Duru za kisiasa zimeweka wazi kuwa Maduro amesalitiwa na watu wake wa karibu. Maduro amefuatiliwa na mashushu wa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwamba wakajua hadi siri zake za ndani . Inasemekana alisalitiwa na watu wake wa karibu kiasi cha kuvujisha hadi siri zake za ndani kabisa. Matokeo yake...
Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda .
Nimeyetaja matukio...
Alikuwa busy kuhakikisha rasilimali za umma zinawaletea maendeleo wananchi.
Akawaambia tuwe tunajikita kwenye ujenzi wa taifa baada ya uchaguzi. Then baada ya miaka mitano tunafanya siasa.Wakamuita dikteta uchwara
Leo hii wanaishi kwa uoga, hata kuweka comment Facebook na Watsap wanaogopa...
Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia.
Nitatolea mfano wa airport ili muelewe.
Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika...
Aliyàhalalisha na yakashika mizizi mpaka leo.
Kwangu mimi hilo linatosha kumtupa kapuni! Kwanini?
It is because it involves merciless killing of human life .na mengine yaliyofuata!
JohPombe Magufuli Jiwe,
Nikiri. Najua hutasoma barua hii. Najua wafuasi wako wataisoma. Naandika kwa hasira na uchungu. Yote ni kutokana na uliyotufanyia. Uliachia maumivu. Wapo wanaoumia tokana na pengo uliloacha. Pia, wapo wanaoumia kwa sababu ya ubaya ulioacha.
Bwana John, ni...
Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha
Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
Nimefika mwanza siku ya NNE sioni taa za daraja la furahisha je zilikufa na Magufuli?
Je kigamboni Bado zinawaka?
Hata kama hampendi magu tunzeni vitu vyake viwe kama alivyovijnga
Neno la Mungu linasema kwamba ukimtendea mwenzako ubaya utalipwa hapa hapa duniani. Huu ni ukweli wa wazi na ambao huwezi kuukwepa kwa kuwa umefungamanishwa na neno la Mungu.
Mwaka 2017 mheshimwa ndugu Tundu Antipas Mugway Lissu alinusurika kuuawa na watu wasiojulikana mchana kweupe mbele ya...
Rais Samia alipoingia tu madarakani 19 March 2021 alianza taratibu kuwaondoa Wakuu waVyombo vya Ulinzi na Usalama na kuweka wakwake.
Ndio, wengine walikuwa washakaribia kustaafu kama Jenerali Mabeyo, ila wengine waliondolewa kabla ya kustaafu kwao kama vile DGIS Diwani Athumani pamoja na IGP...
Ukikipata kitu kwa haki basi nafsi yako hufurahi na kukupa maisha marefu na Ukikipata kitu kwa dhuruma nafsi yako hukusuta mpaka mauti
Muangalie Magufuli alivyokuwa anacheka na watu kutoka moyoni sababu ushindi ulikuwa ni haki yake na watu walimpenda,kinyume chake ngoja nikae kimya
Nguvu yake ilianza from the grassroots (wananchi).
Alikuwa ni mtu wa watu. Hakupenda mtu aonewe bila sababu yoyote.
Ndiyo maana pamoja na kuwanyali mabeberu, aliweza kutoboa katika uongozi wake.
Na siku zote ukitaka utoboe kwenye uongozi wa nchi, basi hakikisha wananchi wanakuelewa kwanza...
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
Haina salamu hiyo.
1. Wanaharati walituaminisha kuwa Magufuli ni zaidi ya Shetani
2. Wanaharakati walituaminisha kuwa Magufuli ndio chanzo Cha matatizo
3. Wanaharakati walituhamasisha Magufuli ni bonge la fisadi .
4. Wanaharakati walisema Magufuli ni muuaji mkubwa katili sana.
Magufuli...
Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!.
Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
Sio mama samia tu na mwingine atakayekuja atapata tabu sana kuliongoza TAIFA 🇹🇿 kwa sababu Magufuli amewaonesha watanzania kwamba inawezekana kuyafanya mambo mengi makubwa ndani ya taifa, tena ni mambo ambayo watanzania hawakuwahi kuyawaza kwamba yanawezekana
MAGUFULI amewaamsha wananchi...
Alikwenda Washington DC. Akaonana na dada wa taifa. Tukawa na matumaini makubwa. Eti anaifungua nchi. Na kuachana na yote ya Magufuli. Leo kiko wapi? Mpaka wanawindana kukamatana 😂
Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa watu, na kutoa maonyo makali kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, hofu nchini, na hatari ya...
Huyu mzee pamoja na mapungufu yake yote akuuza rasilimli za nchi ili kuendesha miradi yake Aliweza kubana matumizi kwa kuondoka watumishi hewa ambao walikua wanajilipa mamilioni ya pesa akabana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.