mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu duniani amewahi kuwekewa mikono kichwani na wazazi wake wakamwombea jambo bila mafanikio.

    Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake. Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

    Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu! Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa! Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume!! Adui wa kwanza wa mafanikio yako ni mwanamke au wanawake utakaokuwa nao.

    Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
  4. JamiiForums Tanzania PPAA yatoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa Umma kwa Wadau zaidi ya 1,000

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024. PPAA imeshiriki pia kufanya maonesho ya kutoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa umma na...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia!

    ... 👂 𝗠𝗠𝗘𝗦𝗜𝗞𝗜𝗔 𝗛𝗨𝗞𝗢 ?😀 "Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia. Rejea ushauri wa Rais wa awamu ya tano" ©️ Masau Bwire. Afisa habari wa klabu ya JKT. Tom Cruz
  6. JamiiForums Tanzania Haya ni mafanikio yenye kuhitaji shamrashamra?

    Huwa naona watu wanapongezwa, wanapongezana au hata kumshukuru Mungu kwa shukrani zote kwa: 1. Kupanda ndege 2. Kuonekana kwenye TV 3. Kufika nchi ya nje na Tanzania 4. Kupata likes au re-tweet ya mtu maarufu 5. Kupiga picha au kukutana na mtu mkubwa au maarufu. Je, haya ni mafanikio...
  7. JamiiForums Tanzania Tujifunze kujuliana hali kihisia si mafanikio tu

    Picha: Pinterest Tangu umekua na kujitambua kila mtu unayekutana naye huuliza una kazi, una nyumba au umeoa au utaoa/ kuolewa lini. Maskini hukuna anayewahi kukuambia ikiwa una furaha au laaa!!! Maisha si kama mlolongo wa kununua nyanya na mbogamboga sokoni. Tambua kuwa wale wanao ziona...
  8. JamiiForums Tanzania Tujadili Maisha: Ni kweli Watu wenye roho nzuri hawafanikiwi kimaisha wakati wenye roho mbaya wanatoboa Kirahisi?

    Kuna usemi maarufu unaosema, "watu wazuri wanamaliza mwisho," ambao mara nyingi hutumika kuelezea hali ambapo watu wenye roho nzuri, ambao ni waaminifu, wanyenyekevu, na wenye huruma, wanakosa mafanikio katika maisha. Wakati huo huo, wale ambao wanaonekana kuwa na roho mbaya, wanaoweza kuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Happy Birthday wadau. Muishi maisha marefu na yenye Mafanikio!

    Heri ya kuzaliwa wadau wa JF mliozaliwa tarehe ya leo. Mungu awatangulie katika mishe zenu. Happy Birthday 28/August mwilongo Aron mr xuma Inspector Jws Gilbert Julius Alex Fredrick amonbiner anonymous_blue Lobaraki Joyeuse SISTY DENIS MUSHI saliel Sanga Imma Mr Stoic Edna kahema Na...
  10. JamiiForums Tanzania Mafanikio makubwa yaliyochochewa na serikali ya awamu ya sita yawa kero kwa wapinzani wa maendeleo nchini

    Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania.. Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
  11. JamiiForums Tanzania Mjadala: Benki nzuri kwa mikopo ya wafanyabiashara (15m-500m)

    HAKUNA TAJIRI ASIYEKOPA! Umewahi kuwasikia watu wakisema hawakopi au kujisifia kwamba hawakopi kwenye biashara zao? Ukweli ni kwamba matajiri wote unaowajua wanakopa, ELON MUSK, alikopa kuinunua Twitter (sasa X), Mohammed Dewji MO alikopa benki ya First Rand Afrika kusini. Sasa Kama Elon Musk...
  12. JamiiForums Tanzania Elimu ya darasani sio ufunguo wa mafanikio. (Njia ya mafanikio hii hapa)

    Nitajitahidi kutumia maneno machache.. japo mada hii kueleweka vizuri inahitaji maelezo mengi sana. Nianze na haya kwanza, 1. Elimu Ukiwa na miaka kama sita hivi unaanza shule. Kujifunza kusoma, kuandika na mahesabu. Ukisoma chuo utajifunza kazi fulani kufatana na ufaulu wako (IQ) Uwezo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Tulipokuwa makinda wala tusingekubaliana na wazo la kumnunulia gari awala lakini kumbe safari ya mafanikio ailandani na ideology ya njaa.

    Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class. Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama zaidi na zaidi, leo utanunua harrier lakini unahisi kwa uwezo ulionao unapaswa ununue fortuner. Kama...
  14. JamiiForums Tanzania Safari ya mafanikio vs mishale mingi, kukata tamaa, kukatishwa tamaa,anasa za mwili etc ni ngumu kutoboa kama haupo imara!

    Habari wakuu, Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo. Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiona umefikia stage hii umekwisha

    Kuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya. Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes nimepata experience Mimi mwenyewe. 1. Ukijiunga kwenye kikundi cha kufa na kuzikana ili usaidiwe...
  16. JamiiForums Tanzania Che Malone Fondoh ndiye mchezaji atakayeamua mafanikio ya Simba msimu wa 2024-25

    Leo kuna jambo nitalisema kwa sababu nimelitafakari muda mrefu hasa baada ya msimu uliopita kuisha. Katika msimu wa 2022-23, msimu wa mwisho wa Che Malone Fondoh akiwa na Coton Sport ya Cameroon, timu hiyo ilishika nafasi ya mwisho katika kundi lake kwenye CAFCL, ikiongoza kwa kuruhusu magoli...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi Hofu inavyoweza kukwamisha mafanikio ya mtu.

    Hofu inaweza kukufanya ukaona Jambo ni kubwa kama watu wanavyolizungumzia Kumbe hata hawalijui vizuri. Mimi tangu nakua nimekutana na watu wanaojua kumtia mtu hofu ikiwamo hata wazazi wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho nilifeli Mtihani wa Form two nikapaswa kurudia shule ile ile lakini watu...
  18. JamiiForums Tanzania Siri za Mafanikio

    1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani. 2.Siri ya pili ya mafanikio meenyezimungu akiweka mbinguni. Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli. 3.Siri ya mafanikio ya...
  19. JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Siri nne za mafanikio 2024: Vitu ambavyo matajiri hawawezi kukwambia

    Ndugu Msomaji, Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo Hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio. Binafsi Siri Hii Nilijifunza 2020 Kutoka Kwa Mentor Wangu Dan Lok. Kitu Ambacho Kilibadilisha Kabisa Mwelekeo wa Maisha Yangu Mpaka Leo. Dan Lok Alifanya Utafiti wa Kisiri na Akagundua Kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…