magari

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kuanza kutumia magari ya umeme

    Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme. Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km. Mazingira kama hayo yanafaa sana gari za umeme. Hakuna jabari za range anxiety. Tena nawashauri Zanzibar waruhusu na magari...
  2. H

    JamiiForums Tanzania DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA

    DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Alhaj Suleiman Yusuph Mwenda, Jumatano Julai 15, 2026, amekabidhi magari manne (4) ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya kuimarisha huduma za afya katika Vituo vya...
  3. JamiiForums Tanzania Ushuru kwenye magari, Serikali inapaswa kuangalia upya

    Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee. Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu. Halafu Tiarahei naona ushuru wanataka 15.8M Bila kupepesa Jicho mpaka hapo ni 32.7M, Ukitia na bandari charges zile walizoleta 35M...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
  5. JamiiForums Tanzania Dotto Magari: Hakuna tajiri anaeishi porini,matajiri wanaishi mijini kama Dar.

    “Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?" "Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo...
  6. JamiiForums Tanzania Mliokaribu na Dotto magari mwambie namuita Katoro hapa

    Huyo dotto magari na yule mshamba wenu wa singapore waambieni nawaita hapa katoro
  7. JamiiForums Tanzania Show room uchwara zaficha magari Dar

    Zile showroom uchwara jijini zimeficha magari yao zile open space zote leo zipo wazi kama uwanja wa mpira. Tuolinde amani kwa wivu mkubwa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaendesha takataka na si magari

    Wiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu Toyota crown Ist Raum Harrier Rav 4 Honda Cr Mazda CX-5 Toyota Fortuner Kia Hyundai Santa Fe Toyota Prado Nissan patrol Gari hizi sio Luxury Old technology Bad interior...
  9. JamiiForums Tanzania Bashiri Abdallah: Nimepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki

    Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini, Ndugu Bashiri Abdallah amesema kuwa amepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma Nimepata taarifa kwa usalama wa chama...
  10. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin akwepa ajali ya magari kiajabu

    Watch
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ongezeko la Excise Duty kwenye magari ni changamoto mpya kwa Wananchi

    Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5 kulingana na umri wa gari. Sisi wafanyabiashara tunaelewa kuwa kodi ni wajibu wetu na hatupingi kulipa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Magari ya Umeme Mbona Bado Haujashuka?

    Serikali ya Tanzania ilitangaza katika hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuwa imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa baadhi ya magari ya umeme kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10. Aidha, ilitangaza pendekezo la kusamehe VAT kwa baadhi ya vifaa vya kuchajia magari ya umeme ili kuhamasisha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya mabasi kwenye njia ya Tabora-Mbeya yana hitilafu za kiufundi na barabara hiyo ina mashimo mengi

    Kuna wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa mabasi yanayofanya safari kati ya Tabora na Mbeya. Inadaiwa kuwa baadhi ya mabasi yanayotumika katika njia hiyo yana hitilafu za kiufundi, huku yakisafiri kwa mwendo kasi kwenye barabara yenye mashimo na makorongo mengi. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba...
  14. R

    JamiiForums Tanzania HYPOTHETICAL: CHADEMA mkipewa magari na Watawala mtapokea na kushukuru?

    TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia. PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Arusha? Nimeona msururu wa Magari ya kijeshi mengine yakiwa na bendera nyekundu mama vile Goma

    Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu. Kwa sababu mimi ni mgeni nimeogopa sana. Nimezoea kukaa kijijini huku napiga zangu chaki. Sijazoea kuona haya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali ikomeshe biashara ya wizi wa mafuta kwenye magari makubwa maeneo ya Manyoni na Singida

    Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya masanduku na yale ya kusafirisha mafuta kuelekea mikoa ya jirani na nchi za nje. Uchunguzi na...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Mazuri ya magari ya umeme na changamoto zake

    kama umewahi kutumia magari haya ya umeme elezea faida zake na changamoto zake ili mtu afanye uamuzi sahihi
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya Mangi yanaharibu Nyumba Kikuba-Tukuyu

    Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe. Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai.. Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende na scania ambazo zinafanya nyumba zetu kupasuka Kwa mitikisiko na mpk kuanguka. Tunaomba Serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya fundi mechanic magari makubwa

    Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina. Sifa zinazohitajika:
• Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za malori na magari makubwa.
• Uwe na uwezo wa kufanya matengenezo na overhaul za gearbox.
• Uwe...
  20. JamiiForums Tanzania Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

    Nadhani tumesikia bajeti mpya ilivyoongeza kodi kwenye magari yaliyotumika nje. Focus kubwa ikiwa kwenye umri wa gari na ukubwa wa engine. Ila kwa upande wa pili, ni furaha kwa wenye mpango wa kuingiza magari ya umeme. Excise Duty kwa magari ya umeme (EV) imeondolewa kabisa. (Ila Excise Duty...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…