magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Je, Magufuli anajua Rais wa Malawi alikuwa Mpinzani?

    Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu. Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli naomba uwashughulikie haraka waliofisadi mradi wa stendi mpya Mbezi, CHADEMA wamekiri mradi ni sh bilioni 51 siyo 71!

    Kwanza napenda kumshukuru aliyekuwa Meya wa Dsm Isaya Mwita kwa kutolea ufafanuzi namna miradi wa ujenzi wa stendi mpya Mbezi ulivyoratibiwa. Mwita amekubaliana na Rais Magufuli kwamba thamani ya mradi ni sh 51 bilioni na kwamba hadi yeye anaondolewa ofisini kulikuwa hakuna ongezeko lolote...
  3. C

    JamiiForums Tanzania CCM wana dharau sana: Barabara za Ukonga zilizokuwa na mashimo kama njia za ng'ombe zinakarabatiwa ili Magufuli aje kukampeni Jumamosi

    Habari wana JF, Leo numepita mitaa kadhaa ya jimbo la ukonga, nikashanga kukuta magreda yakifukia mashimo na makorongo barabarani hadi usiku. Nikauliza kulukoni mbona miaka na miaka wananchi wa huku wanapita kwenye haya mabonde! Imekuwaje leo vifusi vijazwe? Nikaambiwa mgombea wa CCM Magufuli...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha serikali ya Rais Magufuli kwenye sekta ya umeme

    Na Bwanku M Bwanku Wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli anaingia madarakani Novemba, 2015 na toka nchi yetu ipate uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza mwaka 1961, nchi ya Tanzania ilikuwa na jumla ya vijiji 2018 tu vyenye umeme kati ya vijiji 12,268 vya nchi nzima ya Tanzania. Kuingia madarakani...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

    Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama. Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo. Toka kampeni zianze ni...
  6. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

    Zimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda. Watu hawa wanashindana ili kutimiza wajibu. Magufuli hata angeamua kupunga tuu mkono, bado angepita kwa kishindo kutokana na mambo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

    Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish. Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa janja hii ya CCM kutumia ugeni wa kitaifa kuomba kura NEC semeni jambo

    CCM kupitia mgombea wake wa urais Sasa wanatumia janja janja ziara na ugeni wa kitaifa kufungua miradi na kuomba kura. Ratiba ya Magufuli inasema ana pumziko kwa muda wa siku 10 na kuendelea baadaye. Lakini leo hii na muda huu anatumia nafasi yake Kama rais kufungua miradi na hapo hapo kuomba...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli kuwatishia wananchi kuwa hataleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani, hivi hiyo siyo kuwabagua wananchi hao?

    Kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi nanukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi itakayofuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Tumekuwa tulimsikia mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli, Mara kwa mara katika kampeni zake...
  11. JamiiForums Tanzania Tukimtazama Rais Magufuli katika maono ya Mwalimu Nyerere: Je, wanyonge tungejibu nini?

    Mwasisi wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika uhai wake alitoa hotuba nyingi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali, ndani na nje ya nchi. Moja ya hotuba zilizovuta hisia za Watanzania wengi ni ile aliyoitoa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi mnamo...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Nitamchagua tena Dkt. Magufuli kwa sababu hizi...

    Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28. Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM. 1. SISI Wananchi wa vijijini huku ndani ndani ambao hatukuwahi kuona balbu ya umeme miaka yote tangu...
  13. JamiiForums Tanzania USHAIRI: Sisi wetu ni Dkt. Magufuli, wengine msitutishe!

    SISI WETU NI MAGUFULI, WENGINE MSITUTISHE! Tanzania yapendeza Amani yetu yaangaza Uhuru wetu twajivunia Na tisa hamsini metimia Beberu we situtishe Utaipata kasheshe. Wapo wenye inda Nia yao kulivurunda Taifa letu imara Watuletee madhara Tunasema hatukubali Tutawafyekelea mbali. Twatimiza...
  14. JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye mapokezi ya Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera nchini Tanzania

  15. JamiiForums Tanzania GE2020 The West has no appreciation to CCM that is why we will vote for Dkt. Magufuli

    It should be remembered that after Nyerere retired Tanzanians decided to turn to western countries model of life. We privatized every thing including public toilets under President Mwinyi and Mkapa. Then Under Kikwete we gave all western investors whatever they wanted under whatever conditions...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Kabwe

    Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
  17. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

    ====== Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema vyama vya Tanzania Labour (TLP) na United Democratic (UDP) ambavyo vilitangaza kumuunga mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli, vilisitisha mpango huo kwa sababu vilikuwa havijafuata kanuni na sheria za uchaguzi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

    The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit as to mining the extraordinary experience in leading his country in prosperity and Panasonic growth...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania sio maskini na IMF ni mabeberu, Magufuli ukatae msaada wao sasa

    Siku ya leo, taasisi ya kimataifa ya fedha duniani (IMF) imetangaza kutoa msaada wa kifedha kwenda kwa nchi 28 maskini zaidi hapa duniani. Katika orodha hiyo, Tanzania imekuwa ni nchi mojawapo. Japokuwa sote tunajua misaada hii haiji hivi hivi, mara zote nchi husika 'hupiga magoti na kuwalamba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Waziri Magufuli alipotoa waraka wa mafanikio ya Rais Kikwete kwenye mambo ya ujenzi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015

    Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo aliorodhesha mamiradi mengi mengi tu yaliyofanywa na serikali ya Mzee Kikwete. Sasa najiuliza kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…