mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya Ubungo

    Mliopo maeneo ya Ubungo na Kimara kibo, tupeni update ya hapo maana wengine wanakimbilia hatari. === Lori linalosafirisha Mafuta limepinduka na kusababisha Moto mkubwa katika maeneo ya Ubungo jirani na Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi cha Kibo jijini Dares Salaam. Jeshi la Zimamoto limefika...
  2. Uhaba wa Mafuta na Dola, nashauri Rais atumie fursa ya Mkutano wa Afrika na Urusi

    Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
  3. Mchanganuo wa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa Mei 2022

    Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta (supplier). Katika bei za Mei 2022 gharama hizi zilikuwa ni kama ifuatavyo: (i) Petroli – bei ya soko la...
  4. N

    Ruzuku ya mafuta imefia wapi?

    Wakuu, rejeeni kichwa cha uzi. Naomba kufahamishwa kama ile ruzuku ya bil. 100 bado ipo au imekufa kifo cha kawaida. Maana EWURA kwenye jedwali lao safari hii hawajatuwekea bei mbili, yenye ruzuku na ile kabla ya ruzuku. Nawasilisha.
  5. Waagiza mafuta wasema bila Dola watashindwa kuagiza mafuta

    Katika kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba katika ofisi ndogo za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe 4 Agosti...
  6. S

    Wananchi wapate shida ya mafuta lakini viongozi husika wanazidi kuneemeka

    Wananchi wanapata tabu kubwa kwenye suala la mafuta lakini familia za kina Makamba, Tulia na mumewe Bosi wa Ewura ziendelee kuneemeka huku Watanzania wakiteseka kwenye nchi yao. Nimeona huko Kiteto mafuta lita Tsh. 5,000 wao wanaona sawa tu. Ili mradi waendelee kubaki kwenye nafasi zao. Nchi...
  7. S

    Mgongano wa maslahi Spika unaangamiza Watanzania kukosa mafuta

    Mgongano wa maslahi wa wazi wazi Spika wa Bunge amemnyamazisha Mbunge Tabasamu asiongelee kuchezewa kwa tenda katika mchakato wa ununuzi wa mafuta wanaondesha mchakato unaolalamikiwa na Tabasamu ni Ewura na bosi wa hiyo taasisi ni mume wa Spika. Hii ina maana Makamba alimshauri Rais amteue mume...
  8. Wenye Magari si huwa mnatutambia kuwa mna hela, sasa kwanini mnalalamika kupanda kwa bei ya mafuta?

    Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari. Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia? Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa...
  9. Ukosefu wa dola na kupanda kwa mafuta kunaenda kuathiri maisha ya Mtanzania

    Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza gharama za uagizaji bidhaa na kwa mtaani kunaongeza gharama za maisha katika mitaa ya Tanzania, kiujumla...
  10. Uhaba wa mafuta unaisogelea Dar, bei ya Petroli kwa Kibaha yapanda kutoka Tsh. 2,700 hadi 3,700 ghafla

    Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo. Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya...
  11. Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  12. Uhaba wa Mafuta unazidi kutisha

    Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same! Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa. Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe...
  13. J

    DC Jokate awataka wafanyabiashara wanaoficha mafuta kuacha mara moja

    DC JOKATE AWATAKA WAFANYABIASHARA WANAOFICHA MAFUTA KUACHA MARA MOJA - KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amewataka Wafanyabiashara wanaoficha mafuta Wilayani Korogwe wakisubiria mabadiliko ya bei ili wauze kwa bei kubwa kuacha mara moja kwakuwa wanahujumu uchumi na...
  14. Mume wa Spika Tulia kuwa Mkurugenzi EWURA, ni Mateso kwa taifa, Mafuta hayapatikani

    Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani? Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana. Napendekeza aondolewe ili kuokoa...
  15. Tabora: EWURA yakamata Malori ya mafuta yaliyofichwa kwenye Kituo cha mafuta cha GBP

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imefanikiwa kukamata malori matatu ya mafuta ya Dizeli na Petrol yaliyokuwa yamefichwa kwenye Kituo kimoja cha mafuta cha GBP Mjini Tabora. Inadaiwa kuwa yalikuwa kwenye mkakati wa kucheleweshwa wa lengo la kutengeneza...
  16. EWURA yawakamata walanguzi wa mafuta ya Petroli Loliondo

    Timu ya Wakaguzi EWURA ikishirikiana na vyombo vingine vya Usalama imewakamata walanguzi wa mafuta ya petroli wakihifadhi na kuuza mafuta hayo kwenye madumu ya lita 20 na 200. Aidha waliokomatwa kwa kukutwa wakiuza mafuta Loliondo ni: 1. Wilson Bussein Balagiswa Lita:411 2. John Emanuel...
  17. L

    Wenyeji wa Karamay, Xinjiang wanufaika na utajiri wa ‘Mlima wa Mafuta Meusi’

    Mji wa Karamay uliopo mkoani Xinjiang, China, ni mojawapo ya maeneo yenye maajabu makubwa ya kiikolojia duniani. Tangu enzi na dahari mji huu ulihifadhi hazina iliyokuwa tuli kwa mamilioni ya miaka na baadaye kugeuka kuwa ardhi inayotema mafuta. ‘Mlima wa Mafuta Meusi’, unajulikana sana kama...
  18. Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC) chakanusha uwepo wa sintofahamu kati yake na EWURA

    Tumebaini kuwepo kwa taarifa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ikidai kuwa waagizaji na wasambazaji wa mafuta wamekaa kwenye kikao na EWURA na kuishia kwenye mtafaruku na kutokukubaliana. Kwa niaba ya Wanachama wetu wa Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC) ambao...
  19. DOKEZO Simiyu: Kuna uhaba mkubwa wa mafuta ya Petroli kwenye Wilaya ya Bariadi

    Katika Mji wa Bariadi Makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, mapema Leo Asubuhi kumekumbwa na Changamoto ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli. Nimetembelea vituo vya Mafuta 8 ambavyo vimekuwa vikitoa huduma ya mafuta ambapo vituo vyote 7 havina Mafuta huku kituo kimoja tu Total Energies ndicho chenye...
  20. EWURA: Tuna mafuta ya kutosha Nchini, wenye vituo lazima wawe na mikataba na waagizaji

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kuwahakikishia wananchi upatikanaji wa uhakika wa mafuta nchini baada ya kutembelea maghala ya kuhifadhia mafuta jijini Dar es Salaam, 23 Julai 2023. Ziara hiyo iliyoongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, na kujumuisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…