Tom lee Ab
Member
- Jan 11, 2020
- 41
- 17
Dar es salaamUnapatikana wapi
Kwa wenye BP, Ila kiuhalisia hayo mafuta ya Wanyama ni mazuri zaidi kuliko haya ya Alizeti na mengineMafuta ya ng'ombe yapo ya aina mbili. Moja ni ngumu na kuganda kama kwenye picha hapo juu na ya pili yenyewe yanakuwa ya maji.
Wamasai ndiyo watumiaji wakubwa sana wa mafuta ya ng'ombe. Hivyo, kama upo Dar penda kutembelea maeneo waliyopo.
Hata hivyo, mafuta ya ng'ombe yana Cholesterol nyingi sana sana. Hivyo wenye magonjwa ya moyo wanashauriwa kutoyatumia.