magogo

Princess Constance Magogo Sibilile Mantithi Ngangezinye kaDinuzulu (1900–1984) was a Zulu princess and artist, mother to Chief Mangosuthu Buthelezi, Inkatha Freedom Party leader, and sister to Zulu King Solomon kaDinuzulu.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  2. Suley2019

    Wauza nyama Nyanda za Juu Kusini wapigwa marufuku kutumia magogo buchani

    Wafanyabiashara na wamikili wa maduka ya nyama mikoa ya nyanda za juu kusini, wametakiwa kuzingatia maagizo ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) kutumia vifaa maalum vya kukata nyama na kuachana na matumizi magogo ya miti ili kulinda afya za walaji. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Juni...
  3. J

    Serikali: Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia Januari 2024 linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na sio Watu wote

    Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia January linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na siyo Watu wote. Awali Waziri wa Mazingira Dr Jaffo alisema kuanzia January 2024 itakuwa ni marufuku mtu yoyote kutumia kuni na Mkaa kama nishati ya...
  4. Mel James

    Serikali tusaidieni kuondoa Magogo mabuchani

    Habari za mda huu Naenda moja kwa moja kwenye mada. Serikali tumekuwa tukikatiwa nyama kwenye magogo toka enzi za uhuru. Bucha nyingi hasa mikoani ni magogo. Binafsi sijaona madhara au kusikia madhara ila ukweli ni kwamba kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoenda kasi dunian kote na pia...
  5. M

    Karibu tuvune magogo na mbao ya Mninga na Mkulungu

    Nina shamba ekari 50 lina miti ya Asili mingi ikiwemo mninga na mkulungu, yeyote aliyetayari aje inbox tuzungumze tushirikiane. Serikali imeanza kutoa vibali vya uvunaji. Karibun sana
  6. Sky Eclat

    Wakoloni walibeba magogo na mbao zetu

    Mbao ngumu kutoka Afrika
  7. B

    INAUZWA (WOODMIZER) Machine ya kisasa ya uchanaji mbao

    Ni mashine yenye uwezo wa kuchana mbao nyingi kwa mda mfupi na kwa kutumia watu wawili tu. Pia ni chombo kinachobebeka kwa maana ya kuhamishwa mara kwa mara. Zipo za aina mbili Inayotumia petrol engine na motor engine. Ulaji wa mafuta ni mdogo sana. Bei yake ni kuanzia million 17 za...
  8. B

    INAUZWA (WOODMIZER)mashine ya kisasa ya kuchana magogo

    Sifa zake. Ni mashine imara. Huchana magogo mengi kwa mda mfupi na kwa ulaji mdogo wa mafuta na umeme kwa ile ya motor engine. Inaweza kubebeka. Inapatikana Arusha,Tanzania. Bei ni shillingi million 17. Usiogope piga simu kwa namba hapo chini tutaelewana zaidi. Kwa mawasiliano na malelezo...
Back
Top Bottom