Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

MLIMAWANYOKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
774
Reaction score
2,703
Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex Elifuraha
1002006300.jpg
 
ni kweli, daktari akiwa kazini kama anawahi dharura anapaswa kupita lkn askari atajuaje kama huyu ni daktari na ana dharura? ambulance ina kingora, fire vile vile, sasa daktari ana nini? basi hata waonyeshe tu vitambulisho kwa trafiki vinginevyo ni ngumu kwa trafiki nafikiri.
ningeshauri wapewe vingora pia na kibao juu ya gari kilichoandikwa daktari kazini, vinginevyo trafiki atajuaje?
ikumbukwe hata ambulance wenyewe wanaruhusiwa tu kutumia kingora wakiwa na mgonjwa au wanawahi kumchukua mgonjwa na siyo safari zao za kawaida za ktk a-b, vile vile fire ni pale tu kunapokuwa dharura ya fire ambapo wanatakiwa wawahi ndiyo wanapaswa kuwasha kingora kwa kawaida inapaswa kuwa hivyo lkn ndiyo hivyo tena tanzagiza kila mtu mbabe na kupiga …
 
ni kweli, daktari akiwa kazini kama anawahi dharura anapaswa kupita lkn askari atajuaje kama huyu ni daktari na ana dharura? ambulance ina kingora, fire vile vile, sasa daktari ana nini? basi hata waonyeshe tu vitambulisho kwa trafiki vinginevyo ni ngumu kwa trafiki nafikiri.

ningeshauri wapewe vingora pia na kibao juu ya gari kilichoandikwa daktari kazini, vinginevyo trafiki atajuaje? …
Wao nao ni lazima na kimulimuli ambacho atakiweka juu ya gari au kwenye dashboard pindi anapokuwa na dharura kama wauguzi wengine duniani
 
ni kweli, daktari akiwa kazini kama anawahi dharura anapaswa kupita lkn askari atajuaje kama huyu ni daktari na ana dharura? ambulance ina kingora, fire vile vile, sasa daktari ana nini? basi hata waonyeshe tu vitambulisho kwa trafiki vinginevyo ni ngumu kwa trafiki nafikiri.

ningeshauri wapewe vingora pia na kibao juu ya gari kilichoandikwa daktari kazini, vinginevyo trafiki atajuaje?

ikumbukwe hata ambulance wenyewe wanaruhusiwa tu kutumia kingora wakiwa na mgonjwa au wanawahi kumchukua mgonjwa na siyo safari zao za kawaida za ktk a-b, vile vile fire ni pale tu kunapokuwa dharura ya fire ambapo wanatakiwa wawahi ndiyo wanapaswa kuwasha kingora, kwa hali ya kawaida lkn ndiyo hivyo tanzagiza kila mtu mbabe na kupiga …
Utawapa ving'ora madaktari wangapi wakati kila wakati wako standby, kama alimweleza askari akakimbilia kutoa ufunguo wakati anaenda kuokoa maisha ya mtu unategemea nini?
 
Polisi wajifunze kusikiliza. Mtu akikwambia mimi daktari nawahi dharura basi uliza kitambulisho kama anacho mwache aende.

Mimi nimewahi kusimamishwa nikiwa na mgonjwa kwenye gari, baada ya kuona jamaa wananipotezea muda nikawasha gari na kuondoka zangu. Bahati nzuri walinipotezea, lakini wangetaka kunikimbiza nilipanga tukimbizane mpaka pale emergency Muhimbili.
 
Back
Top Bottom