magari

  1. Dkt. Biteko: Serikali kujenga mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi pamoja na vituo vya kujazia gesi kwenye magari

    Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG...
  2. TANROADS yamjibu Khana Mbarouk, ubovu wa barabara na msongamano wa magari barabara kuu Mbagala - Kongowe

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta amesema wameiona video clip iliyopostiwa na Mtangazaji wa Clouds media Khan Mbarouk siku mbili zilizopita inayoonesha ubovu wa barabara na msongamano wa magari katika barabara kuu iendayo mikoa ya kusini mwa Tanzania...
  3. Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Ofa ofa ya mwezi mtukufu wa ramadhani karibu ujipatie matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo Kwa bei nafuu. Tunauza matairi ya brands zote size zote za matairi zinapatikana. Mikoani tunatuma pia Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wote mteja kwetu...
  4. Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  5. Kijana uliyechapwa na maisha usipanic kwenye uwanja wa vita. Hao marafiki zako wanaorusha picha mtandaoni huku wameegemea magari makali wengi si yao

    Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge. Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
  6. Karibuni wateja wote wa matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size tofauti za brands zote. Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo. Bei zetu ni nafuu sana mikoani tunatuma Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wte. Location Vingunguti karibu na sido Dar es salaam...
  7. Zifahamu aina na majina ya mabodi ya magari mbalimbali

    Je wewe huvutiwa na aina ipi? Mimi convertible
  8. Karibu ujipatie matairi ya aina zote magari makubwa na madogo brands zote

    Bei zetu kwa upande wa brand ya CENTARA . 1 - 315/80 R 22.5 - Tyre la mbele Price =465,000/= (highway) - Mixer (Trailer) Price =460,000/= Diff (kashata kubwa) price =510,000/= Diff kashata box box Price =510,000/= 2. 385/65 R 22.5 SUPERSINGLE price =610,000/= 3. R 22.5 TRANS TONE...
  9. Tufundisheni huku hatujui magari

    Sisi huku hatuyajui magari ila tu tunafahamu mitumbwi. Nimekuta watu wanabishana ila hakuna aliyeweza kutoa jibu la kueleweka mada imeanza hivi. **** jamaa yeye aliona gari limekwama katika matope. Ila kilichomshangaza lile gari katika kutaka kujinasua katika matope alishangaa gurudumu la nyuma...
  10. Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade Zanzibar kwa matumizi ya Tuzo za Trace. Harmonize adata na showbiz za Diamond

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26. Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
  11. Magari yanayotumia mawimbi ya redio yanakwenda kuua biashara ya mafuta, gesi na umeme

    Swala la kuzalisha umeme wa kuendesha gari kwa kutumia mawimbi ya redio sio utani. Nimejaribu kukagua makablasha ya physics nimepata jibu kama ifuatavyo: Formula ya Kuzalisha Umeme Kutoka kwenywe Mawimbi ya Redio Nguvu ya umeme inayozalishwa kutoka kwenye mawimbi ya redio ni sawa na: Nguvu...
  12. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na vyombo vya moto

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  13. Magari ya kukodi/ car rentals

    Need a ride? We’ve got you covered! From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices. ✨ Why choose us? ✅ Flexible rental options ✅ Affordable rates ✅ Well-maintained, reliable cars ✅ 24/7 customer support Book now and drive...
  14. Xiaomi wamezindua Gari mpya ya umeme: Xiaomi YU7 SUV

    Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV. Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa. Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h. Ingawa features nyingi...
  15. P

    Ushuru wa magari na online TRA calculator

    Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru. Unaagiza gari baada ya wiki tatu ushuru unaongozeka kidogo hadi mil 13+ kawaida kabisa kutoka na value ya USD KUPANDA NA...
  16. Kampuni ya magari BYD kutumia DeepSeek AI katika magari yake kuboresha ADAS!

    Kampuni ya magari kutoka China BYD wameungana na kampuni ya teknolojia DeepSeek, na kuinstall AI kwenye magari ya BYD. Hii advanced driver assistance system (ADAS) ambayo wao wameiita God's Eye itakua kwenye magari "karibia yote" ya BYD kuanzia expensive modela hadi cheapest models kama...
  17. Nini kifanyike ili kuondoa hii dhana kwamba Traffic police wapo kwa ajili ya kupata pesa za waendesha magari?

    Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio...
  18. D

    Utaratibu wa unyampara kwenye matumizi ya barabara zetu umekithili, Viongozi na magari ya majeshi waelekezwe matumizi ya barabara

    Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu. Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina zilizotumiwa na mababu wa kale kunyooshana! Kumekuwepo na tabia chafu sana za ubabe barabarani kwa...
  19. Mbunge Kasalali: Magari yakubeba Taka na yenyewe ni Takataka, NEMC imekosa meno

    Mbunge wa Sumve, Emmanuel Kasalali amesema mamlaka maalumu inapaswa kuwepo ili kusimamia masuala ya Mazingira kwani haijachukuliwa kwa mkazo wake Amesema siku za hivi karibuni Nemc imekuwa ikifunguia baadhi ya baa lakini baadhi ya wakuu wa wilaya wanasimamia kuzifungua Pamoja na hilo amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…