Uibaji wa Pesa mfuko wa PSSSF

Lovren10

New Member
Feb 21, 2020
4
5
Nimekua nikifatilia mafao yangu pale mfuko wa PSSSF. Kuna michango ambayo kwenye statement haionekani na mwajiri alifanya process zote za kutuma na kuweka. Sasa changamoto inakuja ukienda PSSSF na ukiuliza mbona michango mingine haipo?

Majibu toka PSSSF '' Hii michango mingine kuanzia February tumeipeleka NSSF'' Na ukifatilia NSSF michango inayodaiwa kuletwa na PSSSF haipo.

Unawezaje kupeleka pesa mahali ambako mtu hana account number au si mwanachama?. kwa 100%Hizi ni dalili za PSSSF Wanatumia loophole ya kuichanganya mifuko kuwaibia wananchi na kujinufaisha na matumbo yao.

Hivyo Serikali na Mamlaka husika (ssra) tunaomba mfatilie hili jambo kwa karibu sana ili kuweza kuokoa pesa toka kwa watu wachache wanaojinufaisha na kwa maslahi yao binafsi.
 
Mfuko huu unakwenda kufa. Leo kuna watu hawajalipwa pensheni yao eti hawakuhakikiwa. Kibaya ni kuwa hakuna aliyeletewa taarifa ya kuhakkiwa. kama ni mbinu ya ku-buy time kutafuta hela, basi wamekwisha!
 
PSSSF Mbinu wanayotumia sasa ni kuiba tu pesa za michango
 
Mfuko huu unakwenda kufa. Leo kuna watu hawajalipwa pensheni yao eti hawakuhakikiwa. Kibaya ni kuwa hakuna aliyeletewa taarifa ya kuhakkiwa. kama ni mbinu ya ku-buy time kutafuta hela, basi wamekwisha!

Miaka 4 sasa watu hawajalipwa pesa zao,na bado watu wako ofisini kwa raha zao.
 
Nimekua nikifatilia mafao yangu pale mfuko wa PSSSF. Kuna michango ambayo kwenye statement haionekani na mwajiri alifanya process zote za kutuma na kuweka. Sasa changamoto inakuja ukienda PSSSF na ukiuliza mbona michango mingine haipo?

Majibu toka PSSSF '' Hii michango mingine kuanzia February tumeipeleka NSSF'' Na ukifatilia NSSF michango inayodaiwa kuletwa na PSSSF haipo.

Unawezaje kupeleka pesa mahali ambako mtu hana account number au si mwanachama?. kwa 100%Hizi ni dalili za PSSSF Wanatumia loophole ya kuichanganya mifuko kuwaibia wananchi na kujinufaisha na matumbo yao.

Hivyo Serikali na Mamlaka husika (ssra) tunaomba mfatilie hili jambo kwa karibu sana ili kuweza kuokoa pesa toka kwa watu wachache wanaojinufaisha na kwa maslahi yao binafsi.
Mama Jenista alikuwa kinara ktk kusimamia hili la kuunganisha mifuko asa kwa vilio hivi vya wananchi tena wengine wazeee sijui yy anajisikiaje
 
Back
Top Bottom