magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita. Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Nakupongeza RC Chalamila kurudisha mabasi ya mkoani Mbezi Magufuli, bado hili la malori!

    1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam. 2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji. 3...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Stendi ya Magufuli ilivyojaa Mabasi baada ya tangazo. Yagezwa Parking ya Mabasi

    Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mabasi kulazimishwa warudi Magufuli ni hujuma: lengo SGR ipate wateja na kutafuta mapato stendi kuu

    Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi; Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand, Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji...
  5. R

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yote yaishie Stendi ya Magufuli na Mbagala

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri. Kwa mujibu wa LATRA, mabasi yanayotoka Mikoa ya Kaskazini na maeneo mengine yanatakiwa kutumia Kituo cha...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania John Heche: Magufuli ameondoa bandari ya Kwala imerudi mjini na kufanya Mji wote kuwa sehemu ya kuweka Makontena

    "Kuku mmoja anayetaga mayai ya dhahabu ni bandari ya Dar Es Salaam. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hakuna usumbufu kwenye mizigo, kwanza unawatengenezea watu barabara za uhakika kutoka Bandarini. Magufuli alianza kujenga bandari ya Nchi kavu Kwala kwamba mizigo yote itoke bandarini iende...
  7. R_Breazy

    JamiiForums Tanzania Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena, kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri

    Habari wakuu Mimi si mnazi, Wala Sina DNA za siasa ila naamini kabisa Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri🙌🙌💔 Wengine watakuja na hoja Vipi kuhusu Nyerere?! Ila ikitokea Nyerere kafufuka basi atashangazwa na maendeleo tuliyonayo Leo kama taifa...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Falme za Israel agano la kale zilikumbukwa Kwa mema au mabaya yaliyotendwa; ndivyo Samia na magufuli watakavyokumbukwa.

    Utawala wa Samia una damu kubwa sana ya watanganyika Kuanzia waliotekwa mpaka waliouwawa 29octoba2025 hivyo utawala wake utakumbukwa kama utawala wa mwanamke muovu kuwahi kutokea katika taifa letu. Na pengine mwanamke muovu zaidi afrika.
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Geoffrey Mosiria, Magufuli wa Jiji la Nairobi

    Hivi karibuni ameibuka mtu mmoja nchini Kenya anayefahamika kama Geoffrey Mosiria. Huyu ni kiongozi wa Serikali ya Kaunti ya Nairobi ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na namna anavyotekeleza majukumu yake kwa vitendo, jambo ambalo wananchi wengi wanaona ni tofauti na baadhi ya viongozi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania DOKUMENTARI - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho

    02 Agosti 2026 Dokumentari - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho https://m.youtube.com/watch?v=de8Zv6MMh8c 🔴MUHTASARI WA VIDEO ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Rais John Pombe Magufuli alikuwa nani, na ni nini hasa kilitokea katika siku za mwisho za maisha yake? Makala hii inachunguza maisha...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Khalifa Said: Tupo kwenye kipindi kibaya sana kwa sasa zaidi ilivyokuwa wakati wa Magufuli

    Waandishi wanahali ngumu. Wanafanya kazi kwa hofu.👇
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Magufuli matokeo yake ni rais Samia Suluhu Hasan

    Huwezi kumtenganisha rais Samia na hayati John Magufuli. Kwahiyo rais Samia ni moja ya “legacies “ za Magufuli.
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Waliomchagua Samia tiketi ya Umakamu wa Magufuli na Uraisi ni wakina nani ?

    Waliomchagua Samia tiketi ya Umakamu wa Magufuli na Uraisi ni wakina nani ? Walizingatia vitu gani toka kwa huyu mtu ?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu hawalalamiki mkatoliki Magufuli kumfanya Rais Samia?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Zama za marais wakristo, waislamu walizoea kusema huu ni mfumo kristo. Ila baada ya kuingia mwenzao, hawataki tuseme huu ni mfumo islam! Washukuru mkristo Magufuli alimfanya muislam Samia tena mwanamke wa kwanza kuwa rais. Je, hili. hawalioni au ni ukosefu wa...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka kauli ya PM kassimu Majaliwa dhidi ya Afya ya Magufuli, nawiwa kusema hata Mwigulu na mtu wa bomu kapigwa fix la sivyo amtaje!

    Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAR: Studio Furaha TV zinazomilikiwa na Mpwa wa Hayati Magufuli zavamiwa na Mabaunsa na watu wenye silaha

    Ofisi za kampuni ya habari za Furaha Media zilizopo Mikocheni – Dar es Salaam zimekumbwa na taharuki kufuatia kuvamiwa na kikundi cha watu wanaokadiriwa kuzidi 60, wakiwemo walinzi wa kukodiwa (bouncers) na watu wenye silaha. Uvamizi huo umesababisha uharibifu wa miundombinu ya kidijitali...
  18. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

    Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika. Pia soma ~ Wamiliki wa mabasi wapewa wiki...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Watu gani Tanzania wamenufaika na Magufuli kufariki?

    Mama Samia, Mwigulu, mafisadi marafiki wa Mama, family za kikwete na Samia. Watanzania wengi tumeinamishwa nankupigwa kitu
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uwezi niamini, lakini NAKWAMBIA ukweli vikao vingi vya Pole pole na Magufuli ikulu,Bashiru Ally kakuru alikuwepo. Ile Leo jamani.

    Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu 1. Magufuli mwenyewe 2. Bashiru Ally Kakuru 3. Pole pole. Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri...
Back
Top Bottom