magufuli

  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni wakati wa wafanyabiashara na Wadau wa Sekta Binafsi kumwadhibu Rais Magufuli

    Huu ni wito kwa Wafanyabiashara na Wadau wote wa Sekta Binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura. Mpigeni za uso ili mumkumbushe kwamba serikali iliyostaraabika duniani kote haimiliki njia za uchumi na pia...
  2. JamiiForums Tanzania Magufuli nakuunga mkono lakini kuwa makini kwenye kipindi chako cha pili

    Wana jamiiforum leo nimeona nitoe tathmini yangu ya Rais Magufuli na kipindi chake cha kwanza cha uongozi. Najua wengine mtachukizwa na haya ninayoyaandika lakini nimeona ni muhimu kutoa maoni yangu. Mpaka sasa kwa watu waliosoma maoni yangu watagundua kwamba nilikuwa nikimsifia Rais wetu pale...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Swali kwa Rais Magufuli: Hofu ya nini juu ya Vyombo vya Habari?

    Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini? Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC...
  4. JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mkubwa Rais Magufuli hatoivusha Tanzania salama

    Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama. Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli na mwenendo wa siasa za kibabe za nchi yetu. Hili ni jambo la hatari. Ni kweli kuwa kwa muda wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

    Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.- Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na watanzania wote wenye mapenzi mema kumuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka watumishi wa Umma kumuadhibu Rais Magufuli

    Sina mengi ila ni wito tu nautoa kwa watumishi wote wa umma kutoa adhabu kali kwa Rais Magufuli kwa kuupigia kura upinzani ili kumkumbusha nguvu mliyonayo kwa jamii. Maana licha ya mchango mlioutoa (hasa watumishi wa halmashauri) kwenye kumuweka madarakani mwaka 2015, amejifanya kuwasahau kwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Tutawaadhibu kwenye sanduku la kura bila huruma, tutampa Magufuli ushindi wa 90%

    Kwanza kwenye vita hakuna kulemba hata sisimizi ni wa kumfinyanga finyanga. CCM tumejiandaa kufanya kampeni za kijeshi nchi nzima usiku na mchana nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda Tutawashawishi wananchi wampe Magufuli ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi. 2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
  9. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Mzee Butiku, Tusiwa waoga ikiwamo kumfikia Rais Magufuli kwa hoja bila woga

    Amani ya Mungu alie mbinguni iwe juu ya Watanzania wote. Juzi mzee Butiku amesikika akisisitiza watu kutuwaogopa viongozi ambao ni wanadamu wenzetu, ambao kimsingi tukiwapigia kura, wanakuwa ni watumishi wetu kwa kukusanya kodi na kusimamia shughuli za maendeleo. Hata maandikiko matakatifu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mtu mwema na mwenye huruma wanaomuogopa ni wapiga dili na mafisadi

    Kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda. Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga. 2020...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

    Mimi nafuatilia kwa umakini sana hoja za wapinzani wetu ADC,NCCR MAGEUZI, CHADEMA, SAU, ACT WAZALENDO, CUF, kwa Leo nimemfuatilia kwa umakini sana Tundu lisu labda pengine angekuwa na jipya la kuifanyia nchi yetu lakini nimegundua kuwa ametembelea kwenye mafanikio makubwa ya Magufuli. Ahsante...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

    Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenifanya nione kitambilisho changu cha kura kuwa ni zaidi ya lulu ever!

    Ndiyo, Rais Magufuli amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka huu kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nikamchinje mtu huku namkodolea macho kodoooooo! Ni kweli kuwa ndani ya utawala huu wa Rais Magufuli ndiyo nimeanza kuonja...
  14. JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio ya kukumbukwa katika miaka mitano ya Utawala wa Rais Magufuli

    Mbunge wa Arusha Godbless Lema aliwekwa ndani kwa miezi kadhaa kwa kuota ndoto na kuielezea kuwa ameota Rais amefariki. Mbunge wa Mbeya alipata kesi ya uchochezi. Siku ya hukumu hakimu alipata maagizo kutoka juu kuwa ni lazima Sugu afungwe. Sugu alianza maisha ya jela. Sugu akiwa mtoto...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania hawamchukii Magufuli, wanaichukia CCM kwa sababu ya rushwa kukithiri

    Chama changu kinachukiwa na wananchi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa kukithiri. Wananchi wanahisi kubadili chama huenda ndio suluhisho la maisha bora kwao. Pamoja na ukali wa Mwenyekiti wetu wa chama taifa kuhusu Rushwa, lakini kwa sasa Rushwa ndio kwanza inazaliwa CCM. Sisi...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

    Kama ambavyo siku zote nimekua nikisema kua mimi ni mkweli daima na fitina kwangu mwiko. Ni MwanaCCM hai niliyekitumikia muda mrefu na bado naendelea. Rais wangu ulikosea mambo machache sana pamoja na mengine mengi makubwa uliyofanya. MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA Mwenyekiti wangu, maisha ni...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Lissu alitaka tufe na Corona kwa wingi ili Magufuli ashindwe halafu anataka awe Rais wetu?

    Alitaka tufe na Corona kwa wingi ili Magufuli ashindwe halafu anataka awe rais wetu? Alisema Magiufuli atake asitake korona intamshinda na kuthibitisha hana uwezo wa kuongoza, alitaka korona ituue kwa wingi kuthibitisha yake sio? Si lolote si chochote ila anataka urais anufaike yeye na jamaa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

    RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana). Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na...
  19. JamiiForums Tanzania Magufuli mwaka 2016, tutauza Ulaya mitumba, mwaka 2020 mnipe awamu nyingine tutauza mitumba Ulaya

    Hua nawauliza watu ni vitu gani tangible Magufuli amefanya cha maana kwa miaka 5 iliyopita chenye kuboresha au kuongeza pato la mwananchi mmoja mmoja, utajibiwa tu flyover, ndege, Stiglers, SGR na kuhamia Dodoma. Unashindwa kuelewa hivi vitu vimewasaidiaje wananchi wa kawaida? Kule kanda ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

    Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika. Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…