magufuli

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Sheria inayolinda miradi iliyoanzishwa na Rais John Magufuli?

    Salaam wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Hivi kuna sheria iliyotungwa na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kulinda miradi mbali mbali iliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli? Maana miradi ni mingi imeanzishwa na Serilikali sasa cha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosea sana kuagiza magari ya kesi za Uhujumu Uchumi yapewe Taasisi za Serikali

    Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo; Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 2000 ya Mkapa vs 2010 ya Kikwete vs 2020 ya Magufuli

    Historia huwa ni mwalimu mzuri sana. Na hii hii historia unaweza kuitumia kujua nini kinafuata. 2000 ya Mkapa ilikuwa rahisi sana sababu kwa miaka 5 yake watu walishamuelewa na kumkubali zaidi. 2010 ya Kikwete ilikuwa mtelezo sana sababu raia walishamuelewa sana, hata wale waliokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe ni kachero mtiifu kwa 'boss' wake Magufuli

    Kachero ni kachero tu! Najua sitavunja sheria wala kanuni hapa. Bernard Membe, Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo 2020. Historia yake ya kisiasa na utumishi inajulikana. Itoshe tu kusema ni Mtanzania ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za kisiasa na kitaifa. Tangu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza magari 130 yaliyotaifishwa yagawanywe kwenye Taasisi za Serikali

    .
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

    Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan. M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania President Magufuli act prudently on mr. Lissu. He is a trigger of revolution like Mohammed Boaziz of Tunisia

    Everyone won't believe just like it was in Tunisia. The country was quiet, peaceful and life was normal. But just a slip of mistreating the vegetable hawker, Mohammed Boaziz, led to the unstoppable revolutionary political hurricane branded as "Arab spring". Mr. Lisu is made up of the same...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

    Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata. Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa. Chanzo: East Africa Radio
  10. JamiiForums Tanzania Hivi unajua kuwa Rais Magufuli huwa ni mtu wa kufika bei haraka sana?

    Kiukweli Rais Magufuli ni Rais wetu ndiyo ila ana udhaifu mmoja mkubwa sana. Ni mtu wa kufika bei haraka kama utamfanyia vitu viwili tu 1. Mpe sifa na ukuu 2. Mpe fedha 1. Sifa na Ukuu Ukitaka kuamini rejea majina yote yaliyokatwa kwenye ubunge utagundua ni wengi ambao walikuwa "nyutro" na yeye...
  11. JamiiForums Tanzania Gwajima umeteuliwa si kwasababu unapendwa bali ni kwasababu ya kundi lililo nyuma yako kura wapeleke kwa Magufuli

    Sababu kuu iliyowapelekea kamati kuu ya CCM kumteua Gwajima kuwania ubunge jimbo la Kawe ni nguvu ya ushawishi aliyonayo huyu askofu kwa kundi analolichunga. Kwa hakika Gwajima ana washirika Tanzania yote nao humtii sana. Wakati akiwa CHADEMA nao washirika wake wote walimuunga mkono, aliporudi...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli Ndie Mesiah wa Tanzania, Tumpe Kura Nyingi Oktoba 2020

    Mathayo 11:2-26 Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma. Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten. Maendeleo hayana vyama! ========= Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
  14. JamiiForums Tanzania Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

    Barua yenyewe ndio hiyo, jisomee mwenyewe. ======
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli chonde chonde muite Stephen Masele akupe wazo lake

    Nilisoma kwenye mitandao Stephen Masele amekubaliana na kampuni ya Disneyland kuja kuwekeza Simiyu nilishangaa sana. Labda ilikuwa uzushi .. Uwekezaji wa dollars zaidi ya bilioni 10 uishie Kwa mbunge.. Lakini vyovyote vile idea ya kuwaleta Disneyland kuwekeza ni golden idea ...kama kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu Mo ni tapeli, Magufuli atusaidie kumdhibiti

    Hivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka? Simba sio timu ya kupewa ruzuku. Timu kubwa kuliko zote east Africa Kwa fan base inampa yeye Mo 'free promo ya Bidhaa zake zote. Hadi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania CCM ya Magufuli ni ya kijima kweli kweli: Hivi unamkataje Stephen Masele, Makamu wa Kwanza wa Rais Bunge la Pan-African, chombo muhimu cha AU?

    Tangu aingie madarakani Rais Magufuli amevuruga diplomasia ya nchi yetu kwa kiwango cha hali ya juu kuliko wote waliomtangulia. Kipindi cha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa maarufu sana katika diplomasia ya kimataifa huku yeye mwenyewe akiheshimika duniani lakini pia tulikuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Dkt. Magufuli

    Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi. Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Kitaifa la Kiongozi wa Dini kuombea Uchaguzi kufanyika 24/08/2020, mgeni rasmi atakuwa Rais Magufuli

    Shehe wa mkoa wa DSM Alhad Mussa Salum ametangaza kuwepo kwa kongamano kubwa la viongozi wa dini jijini Dodoma kwa ajili ya kuombea uchaguzi na kutoa mwelekeo kwa waumini kuhusu mazingatio wakati wa uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi atakuwa Rais...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

    Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017. Akihutubia umati wa wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…