mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil

    Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil. Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil Kimashine kinaweza kuundwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Askari watuhumiwa kuvujisha siri za Wananchi wanaotoa taarifa za wizi wa mafuta ya SGR

    Imebainika kuwa baadhi ya askari wa Shinyanga wanavujisha taarifa za siri zinazotolewa na wananchi juu ya wahalifu wakiwemo wezi wa mafuta katika ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR. Wakizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Janeth Magomi baadhi ya Wananchi wamedai kuwa wizi...
  3. JamiiForums Tanzania Mafuta ya Taa yaadimika Nchini, Bei yapanda

    Bei ya mafuta ya taa imeongezeka kwa wastani wa Sh39 kwa mikoa mitatu ya Dar es Salaam, Mtwara na Tanga mwezi Machi ikilinganishwa na Februari 2023, huku uhaba wa bidhaa hiyo ukitawala. Katika taarifa ya bei mpya za mafuta iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za...
  4. JamiiForums Tanzania Mafuta yapanda Bei, EWURA imetangaza Bei Mpya za Machi 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Machi 2023. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:- (a Kwa Machi 2023, bei za rejareja za mafuta...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta

    Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta. Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kitwanga: Bei ya mafuta ilipaswa kushuka ila tunaibiwa na wanaCCM

    Duh
  7. JamiiForums Tanzania Ufaransa waandamana kupinga TotalEnergies kujenga Bomba la Mafuta ghafi la EACOP

    Wanaharakati mjini Paris Jumatano waliandamana dhidi ya Benki 2 zinazohusika katika ufadhili wa mradi wa mafuta wenye utata katika Afrika Mashariki, sehemu ya maandamano yanayoratibiwa katika miji kadhaa duniani kote. Takriban wanakampeni vijana 30 kutoka kundi la Stop Total waliandamana mbele...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi hutumia mafuta ya simba

    ...Mafuta ya simba yana kazi kubwa sana katika maisha ya wawindaji waishio uko msituni (wamasai wanayatumia sana kwa kuweka ulizi wa mifugo yao na kujipaka ili kupata moli . • Mafuta ya simba-uondoa uoga kabisa na kuwa na roho ya kikatiri pale unapochukia ,unaweza kuwa mkali misili ya simba ...
  9. JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Wanaozuia bomba la mafuta lisijengwe ni wanafiki. EWURA yatoa kibali cha kuanza Ujenzi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa kibali cha Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Mtukula hadi Tanga lenye urefu wa km 1147. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), James A. Mwainyekule amesema EWURA imetoa kibali cha Ujenzi wa...
  10. JamiiForums Tanzania HABARI, INDIA KIJANA MMOJA AJIKAANGA KWENYE MAFUTA KISA👇

    Karibu..... ........ UTOFAUTI WA HULKA NA MIFUMO YA MAISHA, ISIWAFANYE MKAISHI KWA KUTETEA MIFUMO KWA "KILA MMOJA NI TOFAUTI NA MWENZAKE " TUMEKUWA MANABII NA TUNAOISHI KWA NGUVU ZA MISEMO NA USHUHUDA PAMOJA NA TAFSRI ZA NDOTO "SI KWA UHALISIA WA MAISHA TENA" TUNAHITAJI ZAIDI YA CHAKULA NA...
  11. JamiiForums Tanzania Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi. Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds. Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
  12. JamiiForums Tanzania Kufuatia hali ilivyo URUSI kupunguza uzalishaji wa mafuta tujiandae kisaikolojia

    Urusi imesema itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha asilimia tano kuanzia mwezi ujao ikiwa ni kukabliana na hatua ya mataifa ya magharibi ya kuweka ukomo wa bei. Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Alexander Novak amesema Urusi itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kwanini serikali imeshindwa kuwaajiri wahitimu wa fani za mafuta na gesi pamoja na uchache wao?

    Fani za mafuta na gesi zilianza kufundishwa Tanzania mwaka 2013. Mara serikali ikaanzisha shahada ya kwanza ya kemia ya petroli (BSc. Petroleum Chemistry) (wanafunzi 25), Shahada ya kwanza ya uhandisi wa petroli (BSc. Petroleum Engineering) (Wanafunzi 25) na Shahada ya kwanza ya jiolojia ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

    Habari za Muda huu Wakuu! Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye Umri wa Uzee. Kwa muda mrefu nimekuwa nawiwa kufanya uwekezaji kupitia kujenga na kumiliki Kituo cha...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo la mafuta ya kupikia ya Mico Gold

    Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama. Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja wangu.
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na kampuni ya UAE zatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) wa mafuta kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta

    Serikali jana ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na kampuni ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta ya petroli. Mkataba huo ulitiwa saini na Wizara ya Nishati na wawakilishi wa Shirika la Emirates National Oil Company Group (ENOC) lenye...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya, badala ya kujichubua na kuwa kama vishetani, kwa nini msitumie mafuta ya kujikinga na jua?

    Tz hii sidhani kama kuna mkoa unaongoza kwa watu kujichubua kama Mbeya. Ukikuta mwanamke aliyejichubua kikweli anatisha. Sura inakuwa kama kokaragosi au kashetani hivi. Lakini si wakulaumu. Habari ya kujichubua ipo duniani pote. Wazungu walifanikiwa kuteka akili za watu kuwa weupe ndiyo urembo...
  18. JamiiForums Tanzania Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye system walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu.. Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua.. Wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (ewura) ili na wao walipe kodi.. vivyo hivyo mafuta nao ... maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu...
  19. JamiiForums Tanzania Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye mfumo walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu, Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitume na manabii wanaouza maji na mafuta watakiwa kujisajili rasmi kama watoa huduma rasmi wa sekta za maji na mafuta

    Mitume na manabii wanaitoa huduma za maombezi kwa kutumia mafuta na maji wametakiwa kujisajili kwenye mamlaka rasmi zinazosimamia huduma hizo. wale wanaouza maji wametakiwa kujisajili kwenue mamlaka ya maji na wanaouza mafuta wametakiwa kujisajili Food and Drugs Authority.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…