Mabibi na mabwana hali inaendelea kuwa si hali. Sisi tulio hatarini sauti zetu lazima zisikike. Kwa mwelekeo uliopo ndiyo tumeshatolewa kafara hivyo.
Jana tumemzika kigogo wa BOT (Joachim Sayi Nsunga) RIP, huko Dutwa Bariadi, Simiyu. Huyu bwana alikuwa mhasibu mkuu BOT makao makuu, Dodoma...