magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Gazeti la "Los Angeles Times" laandika: Magufuli akataa uwepo wa COVID, baadhi ya wananchi waanza kukataa kukubaliana naye

    Rais wa Tanzania anasema Mungu ameondoa COVID-19 katika nchi yake. Sasa kanisa analosali mwenyewe laonyesha kutofautiana naye. Mamlaka ya Kanisa Katoliki wiki hii imetoa onyo juu ya wimbi jipya la maambukizo ya virusi vya corona huku taasisi mbali mbali za serikali zimeanza kuhimiza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi: Mwalimu wa Chuo Kikuu amlilia Rais Magufuli anusuru wafanyakazi

    Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha FRIDAY JANUARY 29 2021 Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Watanzania Kulalamika Msimamo Magufuli juu ya umuhimu tahadhari dhidi ya Magharibi, Emu Tuchunguze Siasa za Mageuzi:Kimkakati vs Mageuzi huru

    Rais wa Tanzania Magufuli: aamuru Waz. ya Afya kuwa tahadhari juu ya chanjo mpya, aamuru kampuni za madini kuunda ushirikiano na kampuni za Tanzania, kazuia uingizaji wa bidhaa fulani kulinda soko la ndani, kaongeza ukusanyaji wa ushuru, kazuia usafirishaji wa mchanga wa madini, na sera zingine...
  4. JamiiForums Tanzania With Tanzanians Complaining About Pres. Magufuli Cautious Stance on the West, Let’s Examine the Politics of Reforms: Strategic versus Unhinged-Reforms

    Warning: long read. Tanzanian president Magufuli has order the Min. of Health to be caution on the new vaccine, demanded mining companies to form partnership with Tanzanian firms, restricted import of certain products to protects local market, increased tax collection, blocked export of...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hata hili nalo eti linamsubiri Rais Magufuli dah!

    Kutoka kwenye ukuta wa Bollen Ngetti Face Book nami nawasukumia bila kuongeza neno. Kuna mambo mengine ukikutana nayo yanachefua na kutia kinyaa. Yani utadhani viongozi woooote wa Mkoa wa Dar es salaam wameenda likizo, hawapo au wameamua kusubiri ziara ya Rais Magufuli ndio aje kutoa maagizo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

    Habari wadau wa JF siasa. Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kimaendeleo nk? Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi jamii ya Kitanzania kipindi hicho...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

    Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe. Rais Magufuli amenukuliwa akisema...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli upo sahihi kwa 100% unapothubutu kuhoji ubora wa Chanjo ya Corona

    Salaam Wana JF. Nianze andiko hili kwa kurejea usemi huu usemao "Africa consumes what it does not produce and produces what it does not consume" Kuna mantiki pana juu ya usemi huu na kinachoendelea kwa sasa dhidi ya chanjo ya Covid 19, Rais wa Tanzania ameibua mjadala mpana ndani na nje ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla amuomba Rais Magufuli kutolea kauli ombi walilompelekea Waziri Bashe, lakini Bashe apangua hoja kwa data!

    Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo. Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa scheme ya umwagiliaji kwa naibu waziri wa kilimo mh Bashe lakini kwa kuwa Rais Magufuli yupo jimboni hapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana. Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
  11. JamiiForums Tanzania Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

    Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo. Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua mradi wa maji Kagongwa - Kahama

    Rais John Magufuli akizindua mradi wa maji ulioko Kagongwa, Isaka - Kahama Mradi umegharimu takriban Tsh bilioni 23.157 fedha ambazo zimetolewa na serikali ya Tanzania. Matenki yanajaza lita milioni 1.6 Serikali ilitoa tsh. 24 mkandarasi alitumia Tsh bilioni 23.157
  13. K

    JamiiForums Tanzania TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

    Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao. Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

    Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
  15. JamiiForums Tanzania WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

    Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu. Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli akiongelea chanjo ya cancer kitu ambacho, kwa maoni yangu, kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Je, msamaha wa Rais Magufuli kwa DED wa Kahama umewaponya Wakurugenzi wote walionunua magari ya Tsh 460 milioni?

    Rais Magufuli amesema haya ''Mkurugenzi wa Kahama Mji unafanya kazi kubwa sana, ka kosa kale kadogo kamesamehe dhambi zako zote. Unafanya kazi sana najua unapigwa vita ila wanaokupiga vita kuanzia sasa wakuogope. Nimemsamehe Mkurugenzi huyu, amefanya makubwa! Mkurugenzi hongera Sana. Na hilo...
  18. JamiiForums Tanzania Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
  19. K

    JamiiForums Tanzania China yatumia njia ya haja kubwa kupima Covid-19

    Nimecheka kicheko cha ubwege, ujinga na majilaumu. Kiingereza wanasema, "the burning issue". Huku "site" tunasema "kinachobamba" kwa sasa ni janga la ubanwaji wa kifua na mafua al-maarufu Corona. Tayari watu milioni 2.1 wamekufa na milioni 100 wameambukizwa. Wanasayansi wanahangaika kusaka...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

    Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV. Up dates; Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya. Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka. Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…