magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika

    Wanabodi, Kila nipatapo nafasi, huwa naandika makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala hizi huwa zinachapishwa na magazeti mbalimbali, hivyo Wahariri kuweni free kuitumia makala yangu yoyote, na be free kui edit kwa kiwango chochote utakacho ona inafaa, maana hata mimi sitaki tena...
  2. JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu mh. rais J. P. Magufuli

    Unabii huu ulitolewa mwaka jana na mtumishi wa Mungu Dr. Ian Ndlovu wa Zimbabwe.
  3. JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Magufuli kukimbizana na Chadema na kuacha hoja yake kuu iliyokuwa ni UFISADI

    Nimesikitika sana baada ya kusoma report ya CAG kichere hakika ni majonzi makubwa kwa walipa kodi wa taifa hili, kuanzia Halimashauri wizarani, NEC, Police, Jeshini pesa zimepigwa sio utani hakika zimepigwa. Je wizara zilizo chini yake hali ipoje? je ununuzi wa ndege je matumizi yake hali...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Akili Kubwa ilitumika kuamua Hostels za Magufuli ziwe za Wanakarantini wa COVID-19 au Mamlaka ilikurupuka tu?

    GENTAMYCINE nauliza hivi leo hii Serikali Kuu ikija na Tamko la Jumla kuwa Shule zote na Taasisi za Elimu ya Juu ( Hostels hizo za Magufuli ) zilizo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM )ikiwemo Wanafunzi waliokuwa wakikaa hapo wataenda Kuishi wapi? Je, Mamlaka iliyoamua hili la Hostels...
  5. JamiiForums Tanzania Hosteli za Magufuli kutumika kama karantini za kuweka wageni kutoka nchi zilizoathiriwa na Corona

    Hosteli za Magufuli kutumika kama karantini Serikali imetangaza rasmi kwamba wasafiri wote kutoka nchi za nje zilizoathirika na ugonjwa wa Corona watalazimika kukaa karantini kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam maarufu hosteli za Magufuli. Akizungumza katika...
  6. JamiiForums Tanzania Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

    NAANGALIA TBC MUDA HUU ANASIFIWA MAGUFULI TU na kwaya. Muimbaji anasema watoto Sasa hivi madarasani hawakai chini kwa sababu Magufuli amefuta hili tatizo. Pia Hilo jamaa Nene jeusi lenye mtambi linasema Sasa hatukopi Tena na bakuli la ombaomba liko kabatini. Ila ni Jana hapa tumeambiwa mkopo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais John Pombe Magufuli - Madaktari Bingwa Wabobezi na TCU

    Mheshimiwa Rais! Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania. Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili. Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais John Magufuli yathibitisha umahiri wake katika kupambana na corona na kuwalinda wananchi wake

    Ugonjwa wa Corona umeanza December 2019 katika mji wa Wuhan nchini China.Mpaka hivi sasa ugonjwa huu umeshasambaa kwa watu takribani 819,025 na kusababisha vifo vya watu wapatao 39,794 duniani kote akiwemo raia mmoja wa Tanzania. Kusambaa kwa ugonjwa huu duniani kumeleta taharuki kubwa kwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tusaidie kampuni ya SKOL Building Contractors LTD itulipe mishahara na NSSF

    Hiki ni kilio chetu wafanyakazi cha zaidi ya mwaka mmoja tangu kuanza kufuatilia suala hili bila mafanikio katika ofisi zifuatazo:- (1) Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (2) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (3) NSSF-Kinondoni (4) Vyombo vya habari vya binafsi na serikali (Shirika letu pendwa la...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

    Moja kwa moja kwako kwenye mada. Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo. Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atua Chato leo tarehe 28 Machi 2020

    Ametua Chato akitoka Dodoma
  12. JamiiForums Tanzania Wasomi wa afya na Wakemia Tanzania, mbona kimya kuhusu ugunduzi wenu wa dawa ya Coronavirus?

    Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo. Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa? Hivi...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wawili wapigwa risasi kwa kukiuka amri ya Rais ya kutotumia usafiri wa umma

    Mmoja wa waliopigwa risasi, Alex Olyem. Picha na Jessica Sabano/Daily Monitor Watu wawili wamelazwa hospitalini baada ya kupigwa risasi na maafisa wa polisi waliopelekwa kusimamia amri ya Rais Museveni ya kuzuiwa kwa usafiri wa umma kwa nia ya kukinga kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19. Alex Olyem...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya TAKUKURU na CAG. Asema Corona haitazuia Uchaguzi Mkuu 2020

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anakabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019 inayowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Seriakali (CAG) Charles Kichere. Aidha Mhe. Rais atapokea Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli futa Halmashauri za Wilaya zinafuja pesa na kurudisha nyuma maendeleo. Report ya CAG ya 2018-2019 inaonesha wazi hili

    Tumekuwa tukishauri kwa muda mrefu sasa kwamba Halmashauri za Wilaya zifutwe kwa kuwa hazina tija kwenye maendeleo ya wananchi. Hii haitakuwa mara ya kwanza kuzifuta halimashauri hizo, kwa kuwa huko nyuma kitu kama hicho kilishafanywa na Mwalimu Nyerere, ambapo alizifuta mwaka 1972 na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Si tatizo kwa Makonda kumwita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina ikiwa Chadema na Act wanaweza pia kumwita Magufuli hivyohivyo, ndio siasa

    Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo. Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anatuhimiza wananchi tukachape kazi, wakati makampuni yakiendelea kuwapunguza wafanyakazi wao kutokana na ugonjwa wa Corona!

    Tulimsikia wenyewe Rais wetu Magufuli wakati akilihutubia Taifa siku chache zilizopita, akituhimiza wananchi tukachape kazi na kuwa tusitishwe na vyombo vya habari vya kibeberu, kwa kuwa ugonjwa wa corona siyo tishio kiasi hicho wanachotuaminisha! Kwa kweli nilishangazwa sana na maelekezo hayo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

    Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete. Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Magufuli akihimiza watu wachape kazi, wengine wameanza kupunguza mlundikano makazini

    Leo asubuhi nimebahatika kupitia baadhi ya viwanda ikiwemo TBL aisee hali ni mbaya. Wafanyakazi wamepunguzwa kwa kiasi kikubwa. Pia sijui ni hisia tu za watu au vipi ila baadhi wanakiri waziwazi kuwa na dalili za ugonjwa wa COVID-19 na wengi wameanza kuingiwa na hofu. Mamlaka zinazohusika na...
  20. JamiiForums Tanzania Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

    Makonda kasema mtoto wa Mbowe anaumwa Corona. Katika hili katoa siri ya Serikali ambao wahusika wa kutangaza ni Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya. Mbowe kakiri na kusema mwanaye kaipata Dar na sio nje ya nchi. Wakati huo huo serikali na Rais wamehama Dar na wako Dodoma. Mara namsikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…