi. Kweli, paka...
Hi.
Aisee sijaona mtu kufananisha mlima na kichuguu. .Mwigulu is nothing over Magufuli.
Magufuli was another machine, real talented and problems solver. Acheni kumfananisha Mwamba jiwe na Wahuni wa Msoga.
Kwa namna hayati John Pombe Magufuli alivyomtengeneza Samia Suluhu Hassan kIsiasa, wengi walidhani angekuwa mstari wa mbele kuhudhuria kumbukumbu yake. Kweli, binadamu tu viumbe wenye kusahau kirahisi na haraka.
Kwanini Samia hakuhudhuria kumbukumbu ya mwendazake? Ama kweli, asiyekuwepo na...
Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
Bila aibu anasimama kiongozi mnafiki ambae anajua fika misingi na falsafa aliyoisimamia hayati Magufuli shujaa wa Afrika haifuatwi.
Eti Magufuli bado yupo mioyoni mwa Watanzania?
How ? Kwa kuruhusu ufisadi na upendeleo usio kuwa na tija kwa taifa letu?
Leo hii wananchi wananyanyasika kwenye...
Tumekuona baada ya miaka 5, tumekusikia nadhani UNADHANIA aliyekuhoji no dampa,
Tafakari chukua hatua NAKUHAKIKISHIA Iko siku utajibu ilo kwa kiufasaha
Unataka kuwafikia wateja wako haraka? Tuma Bulk SMS kwa TSh 7 tu kwa SMS moja ukichukua kwa wingi.
Inafaa kwa: Biashara, Shule, Betting, Promotions, Makanisa, na Kampeni za matangazo.
✔ API Integration Bure
✔ Bulk SMS Portal Bure
✔ Training Bure
✔ Support Saa 24/7
Anza leo kuongeza wateja...
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo.
Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...
Moja ya picha ya Magufuli katika kipindi cha uhai wake ambayo ilipigwa wakati akiwa Ikulu akimuapisha Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kua Balozi na Katibu mkuu kiongozi Februali 27, 2021
Picha hii ilibeba hisia nzito na kumuonyesha JPM hayupo sawa maana hata siku hiyo baada ya uapisho Magufuli...
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amemtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam na kutumia nafasi hiyo kumshukuru kwa mchango wake mkubwa kwa taifa pamoja na kulea viongozi wengi wanaolitumikia taifa katika...
Tuanze kumkumbuka kwa hili la kununua ndege,
Wapo waliokebehi na kuzarau niwaulize Je kama asingenunua hizo ndege wale watanzania waliosaidiwa kurudishwa Tanzania kutoka Saudi Arabia wangepanda Fuso kurudi Tanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.