Kila kitu lazima utumie nguvu kukipata,siyo uganga,nguvu ya mchungaji au Nani bali ni wewe kuandaa mipango sahihi ya kupata vitu unayotaka walau Kwa asilimia 50 ya malengo yako.
Hata wale unaowaona au kuwasikia kuwa waliirithi mali kutoka kwa Baba na babu zao,bado wanapambana kuhakikisha...