magufuli

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Chama cha TLP chaitisha Mkutano Mkuu 9/5/2020 ili kumpitisha Dkt. Magufuli kuwa Mgombea Urais

    #Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya corona
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

    Najiuliza ni nini tatizo? Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani. Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoboa siri ya kuteua wanajeshi Serikalini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amesema siri ya kuteua wanajeshi wengi Serikalini ni kutaka kuingiza Serikali kwenye nidhamu kutoka kwa wanajeshi hao Magufuli alisema anataka kuichukua nidhamu iliyopo jeshini na kuingiza Serikalini kwa sababu alipoingia madarakani...
  4. JamiiForums Tanzania Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?

    Wanabodi, Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
  5. JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona umeleta matumaini kwa Watanzania

    Hatuwezi kilinganisha Tanzania na nchi kama China, US, UK na Italia katika nyanja ya miundombinu ya huduma za Afya.Pia hatuna uhakika kuwa ni lini ugonjwa huu wa Corona utapata tiba au chanjo. Pia ni wazi kuwa hatuwezi kuendelea kuwa na watu waoga ambao wanajifungia kutokufanya kazi kukabiliana...
  6. C

    JamiiForums Tanzania COVID-19 Test Kits zilizogunduliwa kuwa na hitilafu kwingineko duniani siyo hizi za Magufuli

    Suala hili niliwahi kuliandikia post mahali, lakini nimeonelea kulianzishia uzi ili kulifafanua kwa undani zaidi. Katika kuhalalisha hoja ya JPM kulisha maparachichi na maboga test kits za COVID-19, Wafuasi wa JPM wamekuwa mara kwa mara wakitumia hoja kwamba hizi mashine sehemu nyingi duniani...
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu lockdown Rais Magufuli yupo sahihi

    Salamu wanaJF katika strategies za kupambana na COVID 19 hakuna expert duniani.kila mmoja wetu ameweza kuwa na ushauri wake ambao ni valid kwa muktadha wa uelewa,taarifa,uzoefu,elimu n.k Rais Magufuli alichagua NO LOCKDOWN ..!! Baada ya msimamo huu hata mimi big fan wa Jembe Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa anayofanya Rais Magufuli leo, yana tofauti gani na ya Kinjekitile Ngwale wa mwaka 1905? Tuwe wakweli na huru kujadili!

    Katika historia ambayo nilijikuta nakasirika baada ya kuisoma basi ni ya Kinjekitile Ngwale na vita yake ya majimaji mwaka 1905 hadi 1907. Ni historia inayochefua mno ukiisoma. Na kwakweli sijui hata ni kwanini inafundishwa kwenye mitaala. Tunaambiwa kuwa Kinjekitile aliwaambia watu wake endapo...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA kwanini inacheza ngoma za Rais Magufuli?

    Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda. Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti? Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa? Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe? Why kumjibu mtu kama Makonda...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Uzalendo na Ucha Mungu wa Rais Magufuli ni upi?

    Ninalalizimka kuandika uzi huu kulingana na mwendelezo wa tafakuri zitokanazo na hotuba pendwa ya mheshimiwa huyu hasa ya hivi karibuni tokea pande za kule Chatto. Katika hotuba yake Chatto mheshimiwa hakuwa na maneno mazuri sana kwa yeyote mwenye mtizamo wa kuwatenga watu katika kupambana na...
  11. JamiiForums Tanzania CNN, Sky news, Aljezeera, BBC, New York Times, Daily Mail, CBS, DW, Finacial Times vyaunga mkono hotuba ya Magufuli kuhusu Test kits

    Msimamo usioyumbishwa! Hiyo ndiyo picha aliyoitengeneza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kueleza waziwazi mashaka yake juu ya mashine zinazotumika kupima sampuli za wagonjwa wa Corona. Akizungumza kutokea Chato, mkoani Geita wakati wa hafla fupi ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania President Magufuli Queries Tanzania Coronavirus Kits After Goat Test Positive (+)

    Coronavirus test kits used in Tanzania were dismissed as faulty by President John Magufuli on Sunday, because he said they had returned positive results on samples taken from a goat and a pawpaw. Magufuli, whose government has already drawn criticism for being secretive about the coronavirus...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea uchaguzi mkuu: Rais Magufuli kulifunga Bunge Juni 30, Shughuli za Bunge kumalizika Mei 30

    Rais John Magufuli BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Kwa mujibu wa ratiba ya awali, Bunge la Jamhuri ya Muungano, lilipangwa kumaliza muda wake, tarehe 30 Juni 2020. Kwa mujibu wa taarifa hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Mabeberu? Rais Magufuli ameiathiri Serikali yake na ijayo

    Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu. Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena. Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu. Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji katika hotuba ya Rais Magufuli tokea Chato

    Nilimsikiliza vyema mheshimiwa rais katika hotuba yake kuhusiana na Corona alipokuwa akimwapisha waziri Mwigulu. Waziwazi mheshimiwa rais alipotosha kwa makusudi katika maeneo kadhaa labda kwa maslahi zaidi ya kisiasa. Kwa bahati mbaya gonjwa hili halihitaji propaganda za kisiasa bali ufumbuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hatutasitisha mishahara ya watumishi wa Umma kwa sababu ya COVID-19

    Ukiacha mambo mengine aliyo yazungumzia mh Rais Jana kwenye hotuba yake jambo la kutia faraja kwa watumishi wa Umma ni hili. Kwamba watendelea kuwalipa mishahara kama ilivyo kawaida na haita punguzwa. Hili limewatoa hofu watumishi wengi walio kuwa na hofu ya kusitishiwa mishahara yao kwasababu...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaomsifia Magufuli huwa wanalala kweli?

    Kama heading inavyojieleza, hivi hawa wanaomsifia magufuli huwa wanalala saa ngapi? Kwa kipindi hiki ambacho huku niliko jiji ninaloishi liko chini ya zuio la kutoka nje ya nyumba, mitandao imekuwa sehemu yangu kubwa ya kutembelea mda wote kwa vile sina ratiba nyingine tofauti, kwa huko...
  18. JamiiForums Tanzania Muda mwingine Rais Magufuli anapenda kufurahisha Jukwaa

    Hao anaowaita mabeberu na kuwashutumu yeye mwenyewe kila kitu chake anachokitumia anakito kwa mabeberu. Ukianzia mifumo ya ulinzi anaotumia ni ya mabeberu, vifaa vya ulinzi kama Rada, frequency vyote ni mali zao Mavazi hizo suti kutoka Italy anazovaa, Simu, Mikanda, Viatu, Miwani, Saa vyote...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa wataalamu wa maabara Yahya Mnung'a yupo mubashara Clouds 360 anazungumzia utafiti wa Rais Magufuli

    Anaitwa Yahya Mnung'a yuko clauds tv kwa sasa. Kaulizwa papai linaweza kuwa na corona Majibu: papai haliwezi kuwa na corona ila linaweza kuwa aliyelipeleka alilitoa wapi na limepitia katika mikono ya watu gani. Swali: je maabara yetu inaweza kuwa na hujuma na wataalamu hewa? Majibu: maabara...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mulika Maabara ya Taifa

    Mheshimiwa Rais kuna uhuni mwingi katika usimamizi wa magonjwa ya mlipuko kama Corona na Ebola. National lab wamekuwa wanajifanya kuwa wana wataalamu wanane tu wanaoweza kupima Corona kwa kutumia mashine ya PCR. Na kwamba taasisi kama KCRI, Muhimbili, Mbeya Referral na Bugando hawana uwezo huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…