magonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dalili zinazoashiria magonjwa ya Afya ya Akili

    Kihisia: Kukosa furaha na kuhuzunika sana. Au kuwa na furaha sana kupita kiasi wasiwasi na au woga kupita kiasi. Kupunguza kuongea au kutokuongea kabisa au kuongea sana kupita kiasi. Hasira za haraka haraka hata kufikia kupiga wengine. Kuwa na msongo wa mawazo. Kujitenga na watu na kupenda kukaa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania 97.2% ya magonjwa yasiyoambukiza hutokana na ulaji mbovu

    Tafiti za wataalamu wa masuala ya afya na lishe bora zinabainisha kuwa asilimia 97.2 za viashiria vya magonjwa hayo yanatokana na kutozingatia kanuni bora za lishe,huku Mkoa wa Dodoma ukitajwa kuongoza kwa 42.27%,ikifatiwa na mkoa wa Geita 39.94 na Arusha 38.6%. Dkt Omari Ubuguyu ni Meneja...
  3. Nsennah

    JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga wa wiki mbili anapata maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa

    Habari madoctors!! Mwanangu ana wiki mbili toka azaliwe lakini ameanza kupata changamoto ya maumivu akitaka kujisaidia haja kubwa maana kanalia kakitaka kunya na pia hadi makalioni kamekuwa na rangi ya uwekundu. Naomba mwenye experience na hili suala anisaidie.
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Harufu mbaya ya ushuzi inazuia Kansa, magonjwa ya akili

    Pale unapohisi hali ya tumbo kujaa “gesi”, suluhu pekee huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo. Habari njema kwa mujibu wa wanayansi toka Chuo Kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, kitendo cha kujamba japo kinachukiza na kukera lakini kina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu. Wanasayansi hao...
  5. Edychristian

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini Homa ya Ini ni hatari zaidi ya UKIMWI

    Watu wengi hawafahamu Ugonjwa wa Homa ya Ini maarufu kama HEPATITIS B ugonjwa huu unasababishwa na kirusi anaeitwa hepatitis B virus ugonjwa huu unawezamuingia mtu mwilini kwa njia ya majimaji yatokanayo mwilini kwa mtu alie athirika na ugonjwa huu Umoja wa mataifa wamesema Ugonjwa huu unaua...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Vitendo vya ukeketaji vikemewe hadharani

    TAMWA inatoa wito kwa viongozi mbalimbali wa serikali kuanzia ngazi ya kata hadi wizara kukemea hadharani vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike, huku tukiwashirikisha wanaume katika mchakato mzima wa kupinga ukeketaji dhidi ya watoto. Ukeketaji licha ya kuvunja haki za binadamu pia unaleta...
  7. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maabara ni uti wa mgongo wa Huduma bora za Afya Tanzania

    MAABARA NI NINI Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
  8. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Kipanya juu ya mapambano ya kupata Katiba Mpya

    Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania. Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa mashitaka mahakamani. Tazameni hiyo picha hapa chini ili kwa wenye uelewa zaidi wa habari picha mtupashe zaidi.
  9. Political stability

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa huu wa kuku nawezaje kuudhibiti?

    Huu ugonjwa unaitwaje? Unasabishwa na nini? Na jinsi gani naweza kuudhibiti?
  10. Ntaganda boy

    JamiiForums Tanzania SoC01 Magonjwa ya haiba yanavyoathiri mahusiano

    MAHUSIANO YANAVYOATHIRIWA NA MAGONJWA YA HAIBA (PERSONALITY DISORDERS AND RELATIONSHIP) Habari zenu JamiiForums, hususani jukwaa hili la stories of change. Ni tumaini langu nyote ni wazima Haiba: Ni urithi au vitu unavyozaliwa navyo na baadhi kutoka kwenye mazingira na kukufanya au kumfanya...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuchunguzwa kansa na magonjwa ya figo?

    Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini na Koo na pia nifanye kipimo Cha magonjwa ya Figo. Je, hiyo check-up ya mwili hufanywa kwa vipimo...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

    Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga. Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa...
  13. mngony

    JamiiForums Tanzania Tuna la kujifunza; Mama Mghwira mwaka alijitangaza kuumwa Corona na kupona, lakini mwaka huu...

    Japo ukweli unabaki wewe mwenyewe ndio unawajibika kwa afya yako, hivyo wewe ndio muamuzi wa jambo lolote kuhusiana na afya yako na wala mtu mwingine asikuchagulie linalohusiana na afya yako Kufutia kuumwa kama tulivyoambiwa na familia ugonjwa wa changamoto ya kupumua, Mama yetu Mghwira Mungu...
  14. Baba Swalehe

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya akili: Jinsi ya kutambua na kujikinga na magonjwa ya akili

    Katika mada iliyopita tulijaribu kuangalia ni jinsi gani jamii ina mchango mkubwa katika kuwasaidia watu wenye matatizo ya ugonjwa wa akili , pia tulijaribu kuonyesha ni kwa namna gani magonjwa ya akili hutokea na mwisho tuliona kwamba magonjwa ya akili sio ukichaa uliopitiliza tu bali magonjwa...
  15. kichema

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba mawasiliano ya Daktari wa magonjwa ya mfumo wa chakula

    Ndugu naomba msaada wa kupata mawasiliano ya daktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa chakula
  16. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa choo na sababu za magonjwa katika familia

    Sababu kubwa ya magonjwa Kama UTI, SKIN COMPLICATIONS kutoisha katika maisha yetu ya kila siku NB: Kudhani chooni ni mahali pachafu/kinyaa na mpaka kufikia point kwenda na ndala au viatu ni ugonjwa wa a kili. MIMI SINA UJUZI WA UFUNDI Nimejifunza mfumo wa Choo katika makazi yetu hata hasa...
  17. Joshua Deus

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mdogo Magonjwa ya Akili kuhusishwa na Ushirikina

    Na Joshua Deus Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao. Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii...
  18. thisisahmadiya

    JamiiForums Tanzania Usafi wa mazingira na binafsi husaidia kupunguza magonjwa ya kitropiki

    Mazingira safi ni dawa, mazingira safi ni tiba, hutufanya kuishi Kwa amani mbali na magonjwa. Ni jambo la kushangaza, ya kwamba mwanadamu ni mzalishaji wa taka lakini si mwepesi wa kuziondoa taka hizo. Magonjwa mengi hutokana na hali duni ya usafi wa mazingira na wetu binafsi. Kusafisha...
  19. Penny

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Haja ya kurekebisha baadhi ya sheria ili kuongeza ufanisi wa kupambana na magonjwa ya mlipuko

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Sio lazima kusubiri wengine wafanye nasi tuige, tunaweza kujitathmini na kufanya marekebisho kwa yale yanayoonekana kuwa tatizo katika mapmabano ya magonjwa ya mlipuko. Kwa muktadha huo, nimejitahidi kupitia baadhi ya sheria mbali mbali za JMT, nikawa...
Back
Top Bottom