maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Darren2019

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole

    Msaada wakuu, kuna mtanzania anahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole. Tupe sifa ya nyumba na bei tafadhali tutakufuata inbox🙏🙏
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Haya ni Maeneo Matatu ambayo Katika Uislamu unaruhusiwa KUSEMA UONGO - (GHILBA) na wala si dhambi

    Ndiyo, katika Qur'an, kuna maeneo ambayo zinazungumzia hali maalum ambapo kusema uongo inaweza kuwa ruksa (inaweza kuruhusiwa) katika hali fulani, lakini ni kwa ajili ya maslahi ya kijamii au usalama wa mtu au jamii. Hizi ni situations tatu zinazozungumziwa katika baadhi ya tafsiri za Qur'an na...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunafikisha ujumbe wa mabaya yanayofanywa kutoka haya maeneo ya kihistoria, msitaje hayo maeneo bali taja mamlaka hizo zinazofanya mabaya hayo

    Usiseme Iran inaandaa nuclear bali sema IRGC inaandaa nuclear. Usiseme palestine imerusha makombora bali sema hamas wamerusha makombora Usiseme Israel anapigana lebanon bali sema israel anapigana na hezbollah Usiseme Yemen inadungua meli za US bali sema wahuthi wanadungua meli za US Haya ni...
  4. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani DSM wanapiga nyimbo za kijaluo

    Habari wakuu Ningependa kujulishwa sehemu za starehe wanapopiga hizi nyimbo za kabila la kijaluo hususani nyakati za weekend. Nawasilisha.
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiama kwa Houthi, Yemen inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia hayo maeneo ya Houthi

    Hawa magaidi wa waislamu siku zao zinakaribia mwisho, huku Marekani wakipiga kwa angani, Yemen nayo inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia kwenye mpambano wa nyumba kwa nyumba. Japo Yemen wenyewe pia ni waislamu ila kidogo ni nafuu maana ni serikali halali hivyo yenyewe itapunguza maugaidi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maeneo kwa Dar es Salaam wanapofundisha mafunzo ya karate!

    Habarini wanaJamiiForums! Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami? Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za kujilinda mwenyewe. Nitashukuru sana. Regards Amadi!
  7. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Sabasaba - Dodoma kuna kero kubwa sana ya foleni ya magari jioni na asubuhi

    Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo. Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni. Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chemba zilizokuwa zikitiririsha majitaka barabarani maeneo ya Posta (Dar) zimerekebishwa

    Juzi niliandika hapa JF taarifa kuhusu maji taka yaliyokuwa yakitiririka eneo la Posta barabara inayotokea Kanisa la KKKT kuelekea Karimjee ambayo yalikuwa yanatoka katika chemba zilizokuwa zimefumuka. Inadaiwa kuna maafisa wa Mamlaka ya Serikali wamefika na kutengeneza miundombinu iliyokuwa...
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Israel Yatangaza Kuchukua Maeneo Gaza Ikiwaamuru Raia Kuyahama Makazi Yao

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza upanuzi mkubwa wa operesheni ya jeshi huko Gaza inayohusisha unyakuzi wa maeneo makubwa ya ardhi ambayo "yatajumuishwa katika maeneo ya usalama ya Israeli." Katika taarifa hiyo, Katz amesema operesheni hiyo pia itahusisha uhamishaji mkubwa wa...
  10. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu Amelionya Kundi la Hamas Kuwa Litapoteza Maeneo ya Ukanda wa Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelionya kundi la Hamas kuwa litayapoteza maeneo ya Ukanda wa Gaza iwapo litaendelea kuwashikilia mateka wa Israel badala ya kuwaachia huru. Mamtashi ya Netanyahu yanafuatia yale ya waziri wa ulinzi wa ulinzi, Israel Katz aliyetoa onyo kama hilo siku...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maeneo 111 yenye makazi duni nchini kupangwa upya

    Maeneo 111 katika mikoa 24 yenye makazi duni na yanayoendelezwa kiholela nchini, yanaanza kufanyiwa maboresho kupitia upangaji upya wa miji, huku Serikali ikiahidi kushirikisha wananchi kwa karibu katika mchakato huo. Hatua hiyo inatekelezwa chini ya Programu ya Uendelezaji wa Miji...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

    Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kuna Shida Tanesco na Polisi Katika Kuanzisha Maeneo ya Kiutawala ya Kiwilaya na Kimkoa

    Katika muktadha wa utawala wa ndani, kuna masuala kadhaa yanayoibuka hususan kuhusu uundaji wa maeneo ya kiutawala kwa idara kama Tanesco na Jeshi la Polisi. Katika mikoa ya kipolisi, kuna viongozi kama RPC (Kamanda wa Polisi wa Mkoa) na OCD (Kamanda wa Polisi wa Wilaya). Swali muhimu...
  14. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kuna Maafisa wa Ardhi wanataka kutuondoa kwenye maeneo yetu Wakazi wa Masimba kwa kisingizio tupo eneo la Airport (Tabora)

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio maeneo yote ya Uwanja huo. Lengo lao kuu ilikuwa ni kuweka angalizo ili Wananchi wasije wakaingilia...
  15. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Nissan march(baadhi ya maeneo huitwa Nissan mirca) ni gari Bora Sana kwa matumizi ya miji

    Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982 Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
  16. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Hatari maeneo ya kipawa, Airport

    Kheri Mbugani kuliko Barabara ya kuvuka kipawa. Tunaishukiru serikali Kwa kutujengea Barabara lakini Barabara hii imekuja na karaa na huzuni Kwa familia nyingi za wakazi wa kipawa. Barabara Haina kivuko, magari yanapita njia zote kitu ambacho kinahatarisha maisha ya wananchi including...
  17. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Dalili za kupotezea maeneo inayotawala M23

    Uongozi wa jimbo la Beni, umetaarifiwa na serikali ya rais wa DRC Tshisekedi, kutotambua bidhaa kutoka mji wa Goma, kwa njia ya ardhi au ya anga, maeneo ya Bunagana na Ishasha, maeneo yanayosemekana kuwa mikononi mwa jeshi la Rwanda. Bidhaa zote kutoka maeneo hayo, zitatakiwa kulipa ushuru kama...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Fun Fact: Wajua kuwa maeneo yenye udongo mwekundu ni sababu ya kutu?

    Karibu mara zote uwepo wa rangi ya udongo mwekundu ardhini husababishwa na kutu. Chuma kikikutana na hewa ya oxygen na maji hutokeza kutu. Maeneo yenye udongo mwekundu huwa na ardhi yenye madini chuma mengi. Chuma hicho kikipigwa na hewa na maji hutokeza kutu. Kasulu. Udongo huu ukiwa umekolea...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sisi sio Wabunifu?: Afrika Dhidi ya Maeneo Mengine ya Dunia

    Utangulizi Ubunifu ni kiini cha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia katika karne ya 21. Makala hii inachambua hali ya ubunifu barani Afrika na kuilinganisha na maeneo yenye mafanikio makubwa kama Ulaya, Amerika, na Asia. Kupitia uchambuzi wa mafanikio, changamoto, na fursa...
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa suluhisho la mwendo kasi kwenye maeneo yasiyoruhusiwa bila kubagua

    Tazama video
Back
Top Bottom