Kuna CID mpya imeanzishwa alongside Morogoro Road, pembezoni kabisa ya Mbezi Daladala Stand na Magufuli Bus Terminal.
Ni nani huyu mwenye mamlaka kiasi hiki kuja kuanzisha CID pembezoni kabisa mwa vituo vikuu au vitovu vya usafirishaji wa abiria!
Ujumbe nitakaoutuma, naomba huu ujumbe ufike, niombi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mimi nimeingia leo kutoka safari, tumefikishwa Mbezi... waitwaje ile stendi mpya? Mbezi Magufuli. Ningeomba Mkuu wa Mkoa au yule aliyeweka lile jambo, enda katembelee ile sehemu. Je, yastahili kuwapeleka watu...
Nakumbuka Hayati John Magufuli kipindi cha mchakato wa uchaguzi 2015 alikuja nyumbani kwangu Oysterbay aliniambia anataka kujiondoa kwenye mizunguko ya kutafuta wadhamini alisema hana pesa kabisa. "Alisema Wenzake wanatoa pesa sana.
Alikwenda kwenye mikoa akizungumza nao akitaka kuondoka...
Naandika uzi huu kufikisha kwa CEO na Uongozi wa Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) baadhi ya kero zinazowakabili wananchi na wasafiri wanapotumia huduma za stendi hiyo.
Sisi kama wananchi hatupingi kulipa TSh 300 za kiingilio, kwa kuwa tunaelewa kuwa tozo hiyo inalenga kuchangia...
Anonymous
Thread
bus
bus terminal
kero
magufulimagufuli bus terminal
unyonyaji
vyoo
wizi
Rais Magufuli alipotangaza ujenzi wa bwawa la umeme kuanza mara moja bila kujali sura ya mtu alipata upinzani mkali sana kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi.
Nje ya nchi gazeti la economics lilikuwa linakuja na makala ndefu kuonyesha kuwa huo mradi ni white elephant na utasababisha madhara...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Zamani stand ilikuwa kisutu. Palipokuwa mjini sana wakapeleka Ubungo kijijini. Ubungo palivyochangamka, wakapeleka Mbezi kwa Magufuli. Mbezi kwa Magufuli kukichangamka kama Kisutu na Ubungo, watahamishia wapi?? Mile Moja Kibaha?? Na hapo pakichangamka na kuwa mjini...
Unapopanda bajaji kwenda Stendi ya Mabasi ya Magufuli, Mbezi, unaambiwa nauli yako inaongezwa Shilingi 500 kama tozo ya kuingia stendi.
Kinachoshangaza ni kwamba tozo hiyo inayotozwa kwa waendesha bajaji inaonekana kulipwa na abiria, badala ya kubebwa na mwenye bajaji ambaye ndiye anayefanya...
Kwa namna yoyote ile Hayati John Pombe Magufuli hakukubali kufanya kazi na watu wasio na uwezo.
Alimuibua Deo Ndenjembi huko kongwa..
Kilichofuatia ni historia
Kuna Uzi nimeusoma mahal humu humu mleta uzi anasema wabunge watumie nafas yao kupiga kura ya hapan kwa Makam ili asipite..
Ujue ni vitu ambavyo haviwezekan kwa sababu mtu kama Baba levo ambae anajua dhahiri kabisa kua hakushinda Jimbo kwa ushawishi wake bali kwa Nguvu ya mwenyekiti atahoji...
Wana-JamiiForums,
Leo nataka tuguse jeraha ambalo wengi wetu tunaliona lakini ama tunaliogopa kulisemea, au tunajifanya hatuoni madhara yake makubwa. Tukirudi nyuma hadi mwaka 2015, wakati Hayati John Pombe Magufuli anateuliwa kuwa mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), alifanya...
Ni maajabu mradi ulioanzishwa na marehemu JPM kwa utashi wake Leo miaka mitano baada ya yeye kufariki unafunguliwa bila kumtambua kama kinara wa mabadiliko haya tunayoyaona. R.I.P watanzania bado tunakukumbuka.
Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania.
Katiba Mapya
Ubinafsi
Ukabila
udini
Ubara na Unzanzibari
Uchawa
Utekaji
Rushwa
Kutengeneza undugu
kufanya vyombo vya usalama viwe vya kichawa
Kuingiza ufalme na umalikia
Nchi jirani za Zambia , Kenya, na wengine...
Inaelezwa kuwa huduma ya Usafiri wa Mabasi (Mwendokasi) ya abiria kuingia na kutoka Stendi ya Magufuli imerejea na hivyo kupunguza usumbufu uliotabiriwa kwa wateja walio mbali na kituo hiko.
Kitu kinachokera na kufanya nisipende kutumia stendi za mabasi za umma kama Magufuli Terminal, ni mpangilio mbovu na vurugu. Serikali imetumia mabilioni ya pesa kujenga stendi zenye miundominu ya kisasa na muonekano wa kimataifa lakini siasa za kijinga zinafanya hizo stendi ziwe kama magulio ya...
Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji.
Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi...
NYOOSHA MAMBO,FOLENI ZIONDOKE MIJINI, INSHALLAH...
-Shughuli zote za uhifadhi wa makasha ya mizigo au dry port ni vyema zote zikaamia kwala,ili jiji lipumue!...
Lissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge. Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi .
Halafu tena katika mgodi wa Bulyankhulu aliwatetea kwa mafanikio wachimbaji wadogo wengi waliokuwa wanaonewa.
Nineona ni vema...
Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli.
Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.