magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Magaidi wa jihad wakutana na walaji watu wa Mali, unyama kwa unyama, yetu macho

    Wanajeshi wa Mali watuhumiwa kuchinja magaidi wa jihad ya kiislamu na kuwatafuna nyama, kuna video ilikua inasambaa ila imefutwa.....yaani wote mashetani, binadamu wanafanyiana unyama kuzidi wanyama wa mwituni..... Magaidi ya kijihadi kujinadi kwamba wao ndio wakali wa kufanya maunyama, ila...
  2. JamiiForums Tanzania Magaidi wavamia makanisa mawili ya Orthodox, sinagogi na kituo cha polisi huko Urusi

    Wanaukumbi. BREAKING: ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บMapigano na magaidi yanaendelea, baadhi ya wanamgambo wameondolewa, wengine wamezuiliwa. - Wanamgambo wawili waliangamizwa huko Dagestan, -Gari la doria linawaka moto kwenye Mtaa wa Ordzhonikidze. -Mashambulizi ya silaha yalifanywa kwa makanisa mawili ya Orthodox...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahalifu wengine waitwe Magaidi na wengine waitwe Waasi?

    Dunia na Mikanganyiko yake! Hayo makundi yote yanafanya uhalifu sawa sawa katika nchi zao, makundi mengi hayazitambui serikali za nchi zao. Nini sababu kubwa ya makundi hayo kwenye nchi za waislamu kuitwa magaidi na sheria kali kutungwa dhidi yao, kwa mfano Somalia, Yemen, CAR, Mali na...
  4. JamiiForums Tanzania Magaidi wachinja maskini wanavijiji 38 DRC

    yaani mwendo wa kuchinja tu, tena wanachinja maskini walalahoi wasiokuwa na mbele wala nyuma, huwa najiuliza siku mkija kugundua huyo "mungu" wenu sie na kwamba muda wote mumeua watu ili kumkosha mungu asiye, mtaficha wapi aibu. _________ Suspected Islamist rebels killed at least 38 people in...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

    Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe...
  6. JamiiForums Tanzania Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika...
  7. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu kwenye kituo cha afya DRC

    Huyu 'mungu' wao anapenda damu sana.... At least eight civilians died on Thursday in an attack on a health centre in eastern Democratic Republic of Congo, according to media reports that cited locals. The attack was carried out in DRC's North Kivu Province. Locals said the attack was carried...
  8. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wazidi kushambulia Msumbiji

    Yote hii kwa ajili ya kumtukuza 'mungu' wao.... Mozambique's army is fighting Islamist insurgents who launched a major attack on the northern town of Macomia on Friday morning, President Filipe Nyusi said in a televised address. The town is in Cabo Delgado, a gas-rich northern province where...
  9. JamiiForums Tanzania Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti Afghanistan

    Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini. Islamic State claimed responsibility for an attack on Monday on a mosque in Western Herat province in...
  10. JamiiForums Tanzania Wamarekani wajitokeza kuandamana dhidi ya wanaoandamana kuunga mikono magaidi wa HAMAS

    Kama mbwai na iwe mbwai, watu wameruhusiwa kuhamia Marekani wanashindwa kuvumilia na kuanzisha ***** ***** zao kwenye nchi za watu, na bila aibu wanaandamana kuunga mkono magaidi wa HAMAS wenye mlengo wa dini ya kiislamu. Sasa wenye nchi yao nao wameanza kuingia barabarani...... As the size...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Israel yamuua Kiongozi wa juu wa kikundi magaidi wa Hezbollah, Ali Ahmed Hassin

    Wadau hamjamboni nyote, Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha ugaidi cha Hezbollah auawa na Jeshi la Israel Katika mji wa as-Sultaniyah huko Lebanon ya Kusini. Ali Ahmed Hassin akiongoza kikosi maalumu cha askari wenye Weledi mkubwa almaarufu Radwan na aliuawa kwa shambulizi la...
  12. JamiiForums Tanzania Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

    Wananchi maskini wa Msumbiji wanaachwa waendelee kuchinjwa na magaidi ya kiislamu.... SADC wanaondoka. The Southern African Development Community (SADC) military mission in Mozambique (Samim), which was deployed on July 15, 2021 to fight the Islamic insurgents terrorising the Northern Cabo...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ilitokeaje hadi magaidi 500 wa HAMAS wakaenda kukusanyika kwenye hospitali ya Al Shifa

    Japo hospitali yenyewe ni kubwa, ila nini kiliwaamisha hawa magaidi wa dini kwamba kwa kujichimbia humo watapona kwa kipigo, maana wamefumuliwa humo hivi majuzi. Over the last week, the Israel Defense Forces have been carrying out a complex raid at Shifa Hospital. The hospital is a large...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

    Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu......... Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili...
  15. JamiiForums Tanzania Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

    Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Urusi imetoa picha na majina ya magaidi waliokamatwa baada ya tukio la jana moscow.

    Mzuka wanajamvi, Vyombo vya usalama Urusi zimetoa picha na majina ya waliohusika na shambulio la kigaidi jana Usiku Moscow.
  17. JamiiForums Tanzania Ripoti:Saud Arabia na Falme Za Kiarabu Zachochea Vita Ya Israel Kujilinda Dhidi Ya Magaidi Wa Hamas

    My take :Waarabu pia wamechoshwa na ugaidi wa Hamas. .... https://www.middleeastmonitor.com/20240321-saudi-uae-among-states-fuelling-israels-offensive-on-gaza-report-finds/
  18. JamiiForums Tanzania Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

    Habari za hivi punde no kwamba, Shirika la habar la Serikali ya urusi RUSSIA TODAY (RT) limeripoti kwamba magaid hao wamekamtwa mkoani BRYANSKI walipokua katika juhudi za kutoroka kupitia mpaka wa Ukraine na wamebainika kua na mawasiliano na wenzao walioko Ukraine. Pia ripoti kutoka shirika la...
  19. JamiiForums Tanzania Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

    Wametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........ Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead ISIS has claimed...
  20. JamiiForums Tanzania Magaidi ya ADF yakiongozwa na Mtanzania yaingia Uganda

    Magaidi ya ADF yenye mlengo wa dini ya kislamu yakiongozwa na Mtanzania Ahamed Muhamood Hasssan, yameingia Uganda, jeshi limetoa tahadhari. Jameni hampumziki kwenye huu mwezi wenu. ============ KAMPALA, March 18 (Xinhua) - The Ugandan military on Monday urged the public to be on alert after...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ