Wa kulaumiwa ni Hayati Magufuli

Wa kulaumiwa ni Hayati Magufuli

Miguel255

Member
Joined
May 13, 2020
Posts
35
Reaction score
113
Sio mama samia tu na mwingine atakayekuja atapata tabu sana kuliongoza TAIFA 🇹🇿 kwa sababu Magufuli amewaonesha watanzania kwamba inawezekana kuyafanya mambo mengi makubwa ndani ya taifa, tena ni mambo ambayo watanzania hawakuwahi kuyawaza kwamba yanawezekana

MAGUFULI amewaamsha wananchi
MAGUFULI ndo chanzo cha kujitambua
MAGUFULI amewafanya wananchi waamini kwamba TANZANIA 🇹🇿 ile ya ndotoni inawezekana in real life

Hapa wa kulaumiwa ni MAGUFULI sio Larry madowo,,sio Kigogo Kigogo,,sio nuru vazi,,sio Rachel dangwa,,sio Maria sarungi tsehai,,sio captain TESHA,,sio tundulisu,,sio heche,,sio HUYU HAPA ,,sio sativa,,sio ROMA mkatoliki Wala sio KANISA LA ROMA,,sio gwajima etc

Lawama zote ziende kwa MAGUFULI kwa nini amewaamsha waliolala 😴😴😴😴,,hii ndo ileeeeeeeeeee

Usimuamshe aliolala ukimuamsha utalala weweeeeee 😁😁😁

Imeandikwa na Strager Jr
 
Walimuua wamepata furaha ya miaka minne tu. Sasa wanapata hasara ya mambo mengi
 
Back
Top Bottom