1. Pemba
2. Unguja
3. Shinyanga
4. Mbeya
5. Kondoa
6. Kagera
Nb maeneo hayo Nimeyapanga kutoka juu kwenda kwenye unafuu.
Mikoa hii hakuna wimbi la watu wanaonuka midomo hongereni
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Tanga
4. Tabora
Mimi katika mambo ambayo siyapendi ni kutumia nguvu kubwa kumziba mdomo mwingine asiongee jambo nisilolipenda, bata huku jamiiforums napenda wale wanaokosoa na kamwe siwezi waweka kwenye ignore list
Mimi ni mtu ambaye niko comfortable kwa wale wanaonikataa, na kunipinga sababu naamini wanahaki...
Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania
Post kuanzia miji, vijiji hadi vitongoji.
Naanza
1. ARUSHA
Hapo ndio Chuga
2. MWANZA
Jiji safi kabisa kutoka kanda ya ziwa
3. MBEYA
Jiji zuri la nyanda za juu...
Ipo Tabia chafu ya baadhi ya wanasiasa kugeuza huduma za tiba na maeneo ya hospitali kuwa sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa hususani nyakati hizi za uchaguzi.
Inaeleweka wazi kuwa ukibrand hoja yako na maswala yanayohusu afya,uhai,kifo au huduma za dharura basi jamii lazima itataharuki na...
Wakuu, kwa wasioijua Dar wakafikiria Dar labda kila sehemu kuna umeme kila sehemu kuna Maji, aisee kuna maeneo mjini Dar-es-Salaam hakuna maji mpaka leo watu wanafukua maji Chini wanachota maji ya tope wanaoga fungus maji ya chumvi maji yasiyo na virutubisho wengine ndio maji yao ya kunywa hayo...
Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi.
Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji...
Hali ilivyo katika maeneo mengi ya bonde la Kilombero ni ya kusikitisha sana. Maeneo karibia yote yaliyokuwa yakitumika kwa shughuli za kilimo yamechukuliwa na serikali kwa kigezo cha kuhifadhi ardhi oevu na pia kuhakikisha mradi wa umeme wa bwawa la mwalimiu Nyerere una sustainability...
Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana aliandika ~ Mwanza: Mtaa wa Kaseze, Nyamagana hatuna maji, badhi ya Wananchi wanajisaidia vichakani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imepa majibu Mwananchi...
Kwako Afisa Elimu Ilala,
Poleni na majukumu ya kila siku.
Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo.
Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
TANROADS, ni vema mkalidhibiti hili eneo la Ruaha kabla maafa hayajatokea, hasa wakati wa mvua ambazo siku hizi zinzzidi kuwa kubwa kuliko vegezo vilivyotumika ku-design hii barabara. Imetokea India inaweza kutokea pale Ruaha. Msiache mambo kwa kuomba tu rehema za Mungu kwamba haitatokea...
Kwa kweli
Nitoe shukrani kwa aliewapa kibali kanisa la calvary assemblies of god arise n shine kujenga eneo lile
Kiukweli wakazi wa eneo hili kama walikuwa wanasubiria kwa hamu hizi ibada
Yaan toka waanze ibada kanisa jipya kwa kweli kuna waganga wametesa wengi sana eneo la kawe
Hivi...
Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu.
Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza dunia, bora hivyo kubwa lao Iran limekalishwa.
=============================
'All Crew Muslim'...
Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen.
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy.
Meli hiyo, iliyotekwa nyara na kikundi...
Jeshi la Urusi limesema Jumapili kuwa limechukua udhibiti wa vijiji viwili mashariki mwa Ukraine cha Piddubne katika mkoa wa Donetsk na Sobolivka katika mkoa wa Kharkiv.
Ukraine haijatoa tamko rasmi kuhusu madai hayo ya Moscow.Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, Urusi imekuwa ikisonga taratibu...
Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk.
Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi pamoja na wanablogu wanaofuatilia vita hivyo.
Hata hivyo taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.