magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Hivi hili jina Mwendazake wanalomuita Magufuli ni official?

    Leo nimesikitika Sana watangazaji kutokuwa na weledi na kazi yao Asubuhi ya leo nipo najiandaa kutoka radio ilikuwa inaongea (east Africa radio) kipindi wanakiita Mama Mia ,Rita chiwalo ndo mtangazaji alikuwa na mwezie Wakawa wanajadili maswala ya CAG Mara katika malumbano mmoja akasema mbona...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 6 Magufuli alikamilisha miradi mingapi?

    Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically. SGR Mwanza ina faida gani, tusidanganyane watu over-estimate Mwanza wakati kiuchumi siyo kweli. Mwanza hakuna mzigo unarudu nao kwenda...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CAG tunaomba repoti za mwaka 2021/2022. Hizi za Magufuli kwanini haukuzileta mwaka jana?

    GAG tunaomba report za mwaka 2021/2022 tu. Nimekuwa nafatilia report ya CAG toka itangazwe karibu wiki moja iliyopita. Nilitegemea CAG atatupatia report ya Mwaka huu 2021/2022, lakini CAG anatupatia mpaka report za nyuma kabisa za Magufuli. Swali langu ni je, kwanini hizi report CAG hakuzitoa...
  4. JamiiForums Tanzania CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  5. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ilikuwa Lazima yamkute. Tsh bilioni 8.26 za washtakiwa alibeba Biswalo bila kuwepo na 'Plea bargaining’

    Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining). CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hachafuki kirahisi kama mnavyodhani, Watanzania wana macho na akili timamu

    Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii. Chadema wangechapisha hadi kanga. Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa Rais mwovu, Samia Suluhu ni Rais dhaifu. Binafsi heri Rais dhaifu kuliko mwovu

    Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa. RAIS...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA amlipua Hayati Magufuli bungeni, asema aliua demokrasia

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo. Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kweli Hayati Magufuli aliiona Tanzania ikiwa nchi ya kutoa misaada kwa nchi zingine?

    Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada? #Unapoitazama SGR unaona nini #JKNHP, unaona nini #Kauli mbiu ya viwanda, wewe unaona nini #Ununuzi wa ndege Je. #Upanuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Utawala wa Magufuli ulikuwa Msiba uliokosa Matanga

    Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa. Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita. Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe. Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Marehemu Askofu Chengula kwa kukemea ushoga na mapenzi ya jinsia moja

    Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM. Alipopata fursa ya kutoa salam Mh Rais Magufuli alisema sitamumunya maneno, Nampongeza marehemu askofu Chengula kwa mema...
  12. JamiiForums Tanzania Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

    Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike) In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alikosa ujasiri kama wa Museveni kipindi kile Makonda anapambana na mashoga?

    Kama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga. Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga hawako salama Tanzania. Serikali ya Magufuli kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakasema mashoga...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu Hayati Magufuli aliyajua haya?

    Huyu Mwamba kuna mambo alikuwa nayo sisi hatukujua. Tutahangaika sana kuelewa
  15. JamiiForums Tanzania Yale mambo ya zama za Magufuli zimerudi tena kwa kasi: Bora tumefungwa

    WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama... Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!" Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA...
  16. JamiiForums Tanzania Zama za Kikwete tulikuwa naye Ridhiwani, Zama za Magufuli ni Makonda, zama hizi nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?

    Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu...
  17. JamiiForums Tanzania Kuendelea kufanikiwa kwa miradi ya Hayati Magufuli inatokana na kumtanguliza Mungu mbele

    Rais wa awamu ya Tano hayati Magufuli kila alipokuwa anaweka jiwe la msingi la miradi alikuwa na tabia ya kuambatana na viongozi wa dini na kumtanguliza Mungu mbele ndiyo maana miradi inaendelea hadi Leo wakati ilipingwa sana na Chadema na wakaapa kwamba miradi hiyo itakwama pale Magufuli...
  18. JamiiForums Tanzania KERO Responded Stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho hakuna huduma ya maji kwenye vyoo na sehemu nyingine siku ya tatu sasa

    Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa. Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie Kwenye vyoo napo mambo si...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Jambo jema CCM haikufia mikononi mwa Shujaa Magufuli bali iliimarika zaidi!

    Kila kiongozi wa juu wa CCM matamanio yake ni kukiacha Chama hiki kikongwe kikiwa hai pindi anapomaliza Muda wake Ni jambo jema Hayati Magufuli naye amekiacha kikiwa Imara sana Mlale unono!
  20. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

    Askofu Mkuu jimbo Catholic Lenatus Nkwande ameongoza misa leo uwanja wa Kawe Kamo umefurika watu wakiwa wamekusanyika kumkumbuka Magufuli kwa kweli Magufuli anapendwa. Baba askofu amewausia kuendelea kumuombea Magufuli na kuwaombea haters wake wakiwemo walamba asali na wazuri hawafi. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…