maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  2. ommytk

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mkoa Dar es salaam mtusaidie kuhusu watu wanaombaomba hapa maeneo ya cheif pride, na msikiti wa sunni

    Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Lori maeneo ya Tabora leo Mei 28, 2025

    Inadaiwa kuna Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Gari maeneo ya Tabora huko, wenye taarifa zaidi watujuze. ============================= Abiria wa Gari Moshi wamenusurika kifo kufatia ajali ya lori la mizigo lenye trela Namba T 933 DMF lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Wilayani...
  4. flamini

    JamiiForums Tanzania Natafuta kuanzia tonne 5 ya Hass or fuerte Avocado kwa maeneo ya Arusha or kaskazini

    Wakuu nimepata mchongo wa kukusanya avocado za Hass kwa maeneo ya kaskazini sababu zinaenda Nairobi. Nataka supplier wa uhakika na bei nzuri tufanye biashara na malipo ni hapo kwa hapo. Nicheki pm tufanye biashara.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukifika Japan hakuna sehemu ya kutupia uchafu public na maeneo yao ni masafi

    wanasema tembea ujionee.Ndio maana mkinunua magari used yao kukuta vyakula na vitu vengine ndani ya gari ni kitu cha kawaida. Japani ukinunua kitu chochote mfano chakula basi hakikisha una cha kubebea uchafu ili ukatupie kwako. Na uchafu ambao unaweza kukuta unatakiwa kupokelewa ni chupa za...
  6. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha, ili Utimize ndoto zako

    Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha nayo ili Utimize ndoto Yako, ✒️Gerezani(uhuru) ✒️makaburini(umauti) ✒️ Hospitali(magonjwa) Ikifikia hatua umekata Tamaa, Basi Lia sana na Mungu kwa sababu yeye ndio anajua tamati Yako. Aliekuumba ndio anajua jinsi ya kukutunza usipoteze Sana Thamani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa, wape waandishi wa habari free tour ya uwanja wa Benjamin Mkapa watembelee kila mahali, usiwabane waone maeneo unayotaka

    Naona kama masuala ya uwanja huu yako restricted kwa free media tour. Nashauri Msigwa awaache waandishi wa habari wapite kila kona ikiwamo vyooni, vyumba vya kubadilishia nguo, VIP, waangalie viti, namba za viti, quiality, ticketing system na kila kitu wakiwa huru na wataalamu wa uwanja tu...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Treni ya Dar maeneo ya Karume, mabehewa yameacha njia

    Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya misaada ya maendeleo kwa Tanzania toka Ulaya kuanzia 2015-2025 na athari tutakazopata ikiwa itasimamishwa

    Kuna wabunge nimewasikia wanapayuka na nimeelewa kwamba hawajui kabisa kuwa misaada ya Ulaya imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Tanzania katika miaka kama kumi iliyopita. Tanzania inafanya jitihada kuelekea kujitegemea, lakini bado misaada ya Ulaya ikositishwa hali hiyo inaweza...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mavunde: Tutazifutia leseni kampuni 95 za uchimbaji zilizoshindwa kuendeleza maeneo waliyopewa na Serikali

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji. Akizungumzia suala hilo Mei 6, 2025 bila kutaja majina ya wawekezaji hao, Mavunde amesema kwamba wameainisha makampuni...
  13. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mbagala

    Wakuu habari Mahitaji chumba na sebule maeneo ya Mbagala ambako nimehamishia shughuli zangu Maisha yangu kwa asilimia kubwa hapa mjini nimeyaishi Ubungo rudi mpaka Mbezi Natafuta maeneo ambayo hakuna 'uswahili' sana...simaanishi mimi ni wa kishua...kinyume chake mimi ni shamba nimetoka mkoani...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Picha: Ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, 'Land Cruiser' imeisha kabisa

    Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya. Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika juu ya madhara zaidi yaliyotokana na ajali hiyo.
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ifahamu organization ya "Muslim Brotherhood" inayopigwa marufuku maeneo mbalimbali duniani ikiwemo baadhi ya nchi za Kiarabu

    Muslim Brotherhood, ilianzishwa mwaka 1928 nchini Misri, ni shirika la kimataifa la Kiislamu la Sunni linalolenga kutekeleza sharia na kuanzisha caliphate ya kimataifa. Itikadi zao zimezijenga vikundi vya kigaidi vingi duniania ikiwemo hamas na al-qaeda. Mataifa kama Saudi Arabia, Umoja wa...
  16. Smart Eagles

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
  17. Stability

    JamiiForums Tanzania Niko maeneo ya buza getoni kwa shemeji yenu. Sasa mrembo huyu amenipikia haya majitu, sijui ni nini au kunas meseji gani anajaribu kunifikishia?

    Namuuliza, eti yeye ananiambia wewe kulaa bwana
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Maeneo 479 yasiyofikiwa na miundombinu yamepatiwa umeme

    MAENEO 479 YASIYOFIKIWA NA MIUNDOMBINU YAMEPATIWA UMEME Mradi wa Kusambaza Umeme katika Vijiji na Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) unalenga kusambaza umeme katika vijiji-miji, mitaa, na vitongoji 508 ambavyo havijafikiwa na miundombinu ya umeme katika maeneo ya pembezoni mwa miji. Mradi huu...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Vietnam kufungua maeneo mapya ya ushirikiano

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na Kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa mataifa yote mawili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo...
  20. Darren2019

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole

    Msaada wakuu, kuna mtanzania anahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole. Tupe sifa ya nyumba na bei tafadhali tutakufuata inbox🙏🙏
Back
Top Bottom